Wachaga ni Taifa Teule

Wachaga ni Taifa Teule

Status
Not open for further replies.
Mkuu umesahau huenda ulitaka kutuambia Wachaga ni Wapalestina (Wamachame)!
Wayahudi hawaendi kutambikia mizimu kila mwisho wa mwaka!
Wayahudi ko kote waliko duniani hawasahau mila na desturi kwa mjibu wa Kitabu chao cha Torati,(Malaki4:4)
Sasa hivi Israel inapanua mipaka ya Mashariki ya Kati kwa sababu Mungu anawakusanya kutoka pembe zote za dunia ili kuwarudisha katika ardhi aliyowapa Ibrahimu,Isaka na Yakobo,(Amos9:14-15)
Mnarudi lini huko?
 
Jamaa kisa wameguswa ndugu zako umekuja mbio kuwalinda.Tulia man sijasema wachaga ni hamnazo sema jamaa kawapa sifa nyingi ambazo hamna labda angesema mnapenda pesa ningekubali maana kuna dada yako nilimpromise laki hapa kila siku ni simu utadhani ni deni(hovyo kabisa)
Wewe haupendi hizo pesa.?
 
Mkuu umesahau huenda ulitaka kutuambia Wachaga ni Wapalestina (Wamachame)!
Wayahudi hawaendi kutambikia mizimu kila mwisho wa mwaka!
Wayahudi ko kote waliko duniani hawasahau mila na desturi kwa mjibu wa Kitabu chao cha Torati,(Malaki4:4)
Na hata Wachaga popote walipo hawasahau mila na desturi. Hakuna mtu amewahi kuwa na urafiki na mchaga akajuta
 
Viongozi wote nchi hii waliofanikiwa kama hakua au hajaoa Mchaga basi ana mvhepuko Mchaga anaempa akili.
Tokea Uhuru hakuna Kiongozi ambaye hakuoa Uchagani.
Wa leo hawa kina Mwigulu, Aweso, bila wake zao Wachaga wasingekuwa hapo
 
Huo ndio uthubutu wenyewe sasa wako kila mahali wakati dada zenu huko mnawaza kuwaozesha wakiwa Primary.
Dada zangu wako Brentwood wanakula maisha huo ujasiri wakusema waozeshwe unatokea wapi kiongozi?Ukitaja watu wa kwanza kupata elimu in formal way ukiacha kutaja kabila langu unakuwa unakosea.Bariadi nalima tu mpunga kaka sio kwetu(Sema dada zenu wanapata shida huku wachimbaji wakipata pesa)
 
Wachaga bado sana sio kwa kushindanishwa Ila kwa umaana ....hoja yako imejijenga kwenye ushindani na ubinafsi .....inakuwaje hamna deep-state yakichaga .....utajiri wakichaga hauna muendelezo
Utakuwa hujawajua Wachaga vizuri wewe hawajawahi kukaa kikao lakini wote wana maono ya kufanana.
Hakuna mtu anadhubutu kuwagusa.
Magufuli alijaribu akakwaa kisiki
 
Wewe haupendi hizo pesa.?
Ndio maana nalima mpunga huku Bariadi sema dada zako wanapenda za kupewa(wachimbaji wanawapitisha kipindi kigumu dada zako huku,mpaka kuna muda nikasema hawa wachaga kweli)
 
Ndio maana nalima mpunga huku Bariadi sema dada zako wanapenda za kupewa(wachimbaji wanawapitisha kipindi kigumu dada zako huku,mpaka kuna muda nikasema hawa wachaga kweli)
Dada zako una uhakika gani hawapitii kpindi kigumu ? Na umejuaje ni kipindi kigumu kwao kama na wewe haujawahi pitishwa?
 
Leo hii kabila gani walishafikia hatua ya kuwa na Bunge lao, Bendera yao na mipango yao kama Wachaga chini ya Chaga Development Manifesto
 
Attachments

  • tz)chagg.jpg
    tz)chagg.jpg
    19.7 KB · Views: 10

Attachments

  • Screenshot_20250823_121555_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20250823_121555_Samsung Internet.jpg
    231.1 KB · Views: 7
Dada zako una uhakika gani hawapitii kpindi kigumu ? Na umejuaje ni kipindi kigumu kwao kama na wewe haujawahi pitishwa?
Dada zangu wako Brentwood kiongozi huko maduara hakuna.Nawaona nikienda kupata bia ya kizalendo(kilimanjaro).Wale madogo wa maduarani hawana akili kabisa kaka, yani wachaga wanashikwa makalio huku na madogo janja wa kisukuma mpaka unasema sio wachaga nyie(sema tu unajua ni wenyewe maana kiswahili chenu ni rahisi tu kuwajua)
 
Naona nikupeleke tu ignore list kabla ya kupigwa ban humu
 
Nimeuliza IQ ya 120 mshenzi wewe.Mwenye IQ 120 unakuwa barmaid hiyo ni IQ au ni ujinga(rudi tena kutetea ndugu zako tena)
Mimi nimekaa Ulaya na nimeona watu wanafabya PhD za mathematics na jioni wanauza Bar.
Wachaga wanafanya wanachoweza kufanya mpaka wapate uwezo wa kufanya wanachotaka. Hiyo ni highest leval ya akili yaani kama wastani wa Taifa wa IQ ungekuwa juu sana wachaga wangekuwa nusu ya population
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom