Kwa taarifa ya bure ni kwamba kazi ya mtu inahusiana na uwezo wake kiakili(factors nyingine ziweke kando ukitaka tutaziongelea).
Plato.Alifanya grouping ya watu na kazi zao kulingana na uwezo wao kiakili ndio maana alikuja na kundi la iron boys ambao kwasababu cognitive abilities zao kuonekana kuwa chini akawapa kazi kama migambo,majeshi na kuendelea.
Kazi ya barmaid inahitaji mtu tu mwenye low level of cognition ndio maana nimekataa mtu mwenye IQ ya 120 rating kufanya kazi ya hivi.
Kuna kitu tunasema,thought precedes an action.Hivyo basi ukiona mtu ni barmaid(weka hoja nyingine kando) utajua kichwani kwake ni mweupe kwa maana kama angekuwa mtu mwenye kuwaza vizuri tungeona idea iliyo bora kutoka kwake na si kwenda kuwa barmaid.