Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,087
- Thread starter
- #161
Wakinga hata wafanye biashara nenda kwao bado wanahamasishana kuhusu lishe na Udumavu.Wachaga walishakuwa mbele ya muda sana kuzidi karibu makabila yote ya Afrika mashariki, kati na kusini. Kuanzia Machame, Marangu hadi Rombo ni maendeleo matupu. Ingawa kwa sasa wanapelekewa moto kibiashara na wakinga ila wachaga kimaendeleo ni habari nyingine. Hakuna kabila linalowasogelea.
Wachaga wako mbele yao miaka 50