Wachaga ni Taifa Teule

Wachaga ni Taifa Teule

Status
Not open for further replies.
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu akawagawa katika Koo zaidi ya 720, akawapa Wamangi wawaongoze na lahaja tofauti, akawatenganisha kwa mabonde ya mito akawabariki.
Hakuna tena Africa kabila lililofikia leval ya kuwa Taifa kama Wachaga
Nyerere mwenyewe hakuthubutu kuanzisha vijiji vya ujamaa kule
Nchi ile iliyobarikiwa Wajerumani walipokuja walifurahia system iliyokuwepo na kuiendeleza hiyo hiyo.
IQ za wachaga ni 120 wakati Watanzania wengine ni 60
Ukifika leo Uchagani unaona kabisa hawa kweli ni Taifa Tofauti.
Watu waliokuwa na Bendera yao, mipango yao na chini ya KDC
Mkishalewa VISUNGURA na Kutafuna MKOKAA mnaota ndoto za ovyo sana.

Kwanza HAKUNA KABILA linaitwa MCHAGGA.

Hiyo ni matamshi mabaya tu ya wageni badala ya kuwaita WACHAKA (Watu wanaoishi Vichakani) akaita Wachagga.

Kilimanjaro hakuna Wachagga, kuna Warombo, Wamarangu, Wakibosho, Wamachame, Wauru ambao hata kwa lugha hawaelewani.

Huwezi kusema ni kabila moja wakati hawaelewani wakiongea pamoja.
 
Mimi nimekaa Ulaya na nimeona watu wanafabya PhD za mathematics na jioni wanauza Bar.
Wachaga wanafanya wanachoweza kufanya mpaka wapate uwezo wa kufanya wanachotaka. Hiyo ni highest leval ya akili yaani kama wastani wa Taifa wa IQ ungekuwa juu sana wachaga wangekuwa nusu ya population
Ulaya umekaa sehemu gani kiongozi?Sema huku wanachofanywa na wasukuma ungekijua huu uzi wako ungefuta kaka.Hivi unawajua madogo janja wanavyokuwa wakitoka maduarani?(wachafu na pesa kidogo tu za kutapanya kwa dada zenu)

Sema tu wachaga baadhi walisoma kwa sababu za kikoloni lakini baada ya uhuru kuanzia 1980s wachaga mnatia huruma(Karibu siku moja Bariadi uone dada zako wanafanya nini huku)
 
Mkishalewa VISUNGURA na Kutafuna MKOKAA mnaota ndoto za ovyo sana.

Kwanza HAKUNA KABILA linaitwa MCHAGGA.

Hiyo ni matamshi mabaya tu ya wagemi badala ya kiwaita WACHAKA (Watu wanaoishi Vichakani) Akaita Wachagga.

Kilimanjaronhakuna Wachagga, kuna Warombo, Wamarangu, Wakibosho, Wamachame, Wauru ambao hata kwa pigha hawaelewewani.

Huwezi kusema ni kabila moja wakati hawaelewani wakiongea.
Naomba nijibu hoja yako , wachaga ni kabila moja tangu kale , japo kuna jamii za wa kikuyu , wamasai ,wapare , wasambaa ,wataita , na wakamba walikuja hayo maeneo, wakachanganyika na wachaga walio kuwepo pale na kusambaa eneo lote kuzunguka mlima kilimanjaro.

Mfano mimi ni ukoo wangu Ni MUSHI, ya kibosho ila tuna ndugu wa ukoo machame , uru , old moshi , na wengine rombo walizamia ukoo wa Moshi pale mkuu ila chimbuko letu ni moja.
 
Ukabila ni sumu mbaya sana tuipige vita na tubaki na utanzania wetu
Miaka michache ijayo kule migombano kwao majumba na mashamba yao itamilikiwa na wahehe, wagogo na wasambaa na baada ya hapo wachaga hawatakuwepo. Weka hili kwenye diary yako
 
Utakuwa hujawajua Wachaga vizuri wewe hawajawahi kukaa kikao lakini wote wana maono ya kufanana.
Hakuna mtu anadhubutu kuwagusa.
Magufuli alijaribu akakwaa kisiki
nakwambia ninachokijua sio izi story za uongo na kweli unazoleta kiongozi chaga tribe imekosa muendelezo waliokuwa vyuma ni wazee walikosa walipotoka kwenye miiko ya wazee ushawishi,muendelezo wa kilichofanyika na wazee
 
Hayo mengine siyajui ya taifa, kabila teule.
Katika orodha ya watumishi wenye vyeti feki 8716 mwaka 2017.
Wateule hawa ndio waliongoza.
 
Naomba nijibu hoja yako , wachaga ni kabila moja tangu kale , japo kuna jamii za wa kikuyu , wamasai ,wapare , wasambaa ,wataita , na wakamba walikuja hayo maeneo, wakachanganyika na wachaga walio kuwepo pale na kusambaa eneo lote kuzunguka mlima kilimanjaro.

Mfano mimi ni ukoo wangu Ni MUSHI, ya kibosho ila tuna ndugu wa ukoo machame , uru , old moshi , na wengine rombo walizamia ukoo wa Moshi pale mkuu ila chimbuko letu ni moja.
Hapa unachosema naona kuna mambo unaruka.

Kwanza asili ya watu wa Kilimanjaro ni Wapare. "Wachagga" ni wahamiaji waliozamia eneo hilo la mlima na kufanya vita kubwa na Wapare, kiasi kwamba wakaanza kukimbilia Milimani, Pare na wengine Kenya.

Ndio maana uchaggani hata vita dhidi ya Wamarangu dhidi ya Warombo, Uru, Wamachame ilikuwepo.
 
Wachaga hawajawahi pigana vita na wapare huo ni utani tu jamii za kale za kilimanjaro ni mbilikimo walihamia misitu ya kongo.
 
Wachaga hawajawahi pigana vita na wapare huo ni utani tu jamii za kale za kilimanjaro ni mbilikimo walihamia misitu ya kongo.

Nioneshe ardhi ya mchagga hapo👇👇

Eastern_Arc_Mountains_sheme.jpg

The-Eastern-Arc-Mountains-with-numbers-of-species-of-Odontopygidae-known-from-each.png
 
Hawa wachaga ambao ni wahudumu wa bar huku kwetu Bariadi watoto wakisukuma wanaruka nao kila siku wakitoka na pesa zao maduarani ndio unasema wana IQ ya ngapi kiongozi?
Na Top management ya CRDB na NMB ni wao pia.
 
Na Top management ya CRDB na NMB ni wao pia.
Wachagga walisoma zamani, wakawa wanawekana.

Lakini pia Kilimanjaro hakuna Kilimo na mifugo, na hivyo wengi wakaanza kukomaa na biashara, elimu na maduka.

Jamii nyingi mfano wasukuma wao walikuwa busy na kilimo na mifugo.

Wamasai mifugo.

Ila kwasasa kila jamii, mpaka Wamasai wanaijua shule na PESA.
 
Mkishalewa VISUNGURA na Kutafuna MKOKAA mnaota ndoto za ovyo sana.

Kwanza HAKUNA KABILA linaitwa MCHAGGA.

Hiyo ni matamshi mabaya tu ya wageni badala ya kuwaita WACHAKA (Watu wanaoishi Vichakani) akaita Wachagga.

Kilimanjaro hakuna Wachagga, kuna Warombo, Wamarangu, Wakibosho, Wamachame, Wauru ambao hata kwa lugha hawaelewani.

Huwezi kusema ni kabila moja wakati hawaelewani wakiongea pamoja.
Huyo mgeni alikuwa Mndengereko nini? Au ni lugha ipi hiyo ya Kigeni ambayo ina neno Kichaka
 
Nioneshe ardhi ya mchagga hapo👇👇

View attachment 3450093

View attachment 3450095
Nakulewa vizuri sana , kabla ya hizo jamii nyingine kutoka taita kikuyu na kamba kuja , maeneo ya mlimani magharibi waliishi wamasai na wandorobo ,hivyo walivyokuja walichanganyika , na wengine walihama kabisa , baada ya miaka mingi wakaunda jamii yenye lugha moja na lahaja tofauti ,kulingana na eneo.

Kuna wapare wengine ( wagweno) wana tabia na hata lugha yao inaingiliana na kichaga kuliko wapare wengine, japo ni wapare.
 
Kinachokusumbua mtoa mada ni

1. Ushamba uliotopea
2. Kukosa exposure
3. Ukabila
4. Ujinga wa kiasi fulani
5. Elimu ya kuunga unga
6. Kukosa adabu
7. Utoto usioisha hata kama ni mtu mzima
8. Makuzi hafifu

Hivi umewahi tembea sehemu zingine ukajifunza maisha?
😁😁😁
 
Hapa unachosema naona kuna mambo unaruka.

Kwanza asili ya watu wa Kilimanjaro ni Wapare. "Wachagga" ni wahamiaji waliozamia eneo hilo la mlima na kufanya vita kubwa na Wapare, kiasi kwamba wakaanza kukimbilia Milimani, Pare na wengine Kenya.

Ndio maana uchaggani hata vita dhidi ya Wamarangu dhidi ya Warombo, Uru, Wamachame ilikuwepo.
Mpare ni mzigua kiasili baada ya vita huko nyuma wakakimbilia milimani wao na wasambaa na wadigo waliofika Kenya na Somalia.
Mpare na msambaa ni bamkubwa na bamdodo
 
Nakulewa vizuri sana , kabla ya hizo jamii nyingine kutoka taita kikuyu na kamba kuja , maeneo ya mlimani magharibi waliishi wamasai na wandorobo ,hivyo walivyokuja walichanganyika , na wengine walihama kabisa , baada ya miaka mingi wakaunda jamii yenye lugha moja na lahaja tofauti ,kulingana na eneo.

Kuna wapare wengine ( wagweno) wana tabia na hata lugha yao inaingiliana na kichaga kuliko wapare wengine, japo ni wapare.
Lugha ya kichagga ni ipi?

Na nani anazungumza kichagga?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom