Wachache wanapata orgasm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachache wanapata orgasm

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MAKOSHNELI, Jul 3, 2011.

 1. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 80
  WADAU NIMEKUWA MFUATILIAJI WA HAYA MAMBO YA ORGASM KWA MUDA MREFU NA NIMEFANYA MAJARIBIO ZAIDI YA KUMI NA KUPATA MATOKEO YA AJABU SANA,KTK UCHUNGUZI WANGU NIMEBAINI KUWA NI 13%KATIKA 100% YA WANAWAKE WANAOFANYA MAPENZI HUPATA G-SPOT ORGASM(MULTIPLE ORGASMs) ,NA 34% KATI YA 100% YA WANAWAKE WANAOFANYA MAPENZI HUPATA CLIT-ORGASM AMBAYO NI COMMON, na ALMOST 90% YA WANAWAKE DUNIANI AMBAO HUFANYA MAPENZI HUWA HAWARIDHIKI KABISA UISHIA KUSISIMKATU KITU AMBACHO WENGI WA WANAWAKE HUANZA KUCHEAT KTK MAHUSIANO YAO,MAPENZI ITS ALL ABOUT SEX VINGINE NI MAJAALIWA TU YA MUNGU
   
 2. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 5,778
  Likes Received: 2,162
  Trophy Points: 280
  unataka kusema bila sex hakuna mapenzi.....
   
 3. c

  cha' JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2013
  Joined: Jun 22, 2013
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Utafiti una vijaribiwa vichache!
   
 4. Himidini

  Himidini JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 5,570
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 145
  ^^
  Aisee!!
  ^^
   
 5. habari ya hapa

  habari ya hapa JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2013
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 9,139
  Likes Received: 4,512
  Trophy Points: 280
  oooh tuwasubiri wenyewe
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2013
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,808
  Likes Received: 19,314
  Trophy Points: 280
  Ungeandika kwa herufi ndogo (small letters) ingeleta maana pana zaidi.
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,389
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Jamaa atakuwa ni mtu mwenye mahaba na herufi kubwa, hebu angalia ID yake na Locations zake...hahaha
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,389
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Hey buddy, are you sure that G-Spot orgasm is alternatively termed as Multiple orgasms?
   
 9. a

  ayanda JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2013
  Joined: Mar 7, 2013
  Messages: 1,286
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145


  hapo kwenye red, sijui research yako ulifanyia wapi aisee maana umekosea yaani kama ni mtihani basi ungepata zero kama wale form four wa mwaka jana
   
 10. Eli79

  Eli79 JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2013
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 17,398
  Likes Received: 8,155
  Trophy Points: 280
  Ndugu, hizi takwimiu nina mashaka nazo..
  13 +34 + (almost 90) = almost 137%.... MAKOSHNELI kuja hapa unieleweshe...
  Alafu G-Spot orgasm = Multiple orgasm? Naomba kueleweshwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...