Ingekuwa madini siku moja moja angeonyesha akiwa huko kama marley dollars.Au kama sio tapeli basi madini yatakuwa yanampa hela chunya huko pengine ana MIGODI mbona kawaida sana vijana siku hizi kuwa na noti..sema yule tatizo ndo hivo sifa
Ingekuwa madini siku moja moja angeonyesha akiwa huko kama marley dollars.Au kama sio tapeli basi madini yatakuwa yanampa hela chunya huko pengine ana MIGODI mbona kawaida sana vijana siku hizi kuwa na noti..sema yule tatizo ndo hivo sifa
Mkuu vijana siku hizi wana pesa. Kwanza si wa kike au kiume wanashusha mighorofa tu.Na mimi namtukana kama yeye anavyowatukana vijana na kuwadanganya.
Nawaambia vijana kuwa jamaa anajiuza ili waache tabia za kipuuzi.
Hahaha, kweli wachache wapo vyema na ndo hao wanaofanya tujione wasindikizaji lakini uhalisia ni kwamba maisha ya mitandaoni ni optical illusion kwa kiasi kikubwa aise😁Mkuu vijana siku hizi wana pesa. Kwanza si wa kike au kiume wanashusha mighorofa tu.
Mcheki billnas na mkewe na lifestyle lao.
Aisee ukiwa mtandaoni kuna muda unaweza jiona wewe msindikizaji.
Yah mkuu. Ngoja nitafte chimbo la kubea pesa kwenye sandarusiHahaha, kweli wachache wapo vyema na ndo hao wanaofanya tujione wasindikizaji lakini uhalisia ni kwamba maisha ya mitandaoni ni optical illusion kwa kiasi kikubwa aise😁
Mkuu usitoe tu uhai wa mtu kwanini dhambi lakini ukiwa drug dealer siyo mbaya ila usikamatwe, ukiwa mshirikina utateseka kwani Kuna mashati mengi.Yah mkuu. Ngoja nitafte chimbo la kubea pesa kwenye sandarusi
Watu wengine wanajitoa muhanga sana aise kwa mfano Chief Godlove anayeuza jicho la tatu ambapo watu wenye hela humkunja kama kambalena kumwachia visenti anavyotumia kuwatambishia vijana wa TikTok.
Mkuu yule jamaa anawakera watu na kuwahamasisha vijana kuingia kwenye mambo ya hovyo.Ila we jamaa una hatari sana sikutegemea kama nitakutana na komenti kama hii
Nothing is secret in wealthy matter ..Mbona wataalam wanasema utajiri ni siri bac hao watu 2k watakua na hizo siri
Mwamba unaonekana unamfahamu vyema sana Chief hebu tupe ABCD. za utajri wa jamaaaWatu wengine wanajitoa muhanga sana aise kwa mfano Chief Godlove anayeuza jicho la tatu ambapo watu wenye hela humkunja kama kambalena kumwachia visenti anavyotumia kuwatambishia vijana wa TikTok.
Nataka nijue wale jamaa wanaoishi dubai ambao wanazipa hype crypto kisha wana zidump making milions of dollars wanafanyaje? Trump na mkewe walifanya hivyo hivyo juzi juzi.Mkuu usitoe tu uhai wa mtu kwanini dhambi lakini ukiwa drug dealer siyo mbaya ila usikamatwe, ukiwa mshirikina utateseka kwani Kuna mashati mengi.
Usidhulumu mtu hata siku Moja.
Na anazunguka na viongozi wenu wakina tulia.Mkuu yule jamaa anawakera watu na kuwahamasisha vijana kuingia kwenye mambo ya hovyo.
Simfahamu kiundani lakini nadhani anafuliwa sana na wahuni.Mwamba unaonekana unamfahamu vyema sana Chief hebu tupe ABCD. za utajri wa jamaaa
Ngoja siku Moja tuifungulie thread ili wajuzi wa JF waje na ufafanuzi Ili tupate kutajirika.Nataka nijue wale jamaa wanaoishi dubai ambao wanazipa hype crypto kisha wana zidump making milions of dollars wanafanyaje? Trump na mkewe walifanya hivyo hivyo juzi juzi.
Unaweza ukakuta anatumiwa na kiongozi mkubwa kufanya biashara haramu, viongozi wa nchi hii si kuwaamini hata tone.Na anazunguka na viongozi wenu wakina tulia.
Unajua siku hizi ma role model wa watoto si watu waliosoma, ni malsay queen na watu wanobrag wana pesa bila kujua chanzo maana ndio ambao hata viongozi wanazunguka nao si magraduate wanaopigwa vumbi.