uchumi mkubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za -Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini -Waziri Mkuu Dkt Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Haya ndio mambo yangetokea kama watanzania wote wakiwa CCM

    Wakuu, maafande wi Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ... Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tutaomba kuwa Wenyeji wa Kombe La Dunia

    My Take Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa. Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa. Kama...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kongo (DRC) imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

    Kongo imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Afrika Kusini bado ndio inayoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Katika muktadha huu haijulikani Tanzania ni ya ngapi lakini ni ukweli ulio wazi kwamba inazidiwa...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania IMF: Wakati Tanzania Inatarajia Kufikia GDP ya $ Bilioni 💯 ,DRC Kuipita Ethiopia na Kuwa Nchi ya 5 Kwa Uchumi Mkubwa Africa 2026.

    My Take SSH ndio ataandika historia ya kukuza Uchumi kutoka Dola Bilioni 70 na Kufikia Dola Bilioni 💯 Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Tanzania. https://www.threads.com/@africaviewfacts/post/DXPPfhxkaJ2?xmt=AQF0bBngHHIzlkgokmYGVVuwVBsecSwiOLLHMz28k-srvW3l8fXay2lmKA6cb0Hq9vuKSnY&slof=1
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

    Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024: 1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8 2. Mwanza -Trilioni 14.6 3. Mbeya - Trilioni 11.6 4. Morogoro -Trilioni 9.8 5. Arusha - Trilioni 9.7 6. Tanga - Trilioni 9.5 7. Geita - Trilioni 9.3 8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3 9...
  9. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi binafsi naamini Uganda inaweza kuja kua nchi yenye uchumi mkubwa kuliko wote ukanda huu

    Katika nchi zote za ukanda huu ni uganda pekee ambayo ina dalili zote za kua kinara wa uchumi, Ikumbukwe pia uganda ilipigwa BAN kutoka kwa IMF kutokana na sheria inayohusiana na mapenzi ya jinsia moja, lakini toka vita dhidi ya hili bomba la mafuta kushindikana vikwazo hivo vimeondolewa bila...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Nigeria kuwa na uchumi mkubwa Africa ikiwa raia wake milioni 90 hawana umeme?

    Nigeria ni mojawapo ya mataifa ya hovyo sana Africa, mzalishaji namba moja wa mafuta Africa raia wake milioni 90 hawana umeme, yani 40% ya watu wake bado wanaishi kwa vibatari!
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania California yaipiku Japan kwa kuwa namba nne kwa uchumi mkubwa Duniani

    Jimbo la California nchini Marekani imeipiku Japan kwa kuwa na uchumi mkubwa namba NNE Duniani. Uchumi wa California umeipita Japan, na kuifanya jimbo hilo la Marekani kuwa nguvu ya nne kwa ukubwa kiuchumi duniani. Gavana Gavin Newsom alijivunia takwimu mpya kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wachache (minority) humiliki uchumi mkubwa duniani

    Hii dunia imethibitika kabisa kuwa Ina rasilimali za kutosha kuwawezesha watu wote duniani kula, kusoma, kutibiwa, kutalii, kujenga/kupanga na kufurahia maisha. Bahati mbaya sana, ubinafsi, ubabe na uchoyo ama wa kisiasa au kuitawala umehodhisha rasilimali zote kwa vikundi au watu binafsi...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

    Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40. Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena. Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata...
  14. S

    JamiiForums Tanzania South Africa inawezaje kuwa na uchumi mkubwa kiasi hiki wakati vijana karibu wote ni jobless

    Nimewahi kufika South Africa uchumi wa south Africa ni mkubwa mno manake ni nchi iliyondelea sana ila ni nchi yenye jobless wengi mno Roughly ukikutana na vijana 100 bas 36 ni pure jobless .
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kitengo cha Clearing and Forwarding kule TASAC kimefutwa na wale watumishi kuhamishiwa taasisi nyingine?

    Najiuliza na kujiuliza tena na tena. TASAC palikuwa na kitengo cha Clearing and Forwarding ambapo hawa kazi yao ilikuwa ni kusimama kama serikali kufanya clearance ya kila kitu kutoka hapa nchini kabla ya kufanyiwa shipping mfano madini, mazao kama ngano, wanyama na vitu vingine sensitive...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka 2024

    Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha mbinu ya matumizi, ambapo jumla yake hutolewa kwa kujumlisha matumizi ya bidhaa mpya za walaji, uwekezaji mpya, gharama za serikali, na thamani halisi...
  17. greater than

    JamiiForums Tanzania Angalia orodha ya nchi 10 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tunahitaji kujitafakari kama taifa

    Katika makadirio ya mataifa yenye uchumi mkubwa barani Afrika kwa mwaka 2024,Taifa letu linashika nafasi ya 10. Nimeweka orodha ya hizo nchi 10 na chanzo kikubwa cha uchumi wa nchi husika. Pia mwishoni nimeweka na idadi ya watu wa nchi husika AFRIKA KUSINI Dolla B...
Back
Top Bottom