STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
- Thread starter
- #141
wakina miss chagga haoAisee! hivi mtoto watu anatoa ATM mtu anapokea Tu,kwa ajili ya hako kadude kake...Kuweni na huruma nyie wadada na nyie mshakuwa majipu sasa.
wakina miss chagga haoAisee! hivi mtoto watu anatoa ATM mtu anapokea Tu,kwa ajili ya hako kadude kake...Kuweni na huruma nyie wadada na nyie mshakuwa majipu sasa.
Dah labda huwa unawaachia pasw wanafunzi wa primary, manake laiti ungewaachia pasw yako hivi vyura vya dar basi ungesharudi kolomije siku nyingiAfu mie ndio huwa zangu hizo za kutoa password za ATM... Ila ntabadilika kutokana na huu uzi
Haupo seriousMi hata nyie naweza wapa password zangu sio mpenz tu haya iziapo 3972
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Mapenzi uchizi... mimi kuna katoto nimekapenda nimekapa hadi password ya JF. Kapost kapendacho
Post hata pumba mama au mtama nitadonoa tu.






Sometimes akili zetu zinaongozwa na kichwa cha chini.. Sadmi nashangaga sana kwa mwanamme ulie kamilika unalilia mapenzi,ivi nini maana ya kuwa mwanaume,wallahi sijawai kosea kwa mwanamke juu ya mapenzi,namwonga au kumpa sijuhi izo ma ATM kwa kipi aswa ina zalisha pesa iyo?ebo!
Nimefurah sana hiiAisee! hivi mtoto watu anatoa ATM mtu anapokea Tu,kwa ajili ya hako kadude kake...Kuweni na huruma nyie wadada na nyie mshakuwa majipu sasa.