Wacha ubwege, utaliwa!!

Wacha ubwege, utaliwa!!

mi nashangaga sana kwa mwanamme ulie kamilika unalilia mapenzi,ivi nini maana ya kuwa mwanaume,wallahi sijawai kosea kwa mwanamke juu ya mapenzi,namwonga au kumpa sijuhi izo ma ATM kwa kipi aswa ina zalisha pesa iyo?ebo!
 
Ndiyo maana dada yangu siku hizi anatabia mbofu mbofu kumbe mmeambukizana eeh. Dada yangu umeshindwa kumpa mimba umempa maneno leo mmasai anaongea kama mdaresilamu....
Anipe mimba mara ngapi? Au umesahau mwenye hilo tatizo nani? Au ndio unajisahaulisha eeh?
 
Mapenzi uchizi... mimi kuna katoto nimekapenda nimekapa hadi password ya JF. Kapost kapendacho

Post hata pumba mama au mtama nitadonoa tu.
[emoji102] [emoji124] [emoji124]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom