Haya.Mnuno mwema, na kama ni dawa kazana umalize dozi.
[emoji57][emoji57][emoji102] [emoji124] [emoji124]
Ooooh!! Ngoja aje aseme vizuri.
Acha ujinga ww
[emoji23][emoji23][emoji23] lazima umuone baby apendae haoniMamdogo mbona kwangu ni baby lakini? Basi ajaye naomba mnitongozee maana nashindwa kuelewa mnataka wifi wa aina gani
Mamdogo hizo tabia mbaya... lazima usifu mafanikio ya nduguyo[emoji23][emoji23][emoji23] lazima umuone baby apendae haoni
Mmh hapana bamdogo inatemegea kwakweli yaan nisifu tu mtu hastahiliMamdogo hizo tabia mbaya... lazima usifu mafanikio ya nduguyo
Nani hastahili? Mmeo auMmh hapana bamdogo inatemegea kwakweli yaan nisifu tu mtu hastahili
huyo bae wako mpya bana, mume wangu kaingiajeNani hastahili? Mmeo au
Me sinaga mapenz ya hivi nilishadisconnect wire wa mapenz kitambo tu, sitarajii tena kupenda to that extent..Hata 100?
Hastahili kisaa! [emoji57][emoji57]huyo bae wako mpya bana, mume wangu kaingiaje
Haujapata wa kupenda tu... ngoja apatikanekeMe sinaga mapenz ya hivi nilishadisconnect wire wa mapenz kitambo tu, sitarajii tena kupenda to that extent..
HAya wee[emoji23]husna hayo ni mapenzi ujue bamdogo anamuona katoto
eti mumama kubwa [emoji125]Hastahili kisaa! [emoji57][emoji57]
kweliiiiiiiHAya wee[emoji23]
Hivyo ee...?!zamani ulikuwa mpole sana
NAwewe unasapoti?[emoji87]kabla hawajaachana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mamdogo mbona kwangu ni baby lakini? Basi ajaye naomba mnitongozee maana nashindwa kuelewa mnataka wifi wa aina gani
me nakutaka ww tu urudiNAwewe unasapoti?[emoji87]