Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,790
- 4,678
Mi hata nyie naweza wapa password zangu sio mpenz tu haya iziapo 3972
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Yupi ni mkeo?We huyo mke wangu
Mamdogo mwache wifiyo ajinafasibamdogo sitaki mie
EspyYupi ni mkeo?
Haha... soon ataanzaHahahah ila nadhani bado hajaianza kazi uliyompa... Tungepata habari tu
Mamdogo unachokitafuta utakipataKhaaaa wifi aliyeachwa![]()
hahahahh bamdogo kipi mm nimeuliza au huyu mpya mamdogo mkubwa mkubwa ndio amepewa passwordMamdogo unachokitafuta utakipata
hahahahh bamdogo kipi mm nimeuliza au huyu mpya mamdogo mkubwa mkubwa ndio amepewa password
Mapenzi uchizi... mimi kuna katoto nimekapenda nimekapa hadi password ya JF. Kapost kapendacho
Post hata pumba mama au mtama nitadonoa tu.
