tunakutaka ww tu mdogo mdogo
Mwenyewe hanitaki sasAme nakutaka ww tu urudi
nguvu ya uma atakutaka tu hatumtaki mama kubwaMwenyewe hanitaki sasA
Akili zenu haziwatoshiMwenyewe hanitaki sasA
tunakutaka ww tu mdogo mdogo
Shunie unamsikia babako mdogo?Akili zenu haziwatoshi
nimemsikia we kuwa mpole utarudi tuAkili zenu haziwatoshi
Shunie unamsikia babako mdogo?
SidhaniHaujapata wa kupenda tu... ngoja apatikaneke

Hawaaminiani haoHa ha ha akili za uji wa ulezi ndo zipi jamani,ebu nifahamishe
mapenzi acha yaitwe mapenzi mkiachana unabaki kujuta unajiuliza hivi ni mm kweli nimempa mpk password za atm
Mapenzi kizunguzungu Eeeee... Mnaukumbuka huo wimbo
Nadhani zitakuwa zina miss miss.. Kwa sababu ya usingizi utokanao na ule uji.Ha ha ha akili za uji wa ulezi ndo zipi jamani,ebu nifahamishe
Mkuu tunavunjana mbavu, muda wa kulala.Mapenzi uchizi... mimi kuna katoto nimekapenda nimekapa hadi password ya JF. Kapost kapendacho
Post hata pumba mama au mtama nitadonoa tu.

Dooh, hapo ndo inakuja ule wimbo katika muvi ya kanumba iitwayo Johari, ''kupenda napenda kutaka nataka, lakini roho inaumaaa''hivi visa hutokea..nina rafiki yangu mkenya..kazi yake uanajeshi..kwa vile wakati mwingi alikuwa mipakani kikazi akawa amemfungulia bibiye joint account..kumbe mke akawa kazi kutumia zile hela kwa manufaa yake bila kumjuza mumewe..mwanamme aliporejea akapata hamna chochote cha maana kwenye akaunti ila hangemtimua mkewe kwani hela zote keshawekeza kwenye miradi yake hivyo ingekuwa hasara kubwa kumtimua..