Wacha niuze sura mie

nmeona umepata comment nyingi asee?? kumbe ulitoka na wenzio FB
 
Kwahiyo tundu la pua unauza shilingi ngapi?
 
Unajiita mbabe wakati Colorado code za chumba ni za watoto wa kike!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha! Muuza sura nakujua vizuri sana. Na we unanijua vizuri saana. Ila hutanifahamu mimi ni nani, maisha yako yote.
Hata mimi nakufaham kupitia muandiko wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…