Wacha niuze sura mie

Wacha niuze sura mie

Nkiwa mkubwa nataka nimiliki pc kama jamaa
Mkuu, utakuwa umeshakuwa mkubwa. Maana wakati wakati mimi nikiwa mdogo nilikuwa naita laptop. Nilikuja kujua kuwa laptop inaitwa pc nilipofika chuo.😀😀😀😉
Kwa hiyo fanyafanya utafute mkuu, umeshakua.
 
Haha! Muuza sura nakujua vizuri sana. Na we unanijua vizuri saana. Ila hutanifahamu mimi ni nani, maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom