ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
- Thread starter
- #21
Nimeiomba samahani kama imekukerajifunze kuandika vizuri kwanza
Nimeiomba samahani kama imekukerajifunze kuandika vizuri kwanza
step by step hold onMkuu tupia basi na ya baby wako tumwone
Mmh dada anilishe mim aringe .. Mim na dada tunalishwa na baba na mamaAnalishwa na Dada yake mujini.
Lipo haja litaja ana niogopaHuyu jina lake halipo kwenye list ya makonda
Bado mpaka saa 2 mkuu ujui ratiba za kula nduguTumeona..mama kasha pika tayar ndenda ukale
Mi sijui kweli...maan kurudi kwenyewe home nakuta familia yangu yote ishalala..tuko bize na magu ndgBado mpaka saa 2 mkuu ujui ratiba za kula ndugu
Nitakuwa Tajiri muda sio mrefu ndugu naona watu wana pandiana dauUsisahau kunigawia faida ya mauzo mkuu
NajitahidiDogo we ni fundi pc??
Mwanamke anauza Big butt+BoobsMwanaume unauza surana wanawake sijui tuuze nini
![]()
Wapo wanaume wanavyo hivyo piaMwanamke anauza Big butt+Boobs
Mmh lakin ni baadhi ila sura ni kwa bin Adam wote.... asante kwa kushirikiWapo wanaume wanavyo hivyo pia
made my day axeeKwa hiyo una pc mkuu![]()
Matusi hayo nauza sura siuzi JichoJicho shingapi