PreGE2025 Wabunge wote wa Covid 19 wamekata tamaa ya kuweza kurejea tena bungeni. Wana sonona (Depression)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,071
Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19.

Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge yoyote wa Covid 19 kuweza kurejea bungeni tena.

Msongo mkubwa wa mawazo umewakumba covid 19 karibu wote, hawajui wapi pa kushika au kuacha, wachache wameshakata tamaa na wameanza kimtindo kuaga, ndani ya wiki chache zijazo wataliaga rasmi bunge na kurejea uraiani kula msoto mzito, matusi ya nguoni na kudhalilishwa milele.

Mpaka sasa CCM imegoma kwa 100% kuwahakikishia nafasi yoyote ya ubunge wa kupewa, Chadema walishafunga milango na madirisha yote, ACT hakuna uhakika hata wa 5% kuweza kutoboa na CHAUMMA ni kwenda kujirisha upepo maana kumekufa kabla ya kuzaliwa. Mambo ni magumu kote.
 
Esther na Halima tuwasamehe tuu ila wengine haswa wake za Salim Mwalimu na Benson Kigaila big NO
Suala la kujiuliza baada ya wake za hao Chauma kuwepo ni nani aliwaingiza mkenge?
Nusrat Hanje 😭
 
toka lini mungu akamsamehe shetani!
 
Dhambi yakula pesa za masikini bureee itawarudia wao na kizazi chao.Amin
 
sasa lazima wawe wabunge? hii nchi ina mambo ya ajabu sana
 
Mkuu ubunge sio pesa peke yake...
Hapo mtu anawaza akikosa ubunge tena biashara zake zitakuaje!? Wkt mwngne wanabiashara zao na huwa zinakuwa salama coz ya cheo cha ubunge. (code).
Ingekuwa siyo pesa wangegoma kulipwa pesa nyingi hivyo, kwani akiwa RC/DC nani atamsumbua biashara zake?
 
Hao wakafanye shughuli nyingine , ila ubunge sio rahisi kupata.
Ni vyema pensio yao ya ubunge wasitumie kwenye kuhonga wajumbe watafeli
 
Kwa kuwa wana MITAJI wakakomae na biashara..wanaweza jifanya kwa mwenzao Salome Makamba,amejenga kaghorofa chake Survey, anakula tu KODI
 
Hao wakafanye shughuli nyingine , ila ubunge sio rahisi kupata.
Ni vyema pensio yao ya ubunge wasitumie kwenye kuhonga wajumbe watafeli
Ukiambiwa huwezi Amini wanamadeni hao ni kwamba wamwisho maisha ya uongo uongo muda wote
 
Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19.

Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge yoyote wa Covid 19 kuweza kurejea bungeni tena.

Msongo mkubwa wa mawazo umewakumba covid 19 karibu wote, hawajui wapi pa kushika au kuacha, wachache wameshakata tamaa na wameanza kimtindo kuaga, ndani ya wiki chache zijazo wataliaga rasmi bunge na kurejea uraiani kula msoto mzito, matusi ya nguoni na kudhalilishwa milele.

Mpaka sasa CCM imegoma kwa 100% kuwahakikishia nafasi yoyote ya ubunge wa kupewa, Chadema walishafunga milango na madirisha yote, ACT hakuna uhakika hata wa 5% kuweza kutoboa na CHAUMMA ni kwenda kujirisha upepo maana kumekufa kabla ya kuzaliwa. Mambo ni magumu kote.
Waza kesho yako we ngedere, wenzako wameshatoboa bunge ikivunjwa wanachuku mamia ya mamilioni. We mlo wako wenyewe shida unawaza watu km hao? Pumbaf lisilo na haya
 
Kuchukua jimbo sio mchezo hususani kama tayari alikuwepo mwingine. Tatizo wanaenda kuchukua jimbo la nani?
 
Nimeona hata waliounga juhudi wamekosea pozi kabisa na wengine wameanza kulalamika hadharani. Waitara aliamua kuivua chupi kamati ya siasa ya ccm mkoa, akidai anaoiona haitamtemdea haki kwenye kura za maoni.
 
Back
Top Bottom