Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,037
- 71,271
Na kugawana keki ya Taifa nakupunguza umsakini.Na ndo ujinga waliofanya mke wa makene mbunge wa viti maalumu, sijui Saidi kubenea mke wake mbunge huo ka si favoratism ni kitu gani. Wakati kulikuwa na watu Bora kuliko hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mume mbunge, mke mbunge ...aiseeee ..
Kwan hamna akina mama wachadema walio vzur kichwan??
Sent using Jamii Forums mobile app