Wabunge wawili wa Viti Maalum CHADEMA wahamia NCCR Mageuzi

chadema kila mtu anajigawia mwanamke halafu anampa viti maalumu
Ukitaka kujua.chadema ni chama cha kisanii watu wapo kiulaji zaidi ni pale boniface makene msaidizi wa karibu sana wa mbowe,mkewe anaasi chama,yeye hana nguvu za kumzuia
Jesca kishoa mbunge wa viti maalum,mumewe David kafulila ni RAS Songwe
Tukiwaambia hakuna chama humo mnabisha
Acha ujinga wewe.kwani hayo si nimaisha binafsi ya watu.au aliyekwambia siasa ni ugomvi na uadui ni nani.Hayo mambo ya siasa na vyama iko siku yatapita na maisha yataendelea kati yao.ficha ujinga wako japo kidogo.
 
CD M wajifunze kuchagua watu makini na sio upendeleo Kuna watu walikuwa potential ikiwaacha sio vile hawakuvua chupi Sasa imechagua hao wanawake mabibi wamejichubua hawana mvuto Wala ushawishi siku wangesimamishwa kugombea, Bora kukuza mabinti wadogo una wa shape kiitikadi. Poleni kwa kipindi hichi kigumu.
Hata huko Nccr mageuzi watakuwa mizigo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema iache masuala ya Kuwapa Wake za Viongozi wao Nafasi kama hizi.

Kwanza wanahatarisha hata taarifa za chama , yaan kupitia waume wa hawa mademu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo ujinga waliofanya mke wa makene mbunge wa viti maalumu, sijui Saidi kubenea mke wake mbunge huo ka si favoratism ni kitu gani. Wakati kulikuwa na watu Bora kuliko hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Dr Slaa,Zitto, Wangwe walikuwa na support zaidi ya 50% ya wanachama ila kulikua na madhara yeyote 2015?

CHADEMA wakisimamisha mgombea mzuri wa Urais walau apate kura million 2 pekee hayo ni majimbo walau 15 na viti maalum 20+ basi KUB itaendelea kuwa chini ya CHADEMA.

Siasa ni numbers sio viongozi, CUF aliondoka Lipumba 2015 ila kikaongeza kura sababu alihama Mtu sio wanachama.

Sasa nikuhakikishie chadema wamehama viongozi tu ila wanachama bado wapi loyal.
Kweli mikutano sio kipimo lakini ukiweza pata turnout kubwa walau inakupa fursa ya kuuza sera zako kuliko upuuzwe kabisa.

Hoja yangu ni HII: Wanahama sababu wanahofu CCM itachukua viti vyote kma kule zenji na serikali za mitaa ila sio kwamba Mbowe ndio shida. Mbowe ameshaitwa dikteta na mla ruzuku toka Silinde anasoma chuo bado ila leo ndio wamegundua, wiki chache kabla bunge halijavunjwa?

Hapana mimi ni wa mwisho kuamini Mbowe ndio chanzo. Hata 2015 kuna wengi tu hawakumtaka Lowassa ila kwakuwa walijua atasaidia washinde majimbo walikaa kimya. So hakunaga mwanasiasa eti anasimamia ukweli bali maslahi tu.
Mkuu kwanza naomba tuwe wakweli hapa kuwa mafanikio ya Chadema kwenye ushindi wa majimbo mengi na kura nyingi 2015 haikuwa nguvu binafsi ya Chadema pekee.

UKAWA ulichangia sana tena kwa kiasi kikubwa sana.

Pili ni ukweli ulio wazi kuwa mafanikio yale yalikuwa na nguvu kubwa ya kundi la wana ccm waliokuwa nyuma ya Lowasa.
Kwa hali ilivyo sasa jinsi Chadema inavyo suasua usitegemee wimbi kubwa la kura nyingi kama 2015 hilo halipo kabisa mkuu.

Mimi nitaendelea kuamini kuwa wanahama chama hiki kwasababu wanajua muelekeo mbovu wa Chama, kukosekana kwa maamuzi sahihi kwenye mambo ya msingi, mfano huu uamuzi wa hivi karibuni kuondoka bungeni kwasababu ya Covid-19,sera mbovu za Chama, kutokuwepo kwa maelewano ndani ya Chama n.k.

Sababu si hizo unazosema wewe mkuu, hii hoja ya kuwa eti uchaguzi utakuwa wa figisu, hapo ni kutaka tu kuhalalisha tu madhaifu ya Chadema kwa kivuli cha ccm.

Mimi nadhani Chadema wakae wafanye reform kwenye mifumo yao hili ndio la msingi na si kutupa lawama kwa ccm.
 
Kuhama kwa wanachama wa cdm siyo ajabu na hawakuanza leo hii.

Alihama1: Kabouru

2:Slaa

3:Arthi

4:Zitto

5:Machali

6:Shonza

7:Wangwe

8:Kafulila

9:Olemiliya

10:........

Cdm bado ipo inazidi kuwalaza wabaya wake na viatu.
Ni kweli kwamba CHADEMA iko na hali nzuri kwa sasa? Binafsi naona una matumaini hewa. Tatueni mambo haya kwa hekima.

In God we Trust
 
Swali zuri sana la kiufundi kwa wahusika
Kuhama ni haki yako kikatiba ila "timing" yao ya muda wa kuhama una inabatilisha sababu zote walizotoa.

Kama walikuwa na malalamiko hayo siku zote kwanini hawakuhama kati ya 2016 mpaka 2019 ili wa "sacrifice" mafao kama mheshimiwa Lazaro Nyalandu alivyofanya?

In God we Trust
 
Kama hesabu ndo hizi ndugu yangu Zitto Jr, hakukuwa na umuhimu wa CDM na ukawa kumhangaikia mtu mmoja Lowasa mwaka 2015, naamini ukweli unaujua.
Mkuu lazima tukiri CCM waliweka mgombea aliyekuwa strong sana. Kumbuka agenda kuu ilikua uwajibikaji na vita ya ufisadi sasa Kwa magufulo ilihitajika nguvu kubwa zaidi ili kumfunika.

Dr Slaa angewekwa na Magufuli, obvious angeshinda Magufuli sababu wote tu walionekana wachukia ufisadi ila mmoja alishakuwa serikalini so angeaminiwa zaidi.

So ilipaswa mtu tofauti kabisa ndio awekwe ili kuweza kuigawa CCM na kubeba kura zote za upinzani. And that man was Lowassa.

Kwahiyo Lowassa kuwa ilikua special case ila haimaanishi upinzani haukuwa na nguvu bila ya lowassa, kumbuka uchaguzi serikali za mitaa 2014 CCM ilipoteza zaidi ya 30% ya viti vyake. So unaweza ona upinzani ulishaota mizizi ila Magufuli alikua hana makando kando kabisa kulinganisha na CCM wengine.

So October akipatikana mjenga hoja mzuri kushawishi sera zake bado sijaona kivp CHADEMA izidiwe na wapinzani wengine.
 
Amandlaaaaaaa
Ni tabia iliyojengeka katika jamii nyingi ya kuamini kuwa mwanawake hawezi kufanikiwa bila kulala na mwanaume mwenye mamlaka juu yake. Kutokana na imani hii, hamna njia rahisi ya kumchafua mwanaume mwenye madaraka kama ya kusema ama alikutaka kingono au alikulazimisha utembee nae ili upate cheo au maslahi mengine. Hii hali imetawala kuanzia vyuoni ( msichana hawezi kufaulu bila kulala na profesa), makazini ( nesi hawezi kufanikiwa bila kulala na daktari), sehemu za ibada ( muumini huyu anatembea na mchungaji ndio maana mambo yake yako vizuri) n.k. Hii ni hatari sana na si tu inadhalilisha wanawake wote ambao wamepigana sana hadi kufika hadi walipofika bali vile vile viongozi wa kiume ambao wametambua uwezo wao. Kama Esther Bulaya alivyosema, watu wawe na akiba ya maneno. Sio lazima kuchafua ndio uaminike. Kutofautiana kiitikadi au namna ya kufanya siasa ni sababu zinazotosha sana mtu kuamua kuwa hapa mahali hapanifai. Haya yanayofanyika wala hayapendezi. Mbaya zaidi ni kuwa pengine kuna ukweli katika shutuma zao lakini watu wanashindwa kuwaamini kwa namna walivyozitoa.

Amandla...

In God we Trust
 
Hah, hawataki kushikishwa ukuta tena na dj kwa ajili ya kupata ubunge viti maalum!
 
Ukisema hivi mkuu utakuwa unamsingizia tu magufuli, kwasababu malalamiko ya kama haya hayakuanza leo, tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 95 huko malalamiko haya yalikuwepo ikidaiwa ccm inaiba kura na tangu hapo kila uchaguzi ulio fuata wimbo ulikuwa ni huo wa kuibiwa kura hadi leo.
Bado sasahivi yanakuja haya mengine ya udikteta.

Lakini mkuu tusiukatae ukweli kuwa ndani ya chama kuna shida we haiwezekani watu wote hawa heti wawe wananunuliwa tu sio kweli hili ni gumu kuaminika.

Alafu mkuu usisahau kuwa haya yanayo endelea kwenye hiki chama watanzania wanaona na kumbuka watanzania sio wajinga kiasi hicho mkuu wanajua nini wanafanya.

Haya mambo haya ndo yanafanya chama kudharaulika machoni mwa watanzania wengi.

Wakati wa nyuma malalamiko yalikuwa ni kuibiwa kura jambo ambalo ni kweli, lakini kwa sasa sio wizi wa kura tena, bali ni kuagiza tume kumtangaza mgombea wa ccm bila kujali matokeo ya kura, kisha vyombo vya dola kutumia nguvu kulinda mshindi haramu. Kwa taarifa yako hakuna chama kisicho na mapungufu, ila hii trend ya kuhama sasa haitokani na huo udhaifu wa chama, bali ni nguvu ya ziada iliyo nje ya sababu za kisiasa.

Haya yanayoendelea kwenye hiki chama ni kweli tunayaona ila tunajua fika ni hujuma za wazi ili kuiua cdm. Wananchi wengi tuna uelewa mkubwa sana, usidhani tumelala na tunaweza kudanganyika na propaganda mfu za ccm. Lengo hasa la kuwanunua na kuwalaghai hao viongozi wa cdm ni ili kuharibu haiba ya cdm, ili kuweka uhalali wa hujuma zinazotaka kufanywa kwenye uchaguzi, lengo likiwa ni kuhadaa umma kuwa ccm inakubalika na cdm haikubaliki ndio maana imeshindwa. Na sisi kwa kulitambua hilo, ndio maana hatuko tayari kushiriki kwenye uchaguzi wowote chini ya Magufuli bila tume huru ya uchaguzi. Tuko tayari wahame viongozi wote wa cdm, lakini kuwepo na tume huru uchaguzi kisha uje uchukue mrejesho. Kizazi hiki sio cha ccm, ndio maana unaona hujuma za wazi dhidi ya cdm ili kukibakisha madarakani hicho chama za wazee. Kwa sasa hivi kuna kundi la wanaccm wamemwagwa humu mitandaoni ili kuteka ufahamu wa wanacdm, lakini wanacdm ni next level.
 
Na bado.Wanachadema andaeni matusi tu kwa wingi maana kila anayewaacha huwa mnatukana na kejeli kibao mara kanunuliwa mara mzigo mara msaliti.Watakaowahama ni wengi kwa hiyo andaeni matusi ya kutosha,hakuna cha kununuliwa wala nini mtu akipingana kimawazo na mbowe tu huyo ni msaliti kanunuliwa.Haiwezekani watu wote mkawaza sawa,wanaojitambua wataikacha sana chadema.
 
Mkuu kwanza naomba tuwe wakweli hapa kuwa mafanikio ya Chadema kwenye ushindi wa majimbo mengi na kura nyingi 2015 haikuwa nguvu binafsi ya Chadema pekee.

UKAWA ulichangia sana tena kwa kiasi kikubwa sana.

Pili ni ukweli ulio wazi kuwa mafanikio yale yalikuwa na nguvu kubwa ya kundi la wana ccm waliokuwa nyuma ya Lowasa.
Kwa hali ilivyo sasa jinsi Chadema inavyo suasua usitegemee wimbi kubwa la kura nyingi kama 2015 hilo halipo kabisa mkuu.

Mimi nitaendelea kuamini kuwa wanahama chama hiki kwasababu wanajua muelekeo mbovu wa Chama, kukosekana kwa maamuzi sahihi kwenye mambo ya msingi, mfano huu uamuzi wa hivi karibuni kuondoka bungeni kwasababu ya Covid-19,sera mbovu za Chama, kutokuwepo kwa maelewano ndani ya Chama n.k.

Sababu si hizo unazosema wewe mkuu, hii hoja ya kuwa eti uchaguzi utakuwa wa figisu, hapo ni kutaka tu kuhalalisha tu madhaifu ya Chadema kwa kivuli cha ccm.

Mimi nadhani Chadema wakae wafanye reform kwenye mifumo yao hili ndio la msingi na si kutupa lawama kwa ccm.
1. Ukawa gani ilisaidia? Wote tunafahamu CUF ina nguvu pwani na visiwani tu ila kma wangesimamisha wagombea na CHADEMA hakuna jimbo wangeshinda ila kuachiana kuliwasaidia CUF. Ukitaka kujua hilo angalia kura za wabunge wa CUF zilitoa viti maalum 8 pekee ilihali wabunge wa CHADEMA walizoa kura zaidi ya Million 5. Mnufaika wa UKAWA ni CUF na Mbatia tu sio CHADEMA maana ilishakua na mgombea kila kata nchi nzima. Hata serikali za mitaa 2014 CHADEMA ilizoa mitaa 70% ya upinzani.

2. Lowassa aliongeza kura ila ukipiga hesabu 2010 wapinzani walipata 38% bila Lowassa ila 2015 walipata 42% kwahiyo utaona Lowassa aliongeza 4% pekee kwa matokeo ya NEC . Nachosema upinzani ulishakua na nguvu ila walihitaji tu mgombea ambaye atapata kura za upinzani na CCM so Lowassa aliongeza tu sio kwamba ndio alizileta zote million 6.

3. Mkuu narudia tena hakuna mwanasiasa huwa anahama sababu ya sera wengi ni maslahi. Hvi Zitto na Dr slaa walivyosepa trust me kma mgombea angekua Lipumba na hana muelekeo wa kushinda wote wangehama ila walishajua Lowassa alishinda so wote wakamtosa Zitto akaambulia 1% pekee. Kwahiyo utaoma sababu za kuhama zipo kitambo tu ila maadamu walijua watashinda majimbo hawakuwa na presha ya kuhama. Ila kwa sasa wanaona uwezekano wa kushinda kwa utawala huu wa kibabe ni mdogo so ndio wanaona wahame sasa.

4. Narudia tena sababu za wao kuondoka CHADEMA zilikuwepo toka enzi za Zitto, wangwe na Dr Slaa wanaondoka ila mbona kina kafulila hawakutoka?? Sababu walijua kwa zitto hawezi shinda mbele ya Lowassa!!
Mwanasiasa akihakikishiwa ulaji hata aone Mbowe anaua mtu atamtetea hadi asubuhi.
 
True
 
Hakuna ukweli wowote.ccm inatumia nguvu ya dola kukidhoofisha Chadema lakini ambacho hawaelewi ni kwamba upinzani upo kwa wananchi.hata hiyo NCCR Mageuzi wanayotaka kuitumia kuua Chadema mwisho itawageuka tu.upinzani is there to stay.
Angalau unaongea kama umepoteza matumaini.
safi sana! Endeleeni kucheza disco la dj.
 
Back
Top Bottom