News Alert: Wabunge wawili wa Viti Maalum CHADEMA wahamia NCCR Mageuzi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
86,515
2,000
Hilo jumba bovu halianguki tu sasa ni zaidi ya miaka 20 +, kila siku mnaimba taarabu hizo hizo?
Wamekataa udikteta wa mbowe,ukatwe 30% ya mshahara kila mwezi halafu mtu fulani tu akatumbue hiyo hela ng'ambo.Utakuwa na akili timamu?Bora wasepe tu na hao waliobaki wamebaki kufanya nini?Ngoja jumba bovu liwaangukia October 2020 siyo mbali na ndio utakuwa mwisho wa siasa za kilaghai.
In God we Trust
 
Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,662
2,000
Kama kuungua nyumba ya cdm haikuanza leo, labda mtu mjinga tu ndiyo anaweza kuona kuwa yanayo tokea hii leo ni mapya kisiasa hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi.

Kama mwenyekiti wa ccm alitangaza wazi wazi kuwa atahakikisha upinzani unakufa kabla ya mwaka 2020 wewe kajamba nani unashangaa kitu gani?

In God we Trust
Sasa mbona unataka kulia?
 
JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
3,736
2,000
Kwa chaguzi feki zinazoendelea sasa ni wazi anayetaka ubunge lazima ategemee hisani ya mungu mtu wa ccm. NCCR share yao wameshahakikishiwa kwa hiyo ni wazi wanaotaka uhakika wa kupata japo viti maalum ni ama waende ccm au waende NCCR ambao tayari wameshahaidiwa share yao.Kwa kifupi wananchi wataenda kupoteza muda kwenye kupiga kura.
 
Huo ndiyo ukweli ambao kwa wale waabudu malaika kamwe hawataki kuusikia hata kidogo maana unawavua nguo

In God we Trust
 
Brother Kaka

Member
Jun 11, 2013
58
95
Wabunge Joyce Sokombi na Sussane Masele (CHADEMA-VITI MAALUM) wametangaza kuhama CHADEMA na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi mara baada ya kuhitimishwa kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sussane Masele ni mke wa ndoa wa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa CHADEMA anayeitwa Tumaini Makene

=====
Wabunge Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara) wametangaza kuondoka CHADEMA mara baada ya kumaliza kipindi chao cha Ubunge, Juni mwaka huu

Wamesema, uamuzi wao wa kuondoka CHADEMA umetokana na chama hicho kutawaliwa na ubinafsi, matumizi mabaya ya rasimali za chama na ubabe wa kiongozi Mkuu wa chama hicho

Wamedai kuwa, “hali hii imekuwa mbaya zaidi baada ya Esther Bulaya, kuteuliwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa Kambi yetu na kujipa mamlaka yaliyopitiliza

Maselle amesema “Kabla ya hapo, palikuwepo na kafursa kakuulizwa na kujipendekeza. Wakati huu, ni amri tu. Kwa kifupi, maamuzi mengi ni ya kibabe na yenye kudharau watu wengine na kwa bahati mbaya Kiongozi Mkuu wa chama na ambaye pia ni KUB haonyeshi kuchukua hatua kurekebisha hali hii"

Kuhusu suala la kutoingia Bungeni, wabunge hao wawili wamesema, “suala la kutoingia Bungeni kwa siku 14 lilianzishwa na Esther Bulaya, ambaye kwa sasa inawezekana ndiye Mshauri Mkuu wa Freeman Mbowe kwa mambo ya chama na Bunge"

Wameeleza “Kwamba, mheshimiwa Bulaya ndiye aliyeanza kutoa maelekezo kwa Wabunge kuwa wasiingie Bungeni kwa siku 14, lakini Wabunge wakahoji mamlaka ya kufanya hivyo ameyatoa wapi?

Aidha, “Baadhi ya Wabunge akiwamo wale waandamizi kabisa, wakataka kiitishwe kikao cha Kambi ya Upinzani ili tuweze kujadili jambo hilo kwa mapana kwa kuweka bayana hasara na faida zake”

Amesema, sisi Wabunge wa Chadema tulikuwa tunachanga Tsh. 1,560,000 kwa Wabunge wa Viti Maalum kila mmoja na Sh. 520,000 kwa Mbunge wa jimbo kila mwezi

“Hapa hoja siyo kuchanga, kwanza ni takwa la kikatiba, hoja ni jinsi fedha hizo za michango ambayo tuliambiwa zitatumika kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao, jinsi zilivyotumika nje ya mipango iliyokusudiwa, na bila idhini ya vikao vyenye mamlaka hiyo"

View attachment 1456596
Kwa hiyo huyo Makene naye alimpitia huyo mama ndio akapata ubunge!!?? Upinzani ktk nchi hii bado kuna safari ndefu. Hizi tuhuma na kukurupuka za kusajili wasaliti ndio zinaharibu chama. Itachukua miaka mingi sana kwa upinzani TZ kuimarika kama wataendelea kufanya upuuzi huu unaoendelea..
1. Matumizi mabaya ya pesa za michango ya wabunge
2. Rushwa ya ngono (viti maalumu)
3. Hakuna ofisi yake
4. Matumizi mabaya ya ruzuku
5. Ukabila
6. Kusajili na kuwapa nafasi mamluki
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
8,293
2,000
Wakati Zitto yuko CDM, marehemu mama yake alipewa viti maalum, Marehemu dada yake Tundu Lissu pia alipewa viti maalum 2015, kuna yule demu nyumba ndogo wa Mbowe aliyemzalia watoto wawili naye yumo viti maalum, etc etc etc.
Viti vyao maalum huwa wanavgezo vyao private vya kuvitoa.

Kwa nafasi ya Mdee, hata Bulaya atapewa viti maalum 2020 asipotoboa Bunda.
Sasa wanahubiri vitu ambavyo hawawezi tekeleza full upendeleo na lengo la viti maalumu ilikuwa kuwawezesha wanawake after a term waende majimboni Sasa wao wanagawana kisa ngono, wanawake wenyewe viti maalumu ni vilaza ka hao wa CDM Kama mashangingi flani hafu empty set. Hivi viti maalumu waangaliwe wenye uwezo wengine hata kutoa hoja huwa hawajui kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
7,673
2,000
Wabunge Joyce Sokombi na Sussane Masele (CHADEMA-VITI MAALUM) wametangaza kuhama CHADEMA na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi mara baada ya kuhitimishwa kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sussane Masele ni mke wa ndoa wa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa CHADEMA anayeitwa Tumaini Makene

=====
Wabunge Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara) wametangaza kuondoka CHADEMA mara baada ya kumaliza kipindi chao cha Ubunge, Juni mwaka huu

Wamesema, uamuzi wao wa kuondoka CHADEMA umetokana na chama hicho kutawaliwa na ubinafsi, matumizi mabaya ya rasimali za chama na ubabe wa kiongozi Mkuu wa chama hicho

Wamedai kuwa, “hali hii imekuwa mbaya zaidi baada ya Esther Bulaya, kuteuliwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa Kambi yetu na kujipa mamlaka yaliyopitiliza

Maselle amesema “Kabla ya hapo, palikuwepo na kafursa kakuulizwa na kujipendekeza. Wakati huu, ni amri tu. Kwa kifupi, maamuzi mengi ni ya kibabe na yenye kudharau watu wengine na kwa bahati mbaya Kiongozi Mkuu wa chama na ambaye pia ni KUB haonyeshi kuchukua hatua kurekebisha hali hii"

Kuhusu suala la kutoingia Bungeni, wabunge hao wawili wamesema, “suala la kutoingia Bungeni kwa siku 14 lilianzishwa na Esther Bulaya, ambaye kwa sasa inawezekana ndiye Mshauri Mkuu wa Freeman Mbowe kwa mambo ya chama na Bunge"

Wameeleza “Kwamba, mheshimiwa Bulaya ndiye aliyeanza kutoa maelekezo kwa Wabunge kuwa wasiingie Bungeni kwa siku 14, lakini Wabunge wakahoji mamlaka ya kufanya hivyo ameyatoa wapi?

Aidha, “Baadhi ya Wabunge akiwamo wale waandamizi kabisa, wakataka kiitishwe kikao cha Kambi ya Upinzani ili tuweze kujadili jambo hilo kwa mapana kwa kuweka bayana hasara na faida zake”

Amesema, sisi Wabunge wa Chadema tulikuwa tunachanga Tsh. 1,560,000 kwa Wabunge wa Viti Maalum kila mmoja na Sh. 520,000 kwa Mbunge wa jimbo kila mwezi

“Hapa hoja siyo kuchanga, kwanza ni takwa la kikatiba, hoja ni jinsi fedha hizo za michango ambayo tuliambiwa zitatumika kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao, jinsi zilivyotumika nje ya mipango iliyokusudiwa, na bila idhini ya vikao vyenye mamlaka hiyo"

View attachment 1456596
HAWA NI WAKE ZA WATU, mmoja ni mke wa MAKENI, sasa sisi ma-JAJI tuwajuze tu, Jinai haifi, " Tunawaomba waende mara moja dawati la jinsia waseme walimpa lini MBOWE papuchi kama rushwa ili wateuliwe hivyo viti maalum!

Wakati wanatoa maelezo wakumbuke pia kutaja tarehe, na ikumbukwe kiila mbunge mwanamke anadai KUGAWA PAPUCHI kwa Mbowe, that means Mbowe ni zaidi ya FARU JOHN!

Na, waume zao , akianzia Makene , ajue amegongewwa mke na Mbowe!

Wakati wanaripoti wajue "viti maalum" havina mana tena maana kwanza wenyewe hata ilikuwa haijulikani kama wapogo, na japo wamehongwa hio ml 200 wahamie NCCR, na fedha zimetoka CCM lakini wameaibisha NYUCHI na wanawake kiasi kwamba WASOMI WENGI WATAOGOPA KUINGA KWENYE SIASA WAKIJUA LAZMA UVUE CHUPI kumbe ni maneno waliyoandikiwa na MATAGA wa LUMUMBA kumchafu MBOWE.
 
battawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
1,421
2,000
Mkuu sio majungu,nimemsikiliza suzani,anasema kachoka kuombwa rushwa ya ngono na mwenyekiti wa chama

Sasa Mimi najiuliza hivi kweli sisi kama wananchi tutaiamini vipi CHADEMA hadi kuipa nchi ikiwa mwenyekiti tu anatumia nafasi yake kuwa piga miti wanachama huyu akipewa nchi atapiga miti raia wote,hafai hata kwa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwanamke kapigwa miti miaka 5 kaufyata kimyaaa anafaudu tunda ,leo kumekucha tena ndio anatowa siri ya chumbani, huu ni ujinga wa kutupwa ,
kama
Kule Marekani Kuna Kahaba mmoja vilevile anadai mgombea wa democrat dhidi ya Trump kuwa alimnyanyasa kingono miaka mingi iliyopita tangu wangali vijana,

Leo lile limama lisha zeeka ,ndio linatowa madai hayo.

Sasa Ikiwa hizi ndio siasa za siku hizi duniani, kazi ipo kweli.

Sasa Suzan aseme kapata mimba ngapi za Mbowe kwa muda wote huo wa Umalaya wake na ikiwa hao watoto aliomzalia mumewe ni watoto wa Mbowe kwa miaka 5?
Watu wa namna hii wanania ya kuvunja nyumba ya Muh. Mbowe na kumvunjia adabu kwa familia yake kwa kumsema baba yao ni Malaya hadharani. Aidha inaweza kuwacost ndoa zao pia, kwani kama mii ndio Mke wangu Suzan itabidi tuekane pembeni kuambiana kwa kina,Ilikuwaje miaka yote hiyo kunificha siri hiyi kumbe naibiwa?

Watu wa Sheri hii imekaaje ?
 
Master Mind

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
892
1,000
Wabunge Joyce Sokombi na Sussane Masele (CHADEMA-VITI MAALUM) wametangaza kuhama CHADEMA na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi mara baada ya kuhitimishwa kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sussane Masele ni mke wa ndoa wa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa CHADEMA anayeitwa Tumaini Makene

=====
Wabunge Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara) wametangaza kuondoka CHADEMA mara baada ya kumaliza kipindi chao cha Ubunge, Juni mwaka huu

Wamesema, uamuzi wao wa kuondoka CHADEMA umetokana na chama hicho kutawaliwa na ubinafsi, matumizi mabaya ya rasimali za chama na ubabe wa kiongozi Mkuu wa chama hicho

Wamedai kuwa, “hali hii imekuwa mbaya zaidi baada ya Esther Bulaya, kuteuliwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa Kambi yetu na kujipa mamlaka yaliyopitiliza

Maselle amesema “Kabla ya hapo, palikuwepo na kafursa kakuulizwa na kujipendekeza. Wakati huu, ni amri tu. Kwa kifupi, maamuzi mengi ni ya kibabe na yenye kudharau watu wengine na kwa bahati mbaya Kiongozi Mkuu wa chama na ambaye pia ni KUB haonyeshi kuchukua hatua kurekebisha hali hii"

Kuhusu suala la kutoingia Bungeni, wabunge hao wawili wamesema, “suala la kutoingia Bungeni kwa siku 14 lilianzishwa na Esther Bulaya, ambaye kwa sasa inawezekana ndiye Mshauri Mkuu wa Freeman Mbowe kwa mambo ya chama na Bunge"

Wameeleza “Kwamba, mheshimiwa Bulaya ndiye aliyeanza kutoa maelekezo kwa Wabunge kuwa wasiingie Bungeni kwa siku 14, lakini Wabunge wakahoji mamlaka ya kufanya hivyo ameyatoa wapi?

Aidha, “Baadhi ya Wabunge akiwamo wale waandamizi kabisa, wakataka kiitishwe kikao cha Kambi ya Upinzani ili tuweze kujadili jambo hilo kwa mapana kwa kuweka bayana hasara na faida zake”

Amesema, sisi Wabunge wa Chadema tulikuwa tunachanga Tsh. 1,560,000 kwa Wabunge wa Viti Maalum kila mmoja na Sh. 520,000 kwa Mbunge wa jimbo kila mwezi

“Hapa hoja siyo kuchanga, kwanza ni takwa la kikatiba, hoja ni jinsi fedha hizo za michango ambayo tuliambiwa zitatumika kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao, jinsi zilivyotumika nje ya mipango iliyokusudiwa, na bila idhini ya vikao vyenye mamlaka hiyo"

View attachment 1456596
Vp makene nae atamfata wife au??

Its not over until its over...
 
daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
336
500
Chadema hakuna kuumiza vichwa, wamenunuliwa hao kwa pesa au uongozi tu mtu hawezi kuondoka chadema kwa vyovyote hiki chama kilianza na mungu na kumaliza na mungu yaani chama chenyewe kilianzishwa binguni. Yaani kivipi yaani.
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
7,673
2,000
Huyu mwanamke kapigwa miti miaka 5 kaufyata kimyaaa anafaudu tunda ,leo kumekucha tena ndio anatowa siri ya chumbani, huu ni ujinga wa kutupwa ,
kama
Kule Marekani Kuna Kahaba mmoja vilevile anadai mgombea wa democrat dhidi ya Trump kuwa alimnyanyasa kingono miaka mingi iliyopita tangu wangali vijana,

Leo lile limama lisha zeeka ,ndio linatowa madai hayo.

Sasa Ikiwa hizi ndio siasa za siku hizi duniani, kazi ipo kweli.

Sasa Suzan aseme kapata mimba ngapi za Mbowe kwa muda wote huo wa Umalaya wake na ikiwa hao watoto aliomzalia mumewe ni watoto wa Mbowe kwa miaka 5?
Watu wa namna hii wanania ya kuvunja nyumba ya Muh. Mbowe na kumvunjia adabu kwa familia yake kwa kumsema baba yao ni Malaya hadharani. Aidha inaweza kuwacost ndoa zao pia, kwani kama mii ndio Mke wangu Suzan itabidi tuekane pembeni kuambiana kwa kina,Ilikuwaje miaka yote hiyo kunificha siri hiyi kumbe naibiwa?

Watu wa Sheri hii imekaaje ?
Namsifu Mbowe, ni dume, kawapiga miti wabunge wote wanao hama!
 
Top Bottom