mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,305
- 13,640
Moja ya propaganda iliyo feli Ni hii ya kusema wana nunuliwaPesa inayotumika kuidhoofisha chadema itumike kuleta maendeleo siyo kuliwa na madalali wa siasa huko CCM matokeo yake mnaanza kuwatumia wasiojulikana kuwapiga chadema.