Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema itumike kuleta maendeleo siyo kuliwa na madalali wa siasa huko CCM matokeo yake mnaanza kuwatumia wasiojulikana kuwapiga chadema.
Moja ya propaganda iliyo feli Ni hii ya kusema wana nunuliwa
 
Jumba bovu_chadema
Lingekuwa ni jumba bovu mngehangaika kuwabambikia kesi?kuwapi risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote za marudio? Acheni kutumia pesa za walipa kodi kwa matendo haramu yasiyo na tija kwa watanzania
 
Moja ya propaganda iliyo feli Ni hii ya kusema wana nunuliwa
Wenzako ni madalali wa siasa lijuakali sasa yupo kwenye kamati ya ununuzi kila kichwa anachofanikisha anapata 10% wewe endelea kupiga kelele humu wenzako wanapiga pesa hawana uchungu na kodi za wananchi wao wanajali matumbo yao tu
 
Mradi mkubwa uliopo CCM ya sasa ni mradi wa tokomeza chadema ni mradi uliobuniwa na wajanja wachache huko CCM ambao wametajirika sana kupitia mradi huo wa ununuzi wanachama wa chadema kuidhoofisha chadema ni mradi wa kifisadi sana pesa nyingi ya walipa kodi imepotelea hapo
 
Sikuwahi kuwasikia hao wabunge, vizuri CDM ipunguze mizigo isiyo na tija.
Kwa kweli majina yao ni mageni sana.

Tumezoea kusikia Mdee Matiko na Bulaya.Kwa nini walikuwa wakimya sana??

Watakumbukwa kwa kutetea nini?
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia tena.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
ila mwenye akili timamu ni yule anaewaza kumuongezea pombe miaka ya kuongoza ili hali anajua magufuli hafai hata sifuri kwa udikteta wake
 
Chadema kuna mambo mengi mnatakiwa mjifunze
Kwa ufupi iko hivi 90% ya Wanawake Narudia tena Wanawake wa Vyama vyote ni FURSA MASLAHI KUKOMOANA Na Kutengeneza majina mjini.
Mkiendelea kuwateua kwa sababu za kujuana kimapendo zaidi hapa ndipo mnapokwama.

Hao wameahidi Ubunge wa Viti Maalum CUF na NCCR si CCM kwani ccm ina wenyewe
Upinzani Tz bado sana
Ipo mikutano ya chini chini ndani ya Chama namna ya kujiondoa Chadema
Kuna ahadi kedekede

Vitu Maalumu ilipashwa liondolewe ni mzigo kwa Walipa Kodi
Chadema mna maswali mengi ya kuwajibu Wananchi
All in All pigeni Mwendo wale wenye kuipenda Tz na kuipenda Demokrasia
Nakupenda dada!
 
Mradi mkubwa uliopo CCM ya sasa ni mradi wa tokomeza chadema ni mradi uliobuniwa na wajanja wachache huko CCM ambao wametajirika sana kupitia mradi huo wa ununuzi wanachama wa chadema kuidhoofisha chadema ni mradi wa kifisadi sana pesa nyingi ya walipa kodi imepotelea hapo
Halafu malofa wanashangilua!
 
CHADEMA taasisi imara inayowatengeneza vijana kwenda ccm kushika nyadhifa.
 
Hawa wabunge wanachokifanya ni kama kwenye interview tu.. unachagua kozi rahisi ili ujiongezee chance then unaenda kuhama kozi
 
Back
Top Bottom