Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Siasa Sio kujichukulia tu watu ukawaweka kwenye chama ukafikir utaleta upinzan siku zote kwenye siasa wanaangalia ushawis pia jua kabisa kila Jimbo alilo toka mbunge wa chadema na kuhamia chama kingine jua kabisa ilo Jimbo chadema wamelipoteza Sasa endelea kuamin vijana wapya watakuja
Now in time, no wonders.

Chama bora cha siasa huwa kinaandaa vijana ambao wakati ukifika kiutawala wanakuwa na uwezo mkubwa kuingia rasmi ktk mfumo wa kiuongozi na kuongoza vyema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameogopa kumfukuza msabaha, watapoteza viti maalum kama vinne hivi. Vyama vya kidikteta na kisanii utavijua tu
 
Bado chadema inamvuto Sana kwa Jamii huo ndio ukweli watu wanaiamini Kama taasisi pekee inayotetea wanyonge. Silinde na komu ndio mshakufa kisiasa hivyo.
Kiongozi huwezi kuhama chma halafu unakufa kisiasa. Hata kwa Zito mlisema hivyo. Lakini bado yipo.
 
Now in time, no wonders.

Chama bora cha siasa huwa kinaandaa vijana ambao wakati ukifika kiutawala wanakuwa na uwezo mkubwa kuingia rasmi ktk mfumo wa kiuongozi na kuongoza vyema...
Acha kujidanganya kama vijana wapo wameandaliwa kwa nini ukihoji chochote kuhusu mwenyekiti wetu safari imeiva. CCM wanavijana wengi na wanatumika sana.
 
Kajifunze kwanza kuandika we mwanafunzi wa Chakubanga.
tulisema tukabezwa humu, kuwa mpaka 2020 wakati wa uchaguzi, chadema itakuwa imebaki na mwenyekiti tu hawa wote waliofukuzwa ndio waliokuwa wajenzi wa chadema 2010_2015 eti sasahivi ndio wamekuwa wasaliti.

Tabu ya Mbowe ataki kuhambiwa ukweli kuwa ndiye alialibu chadema Kwa gia yake ya angani. Sasa wanatafunana wenyewe Kwa wenyewe watamalizana. Mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa naipenda chadema, lakini huu ni udikiteta kama wa CCM tu,
Yaani hata hawa ukiwapa nchi, yaliyompata nape, membe, sophia simba, yatawapata wanachama wengine wa Chadema.

Mbunge anachaguliwa na wananchi harafu kamati ya watu wachache, wanamnyanganya ubunge Wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez watofautisha na popo hawa viumbe
Mgombea binafsi walitaka hao CHADEMA ila CCM iligoma 2015!!

Katiba inasema unakuwa mbunge ukidhaminiwa na chama, hivyo mbunge lazima tu awe loyal kwa chama kabla ya wananchi.

Na ndio maana ukivuliwa uanachama spika anatangaza jimbo liko wazi kwa NEC.

Sasa nachoshangaa hao hao CCM waliokataa mgombea binafsi eti leo hii wanalalamika mbunge kufukuzwa chama anakosa ubunge.

Jamani CCM ndio waliosababisha haya sio CHADEMA, so wasijifanye wana uchungu na Silinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kama walishasema wanaenda upande wa pili waachwe tuu waendelee kufanya uharibu? Hivi mke wa Chuwa akamwambia Chuwa ifikapo July 2020 sitakuwa nawewe naenda kuolewa na Massawe, unataka Chuwa aendelee tuu kuishi na huyo mke hadi July 2020 amkabidhi Massawe?

Chama kinafuata mawazo ya mtu mmoja ndio tatizo siyo kila kitu ni cha kupinga hata kama ni mpinzani
 
Huwa naipenda chadema, lakini huu ni udikiteta kama wa ccm tu,
Yaani hata hawa ukiwapa nchi, yaliyompata nape, membe, sophia simba, yatawapata wanachama wengine wa chadema,
Mbunge anachaguliwa na wananchi harafu kamati ya watu wachache, wanamnyanganya ubunge Wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wananchi wangemchaguaje bila kupata ridhaa ya chama chake?
 
Wait, mbunge anafukuzwa uanachama sababu 'kahudhuria' bunge???

Au sijaelewa wengine tupo nyuma ya updates.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Sifa za SACCOS sizijui hebu nieleze labda naweza kuamini kwamba CHADEMA ni SACCOS!!
Una taarifa huko Machame wazee hawamtaki Mwenyekiti wenu wa maisha Mh. Mbowe Mugabe? Mlisema wale vijana waliovuruga mkutano wake wamenunulia na hawa wazee wamenunuliwa?
 
Back
Top Bottom