mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,387
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.
Pia katika Uwizi mkubwa wa Kura unaofanyikaga katika uchaguzi, wasuka mipango na wahusika wakubwa huwa ni Wabunge wanaomaliza vipindi vyao au ambao wanagombea, na kwa kidogo serikali ya Wilaya, na Rais mara nyingi huwa yupo mbali kwenye chain of Command hivyo interest ya wizi wa kura kwako ni kidogo. Hivyo kiuhalisia Uchaguzi ukiwa huru na wa Haki sidhani kama Rais aliyepo madarakani anaweza kushindwa bali atapata kura kwa Uchache sana, ila sasa wabunge ndo wataanguka vibaya mno, na wabunge wanalijua hilo hivyo wao huwa wanahusika na uwizi kwa asilimia kubwa.
Wabunge ambao ni mawaziri , na ambao ni washauri wakubwa wa Rais hawawezi kumshauri Rais aweke Uchaguzi huru na wa Haki kwakuwa wanajua wao ndo watakuwa wakwanza kuondolewa majimboni , kitu ambacho hawataki na hawawezi kufanya ili waendelee kuwa wabunge kwa njia hizo haramu, wabunge wa CCM waliingia kwa njia haramu hivyo hawatakubali njia hizo zitolewe mana zitawaathiri sana. Rais Hataathirika sana na atashinda japo kwa tofauti ya kura Chache. Hivyo No reform No Election na kutosaini kanuni kumehamisha vita ndani ya CCM, kuwa Ukipitishwa CCM wewe tayari ni mbunge moja kwa moja, sidhani kama CHAUMA au ACT wanaweza Tangazwa kwa Staili ya uchaguzi huu hata wakishinda
Pia kwa watu wa Karibu wa Mkurugenzi wa TANESCO aliyepata Ajali (Rest in Peace) toka kitambo alikuwa na mpango wa kugombea Jimbo la Bunda, hata kabla hajateuliwa kuchukua nafasi ya maharage chande, hivyo hatujui kama alikuwa na lengo la kugombea mwaka huu au la, lakini alikuwa na Nia ya kuchukua jimbo la Mtu. Sasa