Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Mzee upo drs la ngapi
 
Dah, nimesikitika Sana, kumbe huku JF kuja vilaza wengi Sana kama insta Tu, eti hawajaelewa,. Duh,
yaani acha tu siamini jf members wanapoteza ile dhana iliyojengeka kwa kipindi kirefu ya Home of great thinkers(GT)
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Elewa falsafa iliyopo nyuma ya huo wimbo.
 
Hapo inahtajika akili kubwa kuwaelewa. Wameimba ironically. Wamesema wanaimani na jk na mkapa lakn pia kupitia budget yao wanataka mikataba ipelekwe bungen. Sasa hapo ndio utajua iman yao ipoje dhid ya jk na mkapa
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Naamini kama kweli wameimba hivyo lengo ni kuwakejeli CCM ambao miaka hiyo ya tawala hizo huo ndio ulikuwa wimbo wao.
 
Hamja waelewa, maaana yao hawa wanao jitia kusema wanatka mikataba ipitiwe upya walikua wanaimba uo wimbo wakati marais hao hapo nyuma walipo kua wanasign mikataiyo mibovu
 
Back
Top Bottom