Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

Tatizo watu huwa hatutafakari maneno kabla ya kuandika. Kumbuka Mr. Pombe kawananga jinsi watu walikiwa wakitajirika na kupanda ndege kusign mikataba huko nje, je nani alikuwa anawatuma? Karamagi si nasikia ndo kinara pale Bandarini ana kampuni ya kupakia na kupakua. Mkapa alimwongezea muda kabla hajamaliza muda wake. Kule kuimba ni kejeri.
 
Dah, nimesikitika Sana, kumbe huku JF kuja vilaza wengi Sana kama insta Tu, eti hawajaelewa,. Duh,
 
View attachment 522747 Wabunge wa Upinzani Bungeni walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

View attachment 522732
Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

Wimbo huo umeimbwa baada ya Waziri Kivuli wa Fedha na Mipango, David Silinde kulitaka Serikali kuileta bungeni mikataba yote ya madini ili ijadiliwe.

Hawa jamaa ni wapuuzi siku hizi, hawana agenda tena. Wamebaki kudundadunda kama tenesi, ni aibu nchi hii kuwa upande wa mageuzi kwa sasa.
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
We ndo bwege kweli.....walimkashifu kwa sbb uzembe kama huu wa mikataba.
 
View attachment 522747 Wabunge wa Upinzani Bungeni walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

View attachment 522732
Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

Wimbo huo umeimbwa baada ya Waziri Kivuli wa Fedha na Mipango, David Silinde kulitaka Serikali kuileta bungeni mikataba yote ya madini ili ijadiliwe.
Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete
Leta video mkuu kama siyo uongo
Hiyo picha ni ya siku ambayo Kikwete alikuwa bungeni akimsindikiza mkewe
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh

Ungejua wanawakashifu CCM indirect Mkuu
 
Very wrong timing and dubious calculations

Rais ametekeleza kilio chao cha muda mrefu..walipaswa kushangilia

Ndiyo wameshangilia sasa.Utakuwaje na Imani na mtu aliyekwapua??Yaani indirect wanawazodoa CCM waliokuwa wakiambiwa kila siku hawasikii kila kitu Mkapa na JK leo wako wapi??
 
Soma katikati ya misteri kwenye ujumbe huo wa Wabunge wa Upizani. Kwamba Marais hao Wastaafu yaani Mkapa na Kikwete nao wanahusika na hizi kashfa za uchimbaji wa Madini.
Siyo kuwa wanawasifa
Naanza kumuamini ule utafiti wa twaweza yani mtu anashindwa kugundua kitu real na kejeli
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Umetoka kapa,
Rudia tena kuisoma post halafu uje upya
 
Aman ya bwana iwe nanyi wakuu wangu wa jukwaa hili

Husika na kichwa cha habali hapo juu kama kinavyojieleza

Week ijayo inaenda kuwa week ya kihistoria ni baada ya wananch kugundua kuwa chadema ni wachumia tumbo wasio na mpango wowote kwa wananchi, watetea mafisad na wakwepa kod

Hii ni baada ya kamati ya pili kuwasilisha report yake hapo jumatatu

Wanachama wengi watatimukia kwenye vyama vyenye mvuto kama CCM ACT CUF na vingine, chadema sasa inaenda kupata pigo ambalo hawatasahau hii yote aliyewaponza ni mchumia tumbo mmoja anayekwenda kwa jina la lisuu alipoanza kutetea wez baada ya kumugawia mgawo
Doto za mchana zijawahi kuacha mtu salama
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Kwa akili uliyonayo huwezi kuwaelewa, kama ambavyo hamkumuelewa lisu hadi leo mmeshindwa kutoa hoja za kumponda.
 
Back
Top Bottom