Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

Kwanini unataka nisome, au unafikiri sikuisoma tena ndani ya dk 5 iliporushwa!?

Mimi usoma mengi humu na siandiki lolote.

Kwa sababu yako sasa nimesahau yaliyoandikwa, hivyo niambie unataka nisome nijifunze nini ticha wewe?
Imeandikwa humo kwamba ACACIA walikuwa wanalipa kodi TRA ingawaje hawajasajiliwa kama walipa kodi. Kama ulisoma kweri umeisahau hiyo habari muhimu?
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh

Hujawaelewa mkuu. Tafakari sana utajua kwanini waliimba wimbo wa kuwapongeza wawili hao.
 
Imeandikwa humo kwamba ACACIA walikuwa wanalipa kodi TRA ingawaje hawajasajiliwa kama walipa kodi. Kama ulisoma kweri umeisahau hiyo habari muhimu?

Naijua kwa sababu nilisikiliza yote yaliyosemwa Ikulu. Sasa kwanini ulizungukaaaaa na kunilazimisha kusoma uzi huo huku ninayajua tayari!?
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Uwage muelewa km huwez kufikilia ukiwa umevaa shat bas baki tumbo waz ufikilie mambo mepes km haya....hicho wanachokifny ni kuwakmbsha wabunge wa ccm kuwa hta mambo ya msingi kwa taifa hili yalipokua yanajadiliwa hasa kwa hoja madhubuti kutoka kwa wapinzan wao ccm walijiona hodar sana kusimama na viongoz wa chama chao....ndo mana wanaimb hivyo ili kuwakebehi kwmb walijiona wanaimani sana na kina benja na mkwere sasa leo kiko wap????
 
kwa sababu gani wameanza kuimba hivyo.... there must be a reason behind
Ironically.... You say something is X while you know exactly it is not X may b t z Y or Z...kwhy ilo ni dongo kwa wabunge Wa ccm waliokua kila miaka wanapitisha vitu vya kipumbavu ili kuwaunga mkono wenyevit wao Leo yametokea hayo wanageukana
 
Soma katikati ya misteri kwenye ujumbe huo wa Wabunge wa Upizani. Kwamba Marais hao Wastaafu yaani Mkapa na Kikwete nao wanahusika na hizi kashfa za uchimbaji wa Madini.
Siyo kuwa wanawasifa
Yan watu kitu kidg km hiki wanashindwa kukielewa mbk MTU utumie nguv nying kuwaelezea ndo tabu ya kuwa kijani akili imegandaaa tu
 
Hujaelewa wewe umedandia treni kwa mbele. JPM kule Ikulu kamwambia Ndugai kuwa style yako ya kuwatoa wabunge na kuwafungia iendelee na ana iunga mkono. N akuwa wakija huku nje na wakiongea wanayoonge kule bungeni atawashughulikia. Ndio maana wameimba hivyo kama kejeli.
Muwe mnafuatilia mambo kwa kina sio kuchukua juu juu
Kama wanamaana hiyo, basi wafahamu kuwa wanajikejeli wenyewe,
 
Kwa akili uliyonayo huwezi kuwaelewa, kama ambavyo hamkumuelewa lisu hadi leo mmeshindwa kutoa hoja za kumponda.
Naona nyumbu matamko , matendo yenu, yanawapa taabu kuyaweka kwenye njia salama, nikama kubenea anayesutwa na machapisho yake.
 
Hapo inahtajika akili kubwa kuwaelewa. Wameimba ironically. Wamesema wanaimani na jk na mkapa lakn pia kupitia budget yao wanataka mikataba ipelekwe bungen. Sasa hapo ndio utajua iman yao ipoje dhid ya jk na mkapa
Hahaahaaa, hawa jamaa inabidi uwe msukule kuwafaham,kwamaana kichwa chako kisiwe na uwezo wa kutuza kumbukumbu hata kwa dakika kumi , wanaimani na yule aliewaita malofa, wanaimani na mtu dhaifu! ! ! ! ! ? .
 
Hawa wapinzani kama watoto hawajui wanataka nini na njia zao za kitoto badala ya kutoa hoja. Leo wanamsifia JK wakati kwa miaka 10 walishinda wanamkashifu. Wanaamini maana ya upinzani ni kupinga kila kitu. Smh
Yani hata hiki kidogo umeshindwa kujua wanafikisha meseji gan kwa serikali, kweli makinikia yamewaondolea uwezo wa kufikiri
 
Haya je unayajua au umeysikia?
Link Sakata la Madini: Tundu Lissu ataka J Kikwete ashitakiwe haraka sana

coco hivi ulisema "ticha kwoko"?
Jina lako ni "sukari". lol

Muandiko wako unafanana na yule dada. "huko shule mlienda ........"

Kwa kweli sijasoma huo uzi.

Kwanza jiulize huyu wakili mropokaji, aliropoka weeee kuhusu eti kutaka kumshataki Kiongozi jembe akaishia kuona ninuongo akanywea kiki yake ikafa nae akiwa mdogo mdogo.

Sasa yeye anaogopa nini na ugangwe wake wa kiki sizizo na kichwa wala miguu, anaogopa nini kutamba now kuwa atamshitaki Kikwete anataka asukumie serikali!?

Mambo ya udaku anatambia atashitaki, hili kubwa anaogopa nini zaidi ya yeye kufumuliwa humo humo...siasa za upinzani ni uchwara.

Kwani hukuelewa hiyo "ticha kwoko"
Hilo la sukari... mmmmmmh
 
Usilaumu upinzani ww ndo Bendera fuata upepo,ww bila rais kuunda time ya madini na kutoa taarifa INA maana ww Kwa akili zako ilikuwa hujui tunaibiwa,wapinzani wanampongeza kikwete ni pale wapinzani walikipigania taifa kuhusu wizi huo hapo wanafurahia hoja yao uliyopuuzwa na wabunge wao kufukuzwa bungeni kama kaka mwizi!
 
Back
Top Bottom