GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,620
- 4,265
....we kaka vp? sasa wabunge watajadili vp au tume itaundwa vp wakati ajali bado inaendelea saa hizo? hata hivyo kumbuka ile ilikuwa hotuba ya wizara ya mambo ya ndani ikisomwa na waziri huyohuyo anayetakiwa ku order jeshi. sasa atafanyaje hayo akiwa bungeni, kaka?Ndivyo mabunge yote hufanya...hukimbii janga unakabiriana nalo kulia hakuwezi kuponya watu.
kwa taarifa yako tume haiundwi katika kikao cha bunge bali huundwa na spika katika kamati maalumu na sio na wabunge wote! tafuta kanuni za bunge usome!