Kibonde achunge mdomo wake sana anaweza kumuharibia biashara Joe Kusaga. Mke wa Kusaga ni mzanzibari na anaweza kuwa ndugu, rafiki, jirani au mtoto wa rafiki yake kwenye huo mkasa. Sasa, haiwezakani redio ambayo ina uhusiano na mzanzibari itumuki kuwakishifu wanzanzibari hasa wakati huu wa msiba!
acha cheap arguments!!
unajidhalilisha
Post yako imenichefua sana japo si mshabiki wa Kibonde.
Inakuwaje mtu mzima unadare KUANDIKA kitu kama hichi!!
unadhalilisha jukwaa na wew mwenyewe,
Yani nimeishiwa maneno yanayofaa kupost humu, ila kwa kifupi ujue mwili unanisisimka kwa shock ya ilixhoandika hapo.
You must be about 15 yrd, hujui dunia, subiri ikufunze
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.
Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..

Arv hizoooooo!!

Timbilimu mkuu nijuze, Sasa walipofunga Bunge walisaidia nini ktk kuokoa wale watu waliozama?..Nashindwa kuunganisha maana sielewi inasaidia nini kuvunja Bunge au ilitakiwa kuendelea kujadili hoja ya Mbunge wa Wawi jinsi gani bunge linaweza kusaidia.Mkuu wangu huwa sipendi mzungumzia mdogo wangu Kibonde sababu nafahamu toka 4flats pale Upanga,Muhimbili primary school mpaka Mzizima sec.sch. Hana maana,namshangaa kaka yangu Kusaga anaposhindwa kumfunga kidhibiti mwendo! Wabunge wa Zanzibar na upinzani walitoka nje jana kwa kupinga kitendo cha Bunge kuendelea na kikao wakati wananchi wao wanapigania uhai wao huko baharini.
Ngoja nitoke nduki..
Pesa za MOU hazitumiki vizuriNimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.
Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..
Arv hizoooooo!!
kibonde ni mpumbavu
wakuu kama mnaweza mpotezeeni tu huyo mgonjwa... mnakua kama yeye mnavyomleta hapa kila wakati