Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Jul 19, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

  Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli Kibonde atakuja kuiponza ile radio ya Kusaga...siku moja ikaingia beef na baadhi ya wana jamii au wanachama fulani sababu ya mdomo wake wa kuropoka!
   
 3. P

  Pwito Senior Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Teh teh te teh kwahiyo hana tofauti na mgonjwa wa akili zinazoruka na kurudi. Jamaa zee linajifanya Sharo, . Ngoja nitafute picha yake labda mkiiona mtamuhurumia na meno yake hamsini mdomoni
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wakuu kama mnaweza mpotezeeni tu huyo mgonjwa... mnakua kama yeye mnavyomleta hapa kila wakati
   
 5. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mimi pia nimemsikia.
  huyu jamaa habadiliki pamoja na watu kumkosoa kutokana na mambo anayoyazungumza!
   
 6. H

  Haika JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  acha cheap arguments!!
  unajidhalilisha

  Post yako imenichefua sana japo si mshabiki wa Kibonde.
  Inakuwaje mtu mzima unadare KUANDIKA kitu kama hichi!!
  unadhalilisha jukwaa na wew mwenyewe,

  Yani nimeishiwa maneno yanayofaa kupost humu, ila kwa kifupi ujue mwili unanisisimka kwa shock ya ilixhoandika hapo.
  You must be about 15 yrd, hujui dunia, subiri ikufunze
   
 7. M

  Mimi. JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60

  Anajipendekeza kwa mkulu akidhani atakumbukwa ukuu wa wilaya wakati wameshachaguliwa
   
 8. m

  majebere JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Nyie mlitaka awasifie ndio aonekane anafaa? Acheni hizo bana. Kwanini asifie upumbavu?
   
 9. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu aliwahi kuleta hapa historia yake na jinsi alivyoweza kupata kazi. kwa kweli mi nawashangaa mnao mshangaa mtu huyu.
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kibonde achunge mdomo wake sana anaweza kumuharibia biashara Joe Kusaga. Mke wa Kusaga ni mzanzibari na anaweza kuwa ndugu, rafiki, jirani au mtoto wa rafiki yake kwenye huo mkasa. Sasa, haiwezakani redio ambayo ina uhusiano na mzanzibari itumuki kuwakishifu wanzanzibari hasa wakati huu wa msiba!
   
 11. m

  mwitu JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kibonde ni mpumbavu
   
 12. sembo

  sembo JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,350
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 280
  Haka kajamaa si kazima, si kimwili tu, hata kiakili pia.
   
 13. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu Kibonde aka K ni *****.
   
 14. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  watu wengine utaumiza kichwa bureee! sijui anataka cheo, mboka hakuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya atabaki kupiga domo tu na elimu ya kuungaunga
   
 15. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Since mdomo aulipiwi VAT mwacheaongee mpka achoke ndivyo alivyo ndiyo maana kafika hapo alipo
   
 16. S

  Sindanoa Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, kibonde nae ni GAMBA cloud fm, pia uwezo wake wa kutafakari mambo ni mdogo sana. Pia kunafununu anahitaji ukuu wa wilaya, kwani siana kadi ya nyinyiem?
   
 17. King2

  King2 JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Arv hizoooooo!!
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwani ni lazima acomment kwenye kila jambo? Mi nadhani familia yake ndio wanaomwacha apotee maana hawamshauri.
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mimi nafikri wewe ndiyo tukutafutia kundi la kukuweka kama unaweza kupoteza muda wako kumsikiliza kibonde na kuleta uhalo wake hapa jukwaani...
   
 20. K

  KI2CO Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dozi gani tujue?
   
Loading...