Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

Kuna watu wamekariri kwamba kila jambo linalofanywa na wapinzani ni lazma wapinge.
 
Hebu msaidie Kibonde kwa kuweka maelezo ya uhalali wa wabunge kutoka nje. Usiishie tu kumbeza kwa mawazo yake
 
My 1st most message goes to Mr. Kusaga the employer of Kibonde, that please Joseph you must do either of the following against him, either issue him a verbal warning or let him go to joing CCM POLITICS. Please Kusaga do it for the future of our lovely radio station. If at all clouds is the peoples station then don't let it be destroyed by only one person for his political interest. By the way he is not so special as he thinks to be.
Coming to this this young boy so called Kibonde, naelewa fika kwamba unajaribu kutupa karata yako ili na wewe walau uteuliwe walau ukuu wa wilaya kama ilivyo kwa baadhi ya wanahabari wenzio. Nakuhakikishia Kibonde utapoteza umaalufu wako soon. Then yot won't be fitting in both media and politics and if u think you are smart try excersing politics and more. I started observing you since the incident of Dr. Ulimboka in fact you have tried hard to critisize the majority opinions just to be on CCM side. Ok we don't mind but please be a media person and follow your profession ethics than being a politician. Pleas please.
 
Hata mi kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe,nampongeza kibonde kwa hiyo kauli. Hao wabunge walikua wanatafuta kura, hakuna lolote ambalo wangesaidia hata kama wangefika eneo la tukia dk 5 baada ya kupinduka. Waokoaji ndo walipaswa kufika. Hao wabunge wangefika kupiga picha za face book.
 
Kibonde,shibuda, lusinde,nchemba. hawa nikikuta wanaliwa na simba,nawawekea chachandu ili simba asiache hata ule utumbo wa kinyesi
 
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..

Huyu jamaa ni mweusi wa sura mpaka roho na ubongo wake, alafu nani alimdanganya ukishakuwa MC kwenye kitchen part basi anafaa kuwa mtangazaji?
 
Kama ni kweli Kibonde atakuja kuiponza ile radio ya Kusaga...siku moja ikaingia beef na baadhi ya wana jamii au wanachama fulani sababu ya mdomo wake wa kuropoka!

Huyu mbona ashaingia siku nyingi huyu mpuuzi wa tabia
 
nimemsikia kibonde akiwa kwenye kipindi clouds fm akiponda uamuzi wa wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya spika anne semamba makinda kupuuza hoja ya mhe.mbunge wa wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu jamaa bado sijapata!..

great sinkers
 
Teh teh te teh kwahiyo hana tofauti na mgonjwa wa akili zinazoruka na kurudi. Jamaa zee linajifanya Sharo, . Ngoja nitafute picha yake labda mkiiona mtamuhurumia na meno yake hamsini mdomoni

Kumbe siyo binadamu wa kawaida meno 50, alafu hivi wanavyotoa ajira kwenye maredio na tv hawapimwi kama wana akili timamu maana huyu kiumbe ananipa wasiwasi
 
Ni "Kibonde" kama lilivyo jina lake. Hana lolote la maana; tangu apewe ulaji kuwa MC wakati wa kuchangia kampeni ya JK (CCM) mwaka 2010 imekuwa nongwa. Anajitahidi kujipendekeza kwa wakuu hata kwa mambo yasiyo ya msingi. Kibonde manifanya kuacha kusikiliza kabisa kipindi cha Jahazi. Maana anaropoka kupita kiasi. Amekuwa na ushabiki usikikomo.
Ushauri wangu kwake Kibonde; "Angalia mambo ya kufanyia dhihaka lakini si msiba. Huu ni msiba unaomgusa kila mmoja hata kama hakukuwa na ndugu zako ktk meli hiyo. Kila mmoja (wakiwamo wabunge) anajiuliza nini hasa kinapungua hata kusababisha ajali hizi? Aidha fahamu kuwa kwa wabunge toka Zanzibar wengine walikuwa na jamaa zao katika ajali hiyo"

EJL
 
acha cheap arguments!!
unajidhalilisha

Post yako imenichefua sana japo si mshabiki wa Kibonde.
Inakuwaje mtu mzima unadare KUANDIKA kitu kama hichi!!
unadhalilisha jukwaa na wew mwenyewe,

Yani nimeishiwa maneno yanayofaa kupost humu, ila kwa kifupi ujue mwili unanisisimka kwa shock ya ilixhoandika hapo.
You must be about 15 yrd, hujui dunia, subiri ikufunze

Mkuu kwani mambo anayoropoka huyu kiumbe ni ya kiumbe chenye akili timamu na ubinadamu ndani yake!
 
nimemsikia kibonde akiwa kwenye kipindi clouds fm akiponda uamuzi wa wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya spika anne semamba makinda kupuuza hoja ya mhe.mbunge wa wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu jamaa bado sijapata!..

taabu yote unapata ya nini wakati wendawazimu wenziye ndiyo wanamsapoti na hilo ndiyo kundi lake
 
Nyie mlitaka awasifie ndio aonekane anafaa? Acheni hizo bana. Kwanini asifie upumbavu?

Upumbavu kujali maisha ya watu na kama ingekuwa hivyo kwanini baada ya hapo magamba wakaahirisha, ujue unapofanya comment hapa yafaa busara ikutawale na utu pia
 
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..


Ninyi mnaomjadili huyu bwana katika hili jukwaa la "Great Thinkers" ndiyo mnaopa umashuhuri asiokuwa nao.
 
Kuna mtu aliwahi kuleta hapa historia yake na jinsi alivyoweza kupata kazi. kwa kweli mi nawashangaa mnao mshangaa mtu huyu.

mkuu embu iweke hiyo historia tupate kuiona ambao hatukubahatika
 
Hebu msaidie Kibonde kwa kuweka maelezo ya uhalali wa wabunge kutoka nje. Usiishie tu kumbeza kwa mawazo yake

Kama maweza kuwa mtangazaji maana yake anauelewa mpana hatuhitaji kufungua shule kumuwelewesha maana ya wabunge kutoka nje, hata hivyo maana yake ni kwamba baada ya mbinu zote za kumshawishi huyo mshamba wenu anna kushindikiana ilibidi itumike hiy silaha kama hatua ya mwisho na baada ya wao kutoka nje nini kilifuata?
 
Cloudz...I hate dis thing! Kwa bahati mbaya nimewasikia wanatangaza kuhusu ajali ya zanzibar nanukuu nilochokisikia tena ameongea kwa madaha kama vile ni DJ yuko club
''Maiti zimeendelea kuopolewa kutoka eneo na ndugu wa wahanga wanaendelea kuwatambua maiti ambapo taarifa zinasema maiti zingine 37 zimepatikana''baada ya hiyo habari akasema ''haya ndugu wasikilizaji hapa stori kidogo na burudani zaidi na sasa nakupa burudani'''' unaburudika na nini hapo? Idea ya uendeshaji ya wamiliki iko powa ila wafanyakazi wengi hapo ni masharo ambao hamnazo kabisa...kujipendekeza tu na kuongea utumbo
 
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..
Hana tofauti na Spika wa bunge Anne Makinda .Kwa wao jambo lolote liwe zuri au baya likifanywa na wapinzani halina maana lakini jambo lolote hata kama la kipuuzi likifanywa na wabunge wa CC basi ni la maana.Mfano mzuri ni katika kikao cha bunge cha jana mbunge wa upinzani alipotoa hoja ya kuahilisha kikao cha bunge alipuuzwa na baada ya wabunge wa upnzani kutoka nje walisindikizwa na kebehi kutoka wabunge wa CCM.LAKININI HUYOHUYO SPIKA Anna Makinda aliamua kuhairisha kikao baada ya waziri Nchimbi wa CCM kuomba hivyo na leo kikao cha bunge hakikuapo.DOUBLE STANDARD.
 
Back
Top Bottom