Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

watangazaji wengi wa clouds media ni makada watiifu wa ccm. kibonde ni mtiifu wa lowasa hana jipya. kwao kuwaponda wanasiasa wa upinzani na kuwasifia wa ccm ndo kula yao...
 
Hivi mnaweza kunambia kwa nini walitoka bungeni ama kudai bunge liahirishwe badala ya kuomba mwongozo Bunge lizungumzie janga lililotokea na jinsi gani kuunda tume haraka walishughulikie?
Are you serious au na wewe ni type ya Kidonde!Unapokuwa verified member nadhani unatakiwa uwe mahiri ktk michango yako JF.Ulifuatilia kujua hili sakata lilianzia wapi pale wabunge wote bila kujali vyama vyao walisemaje?Je ulifahamu kilichotokea siku iliyofuatia pale aliposimama mh.Mnyika akirejea maamuzi ya wabunge siku iliyotangulia?Baada ya mnyika kupinga kuwakilishwa kwa hati ya dharura ulielewa hatua walizopitia wabunge wa upinzani kabla ya kufikia hatua hii ya mwisho?
 
Ukiamua kumkimbiza mwendawazimu wanaowatazama wataona wote ni walewale. Wenye busara wamepunguza na kuacha kuangalia na kusikiliza Clouds TV na Radio. Hao vijana huwa wanajisahau na kudhani wapo kijiweni kwao. Uchambuzi duni, lugha iso staha, tafakuri uchwara, imejaa udaku. Wa kumuonea huruma ni mmiliki wa Clouds, ndio yafwa. Dawa ni kuwapuuza na kuacha kuwasikiliza kabisa.
 
amejipendekeza weeeeeeeeeee kwa kikwete holaaaaaaaaa sasa amehamia kwa lowasa yaani kibonde kama changu vile
 
Back
Top Bottom