Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

2012/2013 Form 4 failures at work.
Wewe nakufananisha na Mmbwa wa kienyeji.
 
Propaganda!!!! Eti wanatumikia wananchi.... Kwa lipi? Wameshajenga barabara hata ya nusu kilomita? Kama hawajajenga wanawatumikia vipi wananchi? Ninyi ninyi CHADEMA mtasambaratika sana ifikapo mwaka 2015. Sasa hivi ni kelele tu za mbwa mwenye njaa. Siku ya siku ikifika hamtaamini kabisa. Mwaka 2015 CCM kura 80% CHADEMA 10.5% CUF 7.5% na UPPT Maendeleo 2%!!!! Amini usiamini...................

Akili zako akiwekewa mbwa wangu nitamtelekeza mtaani milele. CHADEMA hawawezi kujenga barabara kwa kuwa si wao wanaoshikilia kodi na rasilimali za nchi. Mwenye jukumu la kujenga barabara si CDM wala CCM bali serikali ambayo ndio ina dhamana ya amana ya Taifa.

Kwa akili za namna yako huwezi kujua CDM inawatumikiaje wananchi. Ngoja nikumegee ufahamu kidogo ndugu yangu Malengelenge; CDM inawatumikia wananchi kwa kuhakikisha serikali inatekeleza wajibu wake na sio kutapanya fedha kama hizo wanazotaka kutenga kwa ajili ya mazishi ya watu ambao hawajafa bado.

Kuhusu hizo kura, siwezi kukataa kwamba matokeo hayatakuwa hivyo. Lakini kaa ukijua kuwa yatakuwa hivyo kwa kuwa Tanzania haina restriction ya watu mataahira kupiga kura. What do you expect when even you, Malengelenge has the right to vote with that head and brain?
 
Kwanza napenda uelewe kuwa CCM ukiwachekea utavuna mabua....vyama vyote vilivyopita walitumia staili hiyo ya wao kufuata kanuni na CCM kutofuata kanuni bungeni...wamefikia hapo walipofika...Lissu alitaka kanuni za bunge zifuatwe kama ulifuatilia scenario ya Lema,basi ni wazi ungeelewa Ndugai alikuwa anafanya nini kwa Nchemba.
Pili...bandiko la Mwanakijiji nadhani hukulielewa,kasome vizuri...yeye anahimiza CHADEMA kutoomba fair game kwa CCM wanatakiwa kupambana...and now they are struggling mkuu!

mawazo ya mwanakijiji sio ya Mungu kuwa hayabadiliki ila ufahamu bungeni kazi kubwa si kubishana kama waimba taarabu ni sehumu muhimu ya kujadili hoja na sio matusi na kiburi.
Aliyetukana kajua ameteleza vipi hawa wengine wanaoleta maudhi kila siku?
 
Mbowe anafikiri kuongoza upinzani Bungeni ni kutembea kwa landcruiser ya serikali tu!!!

Uongozi wa upinzani umemshinda, sasa hivi wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji...

Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni...

we unafanya kaz wp? muda wote upo Jf! amazing
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?

Mburura kazini!!
 
Utaishia kuwachukia tu huna la kufanya wewe ni sawa na paka wa jiko tu, we mpende mkamia, serukamba na wapumbavu wenzako
 
Nchemba (mzinzi) serukamba, Lukuvi nawengineo kama hao hawashishi hadhi ya Bunge? Nadhani ni wakati wako kwenda limumba kupokea ujira wako kwa post yako hii

Kama vurugu na matusi ndio mliozoea home kwenu hauwezi chukia yanayoendelea bungeni.
 
Spika na ma Ccm wote bungeni ni mamburura tu sisi wananchi si mafala tena
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?

Lazima uwachukia kwani wanakutieni magamba discipline mpaka hampumui upuuzi wenu wa ndio mlio kuwa mmeuzoea cdm hakuna ujinga huu ukondoo wa vyama vingie mlivyovionea sio cdm wananchi tunajua who is in the trueth JK mwenyewe mwenyekiti wenu anamhaha Tundu Lissu tulieni magamba mpewe kimojakimoja mpaka akili iwasogee.
 
Mkuu sikatai lakini wakati alipotolewa nje alitolewa kwa kanuni au Ndugai alijitungia tu?,sasa kama ndivyo ilikuwaje wale wengine wakaja kuzuia na yeye akakataa?huoni kwamba alivunja kanuni?!au hizi kanuni zinazonekana tu kwa wle wa CDM mKUU?!,MIMI SIWATETEI WALE wanaovunja kanuni hat kama angelikuwa ni rais namchana tu,lakini mbona wao waligoma kufuata kanuni?!

Hata siwatetei CHADEMA ila ninachopinga ni kiti kutofuata kanuni....Mama Makinda is better of na sijawahi kumkashfu kwani anajitahidi kiasi chake japo si mtalaamu wa sheria na kanuni..
Kwa kufuata bandiko la Mwanakijiji CHADEMA ndio wanatakiwa kufanya hivyo hawatakiwi kuomba fair game!
CHADEMA nawapinga kwa hoja hizi za mambo ya dini...hizi sio hoja...napenda sana Mnyika akitoa hoja huwa na mashiko and others should learn from him.
 
BUNGE MODERN TAARAB inawakaribisha mashabiki wote
kwenye uzinduzi wa albamu yao mpya kabisa iliyobeba jina la 'FU C K YOU'!

NYIMBO hizi ambazo zipo katika mtindo wa mipasho, zitazinduliwa hivi karibuni"kwenye ukumbi mmoja huko Dodoma! Albamu hiyo ina nyimbo tano na watunzi kwenye mabano;

1 Mkuki Kwa Nguruwe---(Anna
Makinda)

2 Mimba zisizotarajiwa (Livingstone Lusinde)

3 Naongea na Mbwa Siongei na
mwenye Mbwa (Juma Nkamia)

4 Mkuki kwa Nguruwe remix (Job
Ndugai)

5 Come on f.uck you (Peter Serukamba)

Wahi uzinduzi na nunua nakala yako halisi!!!!
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Kenya walikuwa wanazichapa umeona katiba waliyonayo? Mambo mazuri hayawezi kuja kwa kuwa na akili ile ile, utendeji ule ule halafu utegemee matokeo tofauti...!! Kwanza jibu swali hili kwa maneno machache ili tukujue kama na wewe ni GT au ni wale wale, Why is Tanzania poor??
 
Lazima uwachukia kwani wanakutieni magamba discipline mpaka hampumui upuuzi wenu wa ndio mlio kuwa mmeuzoea cdm hakuna ujinga huu ukondoo wa vyama vingie mlivyovionea sio cdm wananchi tunajua who is in the trueth JK mwenyewe mwenyekiti wenu anamhaha Tundu Lissu tulieni magamba mpewe kimojakimoja mpaka akili iwasogee.

The true jk watamjua kwa matusi mnayotumia? Vipi mbona tuhuma mnazomsema nazo mkisemwa nyinyi mnaomba mwongozo? Mkuki mtamu kwa nguruwe si ndio?
 
mawazo ya mwanakijiji sio ya Mungu kuwa hayabadiliki ila ufahamu bungeni kazi kubwa si kubishana kama waimba taarabu ni sehumu muhimu ya kujadili hoja na sio matusi na kiburi.
Aliyetukana kajua ameteleza vipi hawa wengine wanaoleta maudhi kila siku?

Hoja ya Mwanakijiji nilimjibu Bwana Asante sana kwa kisukuma....
Hapa tatizo ni kiti....siachi kukosoa...nawakosoa CHADEMA kwa kutopenda kukubali hasa kufuta kauli...
Ila alietukana bungeni ni mmoja tu na alikuwa anatakiwa achukuliwe hatua kubwa iwe fundisho hata kwa vizazi vijavyo.
Pia Kiti kinapwaya hasa akiwepo Ndugai ndio anaongoza kwa kutofuata kanuni na bunge kuingia in chaos....mara nyingi usipofuata sheria au kanuni unamtia jazba mtu unaemkandamiza kwani anaona unamdhulumu haki yake.....ukijaribu kumuibia hata the most polite person duniani usishangae akarusha ngumi but sio hulka yake!
 
jionee mwenyewe, na wakukere mpk mwisho.
 
Last edited by a moderator:
BUNGE MODERN TAARAB inawakaribisha mashabiki wote
kwenye uzinduzi wa albamu yao mpya kabisa iliyobeba jina la 'FU C K YOU'!

NYIMBO hizi ambazo zipo katika mtindo wa mipasho, zitazinduliwa hivi karibuni"kwenye ukumbi mmoja huko Dodoma! Albamu hiyo ina nyimbo tano na watunzi kwenye mabano;

1 Mkuki Kwa Nguruwe---(Anna
Makinda)

2 Mimba zisizotarajiwa (Livingstone Lusinde)

3 Naongea na Mbwa Siongei na
mwenye Mbwa (Juma Nkamia)

4 Mkuki kwa Nguruwe remix (Job
Ndugai)

5 Come on f.uck you (Peter Serukamba)

Wahi uzinduzi na nunua nakala yako halisi!!!!

Weka na upande mwingine wa waimba taarabu si unajua lazima makundi mawili yajibizane kwenye taarabu na usisahau kuhudhuria manake ndio starehe ya akili yako.
 
quote_icon.png
By chamviga

nakichukia sana chadema ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa tundu lissu, godless, sugu,mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Jf' haki mmeinunua chadema, hadhi yake imepotea kwakuendeleza mapenzi yasio na mipaka, haya mod's ondoeni na haya mawazo yangu.

.......HAPO KWENYE UNDERLINED RED CJAKUELEWA KABISA.KAMA IVYO BASI WAITE KWAKO LUSINDE,SERUKAMBA NA NANI YULE MWINGINE AH MGUU MCHEMBA WAKUSHIKE MASABURI YAKO.
 
Back
Top Bottom