KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
Sijakataa juu ya kuibana serikali ila serikali inabanwa kwahoja au viloja unavyoshuhudia bungeni vya muongozi wa kila mara? Hizo hoja za kuibana utajenga saa ngapi?
Ukitoa hoja wakati mwenzio kaziba masikio utafanyaje ndugu?! Kwa sasa nina uhakika kama mwalimu Nyerere angalikuwa anapigania uhuru na CCM ndo wazungu,hoja zake zisingalikubaliwa katu!CCM waziwi si polepole!Hebu nambie tangu wapinzani wamekuwa wapole ni mangapi yametekelezwa?Kwenu mnapata maji ya uhakika?mnapata umeme?wanafunzi wanasomea mazingira bora?huduma ya afya ikoje?Nishati je?Vipi kuhusu bei ya bidhaa?Nambie urasimu usio na sababu katika huduma kama umepungua kwenu!Kwetu hayo yote yapo,ndo maana sioni haja ya wapinzani kucheka na nyani!