CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
- Thread starter
- #21
Bora mkuu uwaumbue tu, yaani haina kazi ya maana ni rushwa tu kuanzia kwa kofia, kununua kadi za wapiga kura, khanga, wali wa maharage. Yaani sijui niseme nini!! Miporojo tu imewajaa. Watanzania wanataka wasikie hoja za maana bunge la bajeti wao wanarushiana taarabu na matusi. Wale wanaotoa hoja za maana wanafukuzwa nje.
Haya mnayaongea saizi wenzenu wakiwa wamepanic kwa tabia mbaya za wabunge wa Cdm?