Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Nakichukia sana chadema ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa tundu lissu, godless, sugu,mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Jf' haki mmeinunua chadema, hadhi yake imepotea kwakuendeleza mapenzi yasio na mipaka, haya mod's ondoeni na haya mawazo yangu.
Ni pale tu kiongozi wa eneo lolote hata baba nyumbani anapotendea haki wanafamilia yake basi huwezi kukuta ugomvi wa kijinga.Kama tu ungekuwa mtanzania uliyekuwa na uzalendo basi usingeshabikia kitendo alichofanyiwa Tundu Lissu.Je wajua ya kwamba Ndugai ameshusha heshima yake kw akupitiliza?Je ,wajua hadi leo hii hana amani sababu anajisuta mwenyewe ndani ya nafsi yake lakini hana cha kufanya sababu maji yameisha mwagika.Haijalishi mbunge kuomba radhi baada ya kuwakosea heshima watanzania.Kwangu mimi itabidi labda kwa viboko kumuita Mbunge yeyote wa CCM na hasa Spika na Naibu Spika waheshimiwa sababu wameshindwa kutuheshimu watanzania na hivyo hawana haki ya kuitwa waheshimiwa.Hata kama ni mapenzi ya chama chako angalia utaifa kwanza.Tanzania yetu sote.