The true jk watamjua kwa matusi mnayotumia? Vipi mbona tuhuma mnazomsema nazo mkisemwa nyinyi mnaomba mwongozo? Mkuki mtamu kwa nguruwe si ndio?
Weka na upande mwingine wa waimba taarabu si unajua lazima makundi mawili yajibizane kwenye taarabu na usisahau kuhudhuria manake ndio starehe ya akili yako.
Mnashutumu Jk na udini kwa kutamka uchaguzi umeendesha na harakati za udini kisha na nyinyi mnautangaza wazi bungeni.
WA CCM WANGEKUWA WANAFURAHISHA TUSINGE KUWA NA HIZI KERO NCHI HII,INGAWA TU MATAJIRI WA MALIASILI
1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
4.UFISADI -Dowans na Richmond
5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
kona.
15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA MAJI.
16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
17.ELIMU DUNI.
NAKUSHAURI ENDELEA KUWA MTUMWA WA FIKRA,MPE NAPE UBONGO WAKO AENDELEE KUUTAWALA.
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Hapa naungana na wewe japo kwa hoja zingine tulikuwa tunatofautiana....CHADEMA kwenye hili suala la Udini kama hawana mtu makini kama Mnyika au Zitto wa kuli-present bungeni..basi nashauri waachane nalo otherwise watajikuta wanaonekana wadini wakubwa than hao wanaowanyooshea vidole....haya sio mambo ya kushadidia....na kwa manufaa ya Taifa wangeomba kulijadili kwenye kamati zao huko na sio kujiachia on public kama wafanyavyo!
hivi kweli haya ni mawazo,
Benaire wasemaji wanaoongea issues sensitive bungeni wanakuwa wamejipanga na wenzao wanajua watasema nini! Kila mtu ana uwezo binafsi wa kuzungumzia masuala Fulani, January, Mnyika, Sugu, Zitto nk nao wanapewa nafasi hizo kulingana na ajenda zinazokuwepo mezani kwa wakati huo!! Suala la udini kama unafuatilia vizuri historia ya nchi hii vizuri lilichagizwa na CCM wenyewe kwa kuiweka kwenye ILANI yao ya 2010 kwamba wangewawezesha waislamu kuwa na mahakama ya kadhi kama wataichagua, na Makamba then party secretary General aliwaambia waislamu wasimchague Dr Slaa kwa kuwa ni Padri na ametumwa na Kanisa... Afu jiulize katika matukio ya UDINI ni misikiti mingapi imechomwa, ni masheikh wangapi wamepigwa risasi au ni masheikh wangapi wameuwawa? Suala la kuchinja, Wasirra (Waziri) alipoenda Mwanza (Geita) alitoa conclusion kwamba waislamu ndio waachiwe wachinje, Je, that conclusion ina draw nguvu toka kwenye Katiba ipi? Je, Katiba au sharia inatoa such a conclusion? Je, katika vurugu zote za kuchinja na kuchoma makanisa (Now 25 churches) kuna Kesi mhakamani dhidi ya wachomaji wa misikiti hiyo? Ukipata majibu ya hoja hizi utajua MDINI ni nani!!Hata siwatetei CHADEMA ila ninachopinga ni kiti kutofuata kanuni....Mama Makinda is better of na sijawahi kumkashfu kwani anajitahidi kiasi chake japo si mtalaamu wa sheria na kanuni..
Kwa kufuata bandiko la Mwanakijiji CHADEMA ndio wanatakiwa kufanya hivyo hawatakiwi kuomba fair game!
CHADEMA nawapinga kwa hoja hizi za mambo ya dini...hizi sio hoja...napenda sana Mnyika akitoa hoja huwa na mashiko and others should learn from him.
Hivi nyie waathirika wa KAWAMBWA mnafanya nini humu jamvini? QT mmeacha au, nursing, nursery teacher hata welding hamtaki kwenda, jaribu walau certificate ya hotel management, akili nyembamba utafanya nini cdm, "mimi ningekuwa MBWA MKUU (SPIKA) nisingeruhusu cdm kuchangia! huwezi kuwa hata mfuga mbwa! kuna wadogo wenzako wa shule za kata nitawaunganisha na wewe mjibishane! wafuba nyakwata, kalye empali, baza.
Yuko under medical care,.ccm wanakodisha mateja na kuwafundisha jinsi ya ku-browse jfWaliosema "Mbwa", "Faka you" na "mchungaji wa Nguruwe" wote ni CHADEMA. kweli kuna haja ya kuwapima akili ikiwa ni pamoja na wewe mleta mada..
...usingewataja hao,ningefikiria cha kuchangia lakini hao uliowataja nikilingansha na hoja yako,napata picha wewe ni mtu wa aina gani, sipotezi muda zaidi.....Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Mbowe anafikiri kuongoza upinzani Bungeni ni kutembea kwa landcruiser ya serikali tu!!!
Uongozi wa upinzani umemshinda, sasa hivi wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji...
Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni...
Wewe hujui democrasia ni kitu gani...
Na hujui nchi iko na uelekeo gani...utakereka saaana.
Pole.
CHADEMA keep it up.