Metsada
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,456
- 867
Kiukweli chadema kimeleta uchangamfu wa uwajibikaji wa serikali yetu na muhimu kuwa na chama hiki kwani kuna viongozi wanaojitambua ndani ya chadema tatizo ni hawa wanaolazimisha kila wanaciotaka. Bunge wanalifanya sehemu ya kujitangaza kisiasa.
Hoja unayo mkuu. PKatika wabunge wa CHADEMA, pale mbunge ni Zitto tu. Anazungumza mambo ya msingi na hapapariki au kushabikia mambo ya kipuuzi. Thats y hata wabunge wa CCM wanampigia kura kuongoza kamati nyeti ya HESABU za serikali.