Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?



Bado kidogo wabunge wa maccm watakuwa wanafanyiwa hivi wakiongea pumba
 
Tuvue Gwanda,nisaidie kitu kimoja.Wakati Mwangosi anapigwa na kabla ya kuuawa je kaka Kamuhanda hakuwa akishuhudia?
Kamuhanda naye kumbe CDM?
 
Kwani ni lazima uchangie kama kichwa kina pumba tupu. Umepewa kiasi gani au ni buku 5 ca ugali na gongo. Unayoweka hapa ni kinyume cha mambo kwani watetezi wa haki hawawezi kufanya hayo. Hayo yanafanywa na magamba. Kwa sasa hata mtoto mdogo anajua. Usitupotezee muda hapa ndio mmefanya JF ipondwe na kila mtu kuwa ni kijiwe cha wasiokuwa na ajira(jobless). Uwe na kichwa kinachofikiria.Fujo za Bungeni zimetokana au zimesababishwa na nani? Waliotukana matusi wanaachwa waendelee kuchangia hoja, watetezi wa haki wanatolewa.
 
Khaaa yan hata kwenye taharuma ya kung'oa kucha na meno ni CHADEMA pia?
Msingemwambia Tendwa akifute kweli???
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

WEWE NI MFUASI WA ndugai nani asiyefahamu psychology?
 
Marembo, hapo umekosea, who are these Watetezi, wanamtetea nani hawa? wanajiita watetezi kuwapumbaza Watanzania, mtapumbazika nyie sisi wenye akili barabara tumewagundua. Kama ni kutetea, wanajitetea wenyewe ili wapate kazi...haya huko waliko na wabunge, wabunge wanakataa kuunga mkono Bajeti, sasa hiyo miradi itafanyika vipi? Muone Mnyika aliikataa bajeti ya Maji iliyotenga Mabilioni ya miradi ya Maji Ubungo, aliporudi Jimboni anaanda maandano...sasa hii tuiiteje? ndiyo kuwatetea watu huku? angeunga mkono hoja halafu serikali ishindwe kupeleka maji hapo angekuwa na haki ya kusema, sasa afunge mdomo wake:A S 39:
 
Naomba kwa wale washtaarabu na wenzangu wa CDM wasichangie hii mada toka hapa hii mada kutokea hapa. Madhumun ya vimada kama hivi ni kututoa kwenye mambo muhimu ya utaifa na kututia ghadhabu. pia kutafuta chanzo cha kupunguza upinzani humu ndani kwani ukija kichwa kichwa unaweza kumtukana mleta mada na mwishowe ukala BAN.

TUpuuzeni hii mada.

Mkuu hata mimi nilikuwa na wazo kama lako,siku yako inaweza kuharibika kwa sababu ya watu kama hawa.
 
8. Wanaouza twiga ni Chadema.
9. Waliouza Loliondo ni Chadema.
10. Waliomuua kwa risasi Imrani Kombe ni Chadema.
11. Waliomuua Kolimba kwa sumu ni Chadema.
12. Waliomteka na kumpiga Dr. Ulimboka ni Chadema.

MACCM yamepanic.
 
Chadomo ni waropokaji na magaidi

Haya unayosema sio Busara, Watanzania tubadilike.
Maneno km haya ndio yanatumiwa na wabunge km vijembe ktk bunge.
na ww unaonyesha ukiweza kuingia bungeni utatoa maneno km haya haya, Busara kidogo itawale ujinga Mwingi.
 
Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.

Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:

KAMA UNA UWEZO WA KUNIPA SULUHISHO LA TATIZO /KERO MOJAWAPO KATI YA HIZI NA NI NANI CHANZO CHAKE NITAKUPONGEZA KWA LOLOTE UTAKALOSEMA KUHUSU CHADEMA.VINGINEVYO ENDELEA KUMKABIDHI NAPE REMOTE YA UBONGO WAKO AENDELEE KUKUTUMIA.
1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
4.UFISADI -Dowans na Richmond
5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
kona.
15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA
MAJI.
16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
17.ELIMU DUNI.



NAKUKABIDHI NAMBA HAPO 10 JUU KWANI NDO LINALOKUFANYA UGANDE HAPO LUMUMBA KAMA KOBE JUU YA MTI.
 
Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.

Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:

Naunga mkono hoja... Ukweli mtupu.
 
Threads nyingine bhanaaa...sijui watu wanakuwa wamechoka sasa wanakuja kupumzika JF
 
huu ni upuuzi mwingine! Chadema hao hao ni wezi wa mabilioni ya EPA?!!!
 
Kama hamuelewi hapa watu wanajibishana na GAMBA moja tu lenye ID zaidi ya mbili.
 
Kwani ni lazima uchangie kama kichwa kina pumba tupu. Umepewa kiasi gani au ni buku 5 ca ugali na gongo. Unayoweka hapa ni kinyume cha mambo kwani watetezi wa haki hawawezi kufanya hayo. Hayo yanafanywa na magamba. Kwa sasa hata mtoto mdogo anajua. Usitupotezee muda hapa ndio mmefanya JF ipondwe na kila mtu kuwa ni kijiwe cha wasiokuwa na ajira(jobless). Uwe na kichwa kinachofikiria.Fujo za Bungeni zimetokana au zimesababishwa na nani? Waliotukana matusi wanaachwa waendelee kuchangia hoja, watetezi wa haki wanatolewa.[/QU Ndugu yangu umesema kweli manake nimeshindwa ata kumuelewa mtoa mada nimuweke kwenye kundi gani, watu wa namna hii alafu Tanzania iendelee ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom