Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.

Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:
 
unavua gwanda UNAVAA GAMBA!
kama mnaakiri mbona hamuwakamati?
 
naungamkono hoja,,,
 
Naomba kwa wale washtaarabu na wenzangu wa CDM wasichangie hii mada toka hapa hii mada kutokea hapa. Madhumun ya vimada kama hivi ni kututoa kwenye mambo muhimu ya utaifa na kututia ghadhabu. pia kutafuta chanzo cha kupunguza upinzani humu ndani kwani ukija kichwa kichwa unaweza kumtukana mleta mada na mwishowe ukala BAN.

TUpuuzeni hii mada.
 
we mbulula wewe unajidanganya kweli, mngejua watu mitaani walivyo elimika mh!? nawashangaa humu JF mnabishana mambo ya ccm acheni kubishania humu nendeni mitaani huko ndiko mtapata majibu ya ccm wanachukiwa kiasi gani na wananchi mnafanya takwimu mkiwa kwenye computer au kwenye cm ingieni mitaan muone..
 
Brother Malaka, jibu hoja, na usiwafumbe wenzako midomo. Unaona umeshaanza kutukana? kumuita mweznio Kimada si tusi hilo? lakini sikushangai ndiyo CHADEMA hiyo:A S 39:
 
Umeorodhesha yote hayo kutuaminisha uongo.Serikali dhaifu imeshindwa kusimamia wakati ina vyombo vyote vya usalama? mnalalama badala ya kuchukua hatua? Kama wanateka wanatishia waandishi wa habari,wanaua padri hakuna jeshi la polisi?Hakuna serikali au ipo likizo?Tangu padri ameuawa Zanzbar hadi leo serikali haijarudi likizo?
 
Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.

Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:
mbona una sahau suala la sheikh ponda? Si ni hao hao chadema?
 
Sijaona tofauti yako na mbunge wako na inadhihirisha mlivyo wajinga.
alafu wewe unaonekana kubwa jinga maana hata unachokiandika kinadhihilisha ujinga wako, endekeza njaa hivyo hivyo inamaana bunge huskilizi au ndio njaa imepamba moto?
 
Ndugu yangu Mnduoeye, Vyombo vya nchi si kama chumvi kwamba ukiitia ndani ya mboga basi ladha itabadilika. Hivi mnauwa watu ili muipe kazi serikali ya kuwatafuta? Mtapatikana tu, hakuna marefu yanayokosa ncha, mtatiwa nguvuni. Tanzania ina utawala wa Sheria si kujikamatia tu, watu wapo kazini, this tym Watanzania tumeamka na tumewatambua na hila zenu mbaya...Mshindwe na Mnyong'onyee:A S 39:
 
Kama CHADEMA wamemuua Mwangosi yule askari wa watu kwa nini jeshi la polisi walimweka ndani kama wauaji ni CHADEMA?
Uongo mwingine ni wa kutisha.Watanzania si wajinga kiasi hicho ndg yangu.Tumeamka na hatutasinzia tena.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Huo upumbavu ulionao ukiundeleza na mitaani, nilazima uvune ulichopanda kubwa jinga wewe unaetumia kufikili makalio. hivyo vijisenti vyashukurani utavipokea ila kama utaendeleza ujinga huu 2014 itakugharimu ki-mbu-lu we
 
Brother Mnduoeye, yule askari ametumiwa na CHADEMA afanye yale na si matakwa yake, kanunuliwa yule ili afanye yale, huo ndiyo mtandao wa CHADEMA ni wa hatari na ndiyo hayo ya Lwakatare...Mungu mkubwa atawaumbua kila baya mnalolipanga:A S 39:
 
Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.

Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:

Hiki chama kinaelekea kibra!
2015 kitabakiwa na wabunge 5.
 
Sijaona tofauti yako na mbunge wako na inadhihirisha mlivyo wajinga.

Wataalamu mtusaidie huyu Bwana asije kuwa Mwigulu au Le Mutz anatumia ID nyingine ili watu wasipoteze muda kujibu pumba zake
 
Ndgu yangu Vua Gwanda,sahihi kabisa vyombo vifanye kazi yake ili tuwajue kwa nini sasa tunakuwa watabiri na kuwataja CDM wakati vyombo stahiki ndio vinatakiwa kupitia mahakama vitudhihirishie kuwa CDM ndio wahusika wa haya madhila?
Kwa nini tutoke mapovu humu jamvini kujadili na kuhukumu bila ya kuwa na uthibitisho basi tu kuudangaya umma wa Watanzania? Hivi hizi propoganda zinatusaidia kweli ndugu yangu?Hii nchi mbona ni yetu sote?
 
Tatizo lenu mnaangalia mnapodondokea badala ya mlipojikwaa, tatizo sio chadema wala kina Lisu ni KITI CHA SPIKA unless kibadilike otherwise kutatokea kina Lisu wengi tuu
 
Back
Top Bottom