Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Not all members in jamii forums are great thinkers

Others like you are poor thinker who always think about mind, Greator thinkers think about ideas na hawashikiwi akili kama wewe.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.

Ntakutukana MATUSI ambayo hujawahi kutukanwa na kunifanya nipigwe ban,stupid we!
 
Nakuchukia sana wewe mleta mada,ningekua moderator nisingeruhusu kanjanja ka wewe hapa na usingefungua mdomo hapa jf
 
I suspect you did not do enough research so that you could have made a much better conlusion, it seems what you stated is basically uninformed personal feelings. As we speak there is no bunge no Speaker no nothing ni mijengo tu imejaa watu wenye njaa na tamaa za maisha yao na familia zao. Jazba zote zilizopo dodoma ni njaa na umaskini. Asilimia kubwa ya wabunge hawajui hata wajibu wao au kwanini wapo bungeni, kama yupo mbunge mwenye mission ambayo inaweza kuwa na impact kwa jamii i think angejitoa katika bunge hili kuliko kuendelea na aibu iliyopo sasa.
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.
Jinyonge Mburura wewe!
 
Mbowe anafikiri kuongoza upinzani Bungeni ni kutembea kwa landcruiser ya serikali tu!!!

Uongozi wa upinzani umemshinda, sasa hivi wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji...

Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni...

Hisia zimekupa muongozo!!!
 
I suspect you did not do enough research so that you could have made a much better conlusion, it seems what you stated is basically uninformed personal feelings. As we speak there is no bunge no Speaker no nothing ni mijengo tu imejaa watu wenye njaa na tamaa za maisha yao na familia zao. Jazba zote zilizopo dodoma ni njaa na umaskini. Asilimia kubwa ya wabunge hawajui hata wajibu wao au kwanini wapo bungeni, kama yupo mbunge mwenye mission ambayo inaweza kuwa na impact kwa jamii i think angejitoa katika bunge hili kuliko kuendelea na aibu iliyopo sasa.

Haya ni personal feeling ambapo yanaonyesha uhalisia wa kile kinachoendelea Bungeni.
Sheria hazijaanza kuvunjwa jana bungeni kwa mbunge mwenye akili hawezi kuleta vurugu kwa kujibishana na spika bali atatafuta ufumbuzi wa tatizo without creating another problem.
Ona matokeo ya ujinga wao wamepigwa ban siku tano kama haitoshi wanataka kwenda kuonyesha umbumbu wao majimboni kwa wabunge wenzao kwa kutumia ruzuku ambazo chanzo chake ni wananchi.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge. Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.
Punguza panic unapotaka kuandika.Tuoneshe ni kipi CHADEMA wamefanya kinachopaswa kujadiliwa na wanajamvi. Kama ni suala lako binafsi la chuki dhidi ya CHADEMA unaweza kuwaita wakwe zako mjadili.SIONI CHA KUJADILI HAPA.
 
Povu la nini sasa kama hauja cha kujadili?
 
Punguza panic unapotaka kuandika.Tuoneshe ni kipi CHADEMA wamefanya kinachopaswa kujadiliwa na wanajamvi. Kama ni suala lako binafsi la chuki dhidi ya CHADEMA unaweza kuwaita wakwe zako mjadili.SIONI CHA KUJADILI HAPA.

Chakujadili hiki hapa a)HADHI YA BUNGE KUPOTEA NA WASABABISHAO NI BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA.
b) BUSARA YA VIONGOZI/WABUNGE HAWA IKOWAPI MBELE YA VIONGOZI WAO NDANI YA BUNGE?
c)CHADEMA KUGEUZA UKUMBI WA BUNGE SEHEMU YA KAMPENI HALI WANAJUA NI CRUSIAL AREA KWA KUJADILI MAMBO YA MUHIMU YANAYOATHILI TAIFA/WANANCHI KWA UJUMLA.
Sasa unaposema haujaona cha kujadili unanifanya niamini wewe huna uwezo wa ku observe mambo.
Hapo kuna zaidi ya niliyoandika hapo juu ambayo unawezajadili.
 
Join Date : 13th March 2013
Location : TANZANIA
Posts : 421
Rep Power : 390
Likes Received68
Likes Given9

UNA CHEO GANI LUMUMBA???
Uyu lazima atakuwa mfuta meza na viti lumumba
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.

unatumia mat***ko kufikiria
 
Others like you are poor thinker who always think about mind, Greator thinkers think about ideas na hawashikiwi akili kama wewe.

duh lugha gani hii,mbona povu sana,magamba mtaisoma namba
 
Back
Top Bottom