CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
- Thread starter
- #261
Je Makinda na Ndugai wanaendeshaje bunge?Acha kuropoka binadamu si mbuzi akihisi haki yake kuminywa atajilinda kwa vyovyote.Unategemea wafanyeje kwenye bunge lenye upendeleo wa wazi kama huu?Tafakar kwa makini kisha ipe akili yako muda ikupe majibu.
mzazi wako akikuchapa kwakosa ambalo haujalifanyala kumkaripia ndio njia sawa kuondoa uonevu huo? Chadema kama chama kinachojipanga kuleta ukombozi as they preach wanapaswa kuonyesha mfano.