Tetesi: Wabunge wa CCM Waanza Kutishiwa!

Pale hapakutakiwa Utaifa, CCM waliwachezea Chadema Mchezo Mchafu kuanzia Mwanzo! Ila chadema hawashauriki, Kwenye siasa hakuna Kuwa Mr. Nice, Wangewaweka Masha, Safari Wenje na Wema Sepetu, wangekuwa wamewabana Maccm kama mijusi ukutani, kwani Hao wanaume watatu hawawataki na Wema hawamtaki, na hakuna kura za ndio na hapana. Kwa asilimia 100% Wamama wale walichaguliwa na CCM. Kwa hiyo realy walitoka Chadema lakini kwa Matakwa ya CCM what an insult. Sina Lugha nyingine ha Kusema ila Chadema waliingiziwa Vidole na CCM kusikosemeka. Na wanastahili, wanakiburi cha kipumbavu sana hawasikilizi ushauri. Mimi sikushauri wamweke Wema Kimaslahi ila Kuwafanyia CCM hujuma ten times over, kwenye siasa mtu akikupiga rungu unamjibu kwa mizinga na vifaru! Chadema hili hawalijui wanajifanya Malaika.

Ningekuwa Chadema by 2019 Hivyo Vibombadia Vyote Vingekuwa Juu ya Mawe, si mtindo ni kuhujumiana sio! Ila aku geuza shavu, utavujwa mataya! Kila la heri Malaika wapenzi Chadema!
Kimsingi jamaa naona kafanikiwa sana kuubana upinzani na kuuzofisha kwa kiasi kikubwa
 
wanachoniacha hoi wabunge wa ccm, wanapiga hoja baadae na mwishoni ati naunga mkono, kweli woga umewatawala sana
 
Personally naona kuna kila dalili za CDM kupoteza dira as 2020 is approaching, ikumbukwe kuwa uchaguzi serikali za mitaa ni kesho kutwa tu, so far sioni juhudi zozote zinazozaa matunda. Katibu Mkuu yupo kimya balaa, UKAWA ni kama imekufa, maana mgogoro wa CUF na ukimya wa NCCR unarudisha nyuma harakati. Think Tanks wa CHADEMA kuanzia Mnyika, Mdee, Lissu, Safari na wengineo hawajihushi tena kwenye kupanua chama, kuingiza wanachama wapya sio motive tena ya CDM. Chama kamwe hakitofanikiwa kwa kuwa na mashabiki wengi, bali wanachama wengi. Makene naye yupo kimya. Inshort baada ya uchaguzi 2015 ni kama hakuna mikakati tena, chama kinajiendesha in no direction, chama kipo kipo tu.
Cc tulio huku chini ndio tunaona move. jamaa wako busy sana kujenga chama mashinani. kadi zinauzwa kama pipi. kama wakienda HV 2020 ssem watashangaa
 
Najua Ni Kwanini CCM walikuwa na Hofu sana ya Kuona Wabunge Mahiri wa EALA wanatoka Chadema, Ukiacha yule Kijana Mwenye PHD ya kweli sio ya Kufanyiwa kama Ba-Bashite Niambie ni Nani Makini kati ya waliowapeleka. Wamemkataa Pr. Abdala Safari, Laurence Masha etc, Yote ni ili Kule kenya wasiwaulize Kama ninyi Mnatema Lugha ya Malikia hivi? Ba-Bashite amelogwa na Nani? Je PHD yake ni Kweli au naye apitiwe na Ndalichako?

Hiyo Ndiyo hofu sio Kingine, Yaani Badala ya Kuweka Taifa Mbele Mnaendeleza Dhana ya "Wote tukose"

Na ukiangalia Idadi ya wabunge wa Chadema ni Kama Mia hivi na almost 98% ya kura za Wabunge wa chadema zilienda kwa Masha, Wenje na Safari. Waliochaguliwa wale wamama ni Kura za Wabunge wa CCM. Ila Chadema Pumbavu sana walichaguliwa wabunge kwa Kuwa hawasikii Ushauri Nilishauri Wawaweke, Masha, Safari na Wema Sepetu au Masha, Wenje na Wema Sepetu, hapo wangewatega CCM kwani CCM walikuwa na Beef na Wote watatu lakini ndio Hivyo sikio la kufa!

Acha Blaa blaa za kusingizia CCM , Wewe sasa ndio Ujiulize kwanini Salum Mwalimu kapata kura nyingi za Ukawa kuliko za hao uliowataja?

Umewahi kujiuliza kwanini kati ya hao uliowataja Hakuna aliefikisha walau kura 50 wakati Ukawa peke Yao wanakadiria 100?

Masha na Wenje baada ya Uchaguzi kurudiwa kura walizopata hazifikii hata nusu ya kura walizopata awali huoni kuwa hilo ni jibu tosha hata ndani ya Chama ilishinikizwa tu kuwachagua na baada ya options kuongezwa na kuruhusiwa kupiga kura kwa Siri pale mbele wengi wa Wabunge wa Ukawa waliwakataa?
 
Bashe na Nape walishapigwa X na Bashite Sr. tangu Juzi. Mwingine ni Kitwaga ila yeye atabembelezwa na Ubalozi au Kitu cha aina hiyo!
Du kweli kuna plan yaani yote hayo ili mradi Kitwanga aachiei jimbo kwa mtoto kipenzi
 
Acha Blaa blaa za kusingizia CCM , Wewe sasa ndio Ujiulize kwanini Salum Mwalimu kapata kura nyingi za Ukawa kuliko za hao uliowataja?

Umewahi kujiuliza kwanini kati ya hao uliowataja Hakuna aliefikisha walau kura 50 wakati Ukawa peke Yao wanakadiria 100?

Masha na Wenje baada ya Uchaguzi kurudiwa kura walizopata hazifikii hata nusu ya kura walizopata awali huoni kuwa hilo ni jibu tosha hata ndani ya Chama ilishinikizwa tu kuwachagua na baada ya options kuongezwa na kuruhusiwa kupiga kura kwa Siri pale mbele wengi wa Wabunge wa Ukawa waliwakataa?

Shida yako Ulikimbia umande Walikuwa Jumla ya Wagombea 6 hata tukisema kila mtu alipata kura sawa kutoka Chadema wote wangepata Kura 17 hivi kwa hiyo zingine zote zilitoka CCM. Sasa wewe Point yako ni nini? Maana hata uanchoongea hakieleweki wana hata wewe hukielewi!
 
Tujiulize ni Kwanini Magufulialikimbia Msiba Arusha kwa Kuogopa Kufunikwa na Lowassa?. Maana msidhani huo ujanja wakitoto wa kubadilisha hoja hatuujui. Tunaongelea Mengine mnataka kuleta Destruction!
 
Na Chadema Kubalini Ushauri, Mbunge wa CCM akihujumiwa akija kwenu, moja kwa Moja mpeni yeye Tiketi ya Kugombea Jimbo Lake. Let say Uchaguzi uliopita Alipokuwa CCM kwenye hilo jimbo Alishinda kwa kura 30,000 Na Ninyi mkapata Kura 22,000 sasa Uchaguzi Ujao Akifukuzwa CCM, Panga Pangua atakuwa Mioyoni mwa angalau nusu. 15,000 Akija Kwenu Mkimpitisha awe mgombea wenu bila mizengwe ya Kijinga, Kaja na at least Kura 15000 Nyie zenu za Uchaguzi Uliopita hata kama Mki maintain nusu yake hapo mna Kura 11000 Kwa uchache. Hapo Ukijumlisha autakuta amekuja na Kura 15000 Mkamtulia zenu 11000 hapo anashinda kwa Mbali sana kwa Kura 36,000 huku huyu Imposter mpya wa CCM kama Shetani wake akimsaidia Ataambulia Maximum ya Kura 15,000.

CHADEMA ACHENI DHARAU MKISHAURIWA FANYENI SIASA KWA AKILI. MGEWEZA KUWEKA HATA TANGAZO, UKITOKA CCM TUTAKUPITISHA JIMBO LAKO BILA KUPINGWA, WENGI WATAKUJA, HATA WAKIWA WATANO KATI YA MIA NI SAWA KWANI HAYO MAJIMBO SIO YENU NA YOU HAVE NOTHING TO LOSE!
Mkuu TL Marandu, ninakusoma in between the lines na ninakuelewa sana.

Hili la Chadema kuwa sikivu na kusikiliza ushauri ni jambo la msingi sana!.

Ili chama cha upinzani kiweze kwenda ikulu baada ya kushindwa uchaguzi uliopita, lazima kwanza kiangalie kilipojikwaa na kusababisha kuanguka, na sio kuangalia tuu kilipoangukia, kuamka na kuendelea na safari, kupitia njia ile ile na kikifika pale pale kilipojikwaa mwanzo, kitaendelea kujikwaa na kitaanguka tena na tena!.

Hatua ya kwanza baada ya kushindwa ni kufanya tathmini umeshindwa wapi, umeshindwa nini, umeshindwa vipi!.

Hatua ya pili ni kumpumzisha kiongozi mkuu no matter how good he/she is!. Chama kikiishashindwa uchaguzi mkuu lazima Mwenyekiti apishe damu mpya!.

Ile 2010 baada tuu ya uchaguzi, nilitoa ushauri huu kwa Chadema...

CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni .....!

Kama Chadema wangenisikiliza ushauri hug, amini usiamini Chadema saa hizi wangekuwa Ikulu!.

Paskali
 
ukiwa mbunge wa ccm unapaswa kuwa jasiri sana ili kutetea wananchi wako. nje ya hapo utabaki kuwa ni mbunge wa chama.
 
Shida yako Ulikimbia umande Walikuwa Jumla ya Wagombea 6 hata tukisema kila mtu alipata kura sawa kutoka Chadema wote wangepata Kura 17 hivi kwa hiyo zingine zote zilitoka CCM. Sasa wewe Point yako ni nini? Maana hata uanchoongea hakieleweki wana hata wewe hukielewi!

Sasa Wewe usiekimbia Umande hujui kuwa Chama chako hakikuwa na strategy ndio sababu hawakukubaliana kura wampe Nani au Wabunge wenu walisaliti Maelekezo ya Ayatollah Mbowe!

Wagombea wote ni wa Chadema na wameletwa na Chadema halafu CCM ikitumia Demokrasia yake kuchagua inaoona Wanafaa mnakuja kulaumu CCM wakati Nyie ndio mliowaleta mkiaminisha Bunge kuwa ndio wanafaa!

Kitendo cha Kura za Wenje na Masha kupungua ukilinganisha na Mara ya kwanza na kufikia Wenje baada ya marejeo kushika Mkia inaashiria hata ndani ya Chama walikuwa hawakubaliki
 
Najua Ni Kwanini CCM walikuwa na Hofu sana ya Kuona Wabunge Mahiri wa EALA wanatoka Chadema, Ukiacha yule Kijana Mwenye PHD ya kweli sio ya Kufanyiwa kama Ba-Bashite Niambie ni Nani Makini kati ya waliowapeleka. Wamemkataa Pr. Abdala Safari, Laurence Masha etc, Yote ni ili Kule kenya wasiwaulize Kama ninyi Mnatema Lugha ya Malikia hivi? Ba-Bashite amelogwa na Nani? Je PHD yake ni Kweli au naye apitiwe na Ndalichako?

Hiyo Ndiyo hofu sio Kingine, Yaani Badala ya Kuweka Taifa Mbele Mnaendeleza Dhana ya "Wote tukose"

Na ukiangalia Idadi ya wabunge wa Chadema ni Kama Mia hivi na almost 98% ya kura za Wabunge wa chadema zilienda kwa Masha, Wenje na Safari. Waliochaguliwa wale wamama ni Kura za Wabunge wa CCM. Ila Chadema Pumbavu sana walichaguliwa wabunge kwa Kuwa hawasikii Ushauri Nilishauri Wawaweke, Masha, Safari na Wema Sepetu au Masha, Wenje na Wema Sepetu, hapo wangewatega CCM kwani CCM walikuwa na Beef na Wote watatu lakini ndio Hivyo sikio la kufa!
Ila kweli hapo chadema walifanya mistake.
 
Pascal 2015 Chadema walishidwa kwa kuhujumiwa na pamoja na kuhujumiwa huko bado waligain sana kwenye wabunge. Hivyo sioni kama Mwenyekiti akibadilishwa itasaidia. Hujuma aliyopanga kuwafanyia Magufuli 2020 ni mbaya zaidi. Kama wana akili wanatakiwa Nao watumie fedha, Intelligence etc Wamfanyie Hujuma mara mia zaidi. Tena sio wangoje 2019 watakuwa wamechelewa wanatakiwa waanze sasa.

Inashangaza Sana CCM ambayo Ilinyang'anya Computer za UKAWA za Parallel Tabulation sasa wao Ndio Wamemsaidia Raila Odinga na ODM kuweka Kituo cha Computer Tanzania. What an Irony. Mimi naomba sana Uhuru ashinde Ingawa simtaki Ruto lakini Kama UKAWA wana akili wangekopa hata pesa kwa Uhuru Kujiimarisha Kimkakati na Kumfanyia Magufuli hujuma mara mia zaidi ya anavyowafanyia yeye. Inahitajika kiasi cha kama Bilioni 10 hivi za Tanzania ambazo ni Kama million 90 tu za kenya na ni dollar kama Million 4 hivi. CHADEMA wakiwa na Kiasi hiki wakakiweka kwenye Intelligence na Operations CCM itahenya 2020. Na sio Kiasi Kikubwa Lowassa anaweza Kuwasaidia Chadema Kupata Mkopo au Msaada Huo kutoka kwa Uhuru!
 
Sasa Wewe usiekimbia Umande hujui kuwa Chama chako hakikuwa na strategy ndio sababu hawakukubaliana kura wampe Nani au Wabunge wenu walisaliti Maelekezo ya Ayatollah Mbowe!

Wagombea wote ni wa Chadema na wameletwa na Chadema halafu CCM ikitumia Demokrasia yake kuchagua inaoona Wanafaa mnakuja kulaumu CCM wakati Nyie ndio mliowaleta mkiaminisha Bunge kuwa ndio wanafaa!

Kitendo cha Kura za Wenje na Masha kupungua ukilinganisha na Mara ya kwanza na kufikia Wenje baada ya marejeo kushika Mkia inaashiria hata ndani ya Chama walikuwa hawakubaliki
Bye! Jiulize Kwanini Magufuli alikimbia Msiba kwa Kumwogopa Lowassa kama anajiamini? Anamwogopa mpaka Kupeana naye Mkono anauita ni Muujiza! Wongo kweli?
 
Personally naona kuna kila dalili za CDM kupoteza dira as 2020 is approaching, ikumbukwe kuwa uchaguzi serikali za mitaa ni kesho kutwa tu, so far sioni juhudi zozote zinazozaa matunda. Katibu Mkuu yupo kimya balaa, UKAWA ni kama imekufa, maana mgogoro wa CUF na ukimya wa NCCR unarudisha nyuma harakati. Think Tanks wa CHADEMA kuanzia Mnyika, Mdee, Lissu, Safari na wengineo hawajihushi tena kwenye kupanua chama, kuingiza wanachama wapya sio motive tena ya CDM. Chama kamwe hakitofanikiwa kwa kuwa na mashabiki wengi, bali wanachama wengi. Makene naye yupo kimya. Inshort baada ya uchaguzi 2015 ni kama hakuna mikakati tena, chama kinajiendesha in no direction, chama kipo kipo tu.
Hao wanaChama watawaongeZa mda gañ Na hali baba yak0 kafinya uhuru wa siasa.?TUMIA
Ub0ngo
wewe
 
Back
Top Bottom