Tetesi: Wabunge wa CCM Waanza Kutishiwa!

Sada wabunge kazi yao nini hasa bungee? ??kutembea chama au kutetea haki za wananchi? ?sisi tumewapa kura kwa nia ya kutetea haki. Sio watetee chama.haeako bumgeni kuwa simba na yanga
 
Baadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!

Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.

Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Mtumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.

Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnakijua Nachowaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!

Na Chadema Kubalini Ushauri, Mbunge wa CCM akihujumiwa akija kwenu, moja kwa Moja mpeni yeye Tiketi ya Kugombea Jimbo Lake. Let say Uchaguzi uliopita Alipokuwa CCM kwenye hilo jimbo Alishinda kwa kura 30,000 Na Ninyi mkapata Kura 22,000 sasa Uchaguzi Ujao Akifukuzwa CCM, Panga Pangua atakuwa Mioyoni mwa angalau nusu. 15,000 Akija Kwenu Mkimpitisha awe mgombea wenu bila mizengwe ya Kijinga, Kaja na at least Kura 15000 Nyie zenu za Uchaguzi Uliopita hata kama Mki maintain nusu yake hapo mna Kura 11000 Kwa uchache. Hapo Ukijumlisha autakuta amekuja na Kura 15000 Mkamtulia zenu 11000 hapo anashinda kwa Mbali sana kwa Kura 36,000 huku huyu Imposter mpya wa CCM kama Shetani wake akimsaidia Ataambulia Maximum ya Kura 15,000.

CHADEMA ACHENI DHARAU MKISHAURIWA FANYENI SIASA KWA AKILI. MGEWEZA KUWEKA HATA TANGAZO, UKITOKA CCM TUTAKUPITISHA JIMBO LAKO BILA KUPINGWA, WENGI WATAKUJA, HATA WAKIWA WATANO KATI YA MIA NI SAWA KWANI HAYO MAJIMBO SIO YENU NA YOU HAVE NOTHING TO LOSE!
Pole sana ndg yangu, lakini naamini si kosa lako, ila ni lile tatizo la kuwekeza akili kwa watu wengine, mara hii2 umesahau kwamba ujio wa Lowasa umefanya wanachama wapunguze imani na chama chao? sasa kimeonekana ni chama kinachokumbatia ufisadi, uhalifu na si kama mwanzo, kilikuwa kinapinga ufisadi, ebu ona hata watu wa madawa ya kulevya ni salama kwa chama "B" ila usitegemee hao wabunge kuhamia chama "B" na hao ndo walimsaliti baba yao baada ya kuondoka CCM. Baba yao alijikuta anabakia na mundu yake Mugeja2 kwenda chama"B" inahitaji moyo na si kukurupuka
 
Ushauri mzuri ila pia Kumbuka sio kwa tume hii, kama wapinzani watalala issue ya tume wasahau kabisa kupata wabunge wengi na urais
 
Ya CCM hayawahusu!

Jadilini kwanini Wenje kapata kura 34 na Masha kapata kura 44 baada ya Spika Ndugai kukubali ombi la baadhi ya Wabunge wa Chadema kuomba kwenda kupiga kura kwa Siri pale mbele
...Pia tujadili waliokula rambi rambi za watoto kule Arusha.
 
Ni kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.

Chadema wasipokaa na kupokea maoni ya watu watashindwa vibaya.
Watu ndiyo source ya elimu na ushindi wa kisiasa. Nyerere alikua anacheza bao na kunywa kahawa uswahilini ili ajue watu wanasemaje na wanamshaurije wale wasi na fursa ya kufika ikulu.
Hii ilimsaudia kutengeneza Propaganda.

Hata awamu hii ya Tano inawavuta sana watu wa chini pamoja na ugumu wa maisha uliopo kutokana na kutumiw mbinu na Propaganda zinazofanana sana na za Dr. Slaa.
Hata Dr. Slaa angetawala Tanzania angetawala kama ilivyo sasa. Awamu hii inaelekea walifuatilia kwa karibu sana Siasa na Propaganda za Dr. Slaa ili waweze kuwateka watu wa Chini wanaowaita wanyonge.

Sasa Mbowe asiposhtuka na kuingia mitaani na kutafuta ushauri kwa udi na uvumba kamwe hataweza kushindana na utawala huu kisiasa. Bora awapushe wengine wenye mbinu na mipango na Propaganda sawia za kisiasa.
Mbowe kuna wakati anapitiwa na kuwa mbinafsi na mroho aliyepituliza.Ni lazima akubali kutulia na kusikiliza hasa anapoona CCM wanakua na jambo linalotaka kuingilia mambo ya ndani ya CDM. Umakini unahitajika vinginevyo anapeleka chama shimoni.
Aliihujumu serikali ikaonekana haifanyi lolote.........hiyo ni akili ya mwafrica mlofa na maskini anayeihujimu serikali Yake ili aingie madarakaki kuendeleza nchi aliyoihujumu na kuifanya maskini
 
Hao wanaChama watawaongeZa mda gañ Na hali baba yak0 kafinya uhuru wa siasa.?TUMIA
Ub0ngo
wewe
Naona wewe uneextend Ubongo wako to the last thinking ability.
Moja: Imekatazwa mikutano ya kisiasa, hawajazuia kurecruit wanachama wapya, ndio maana Wema Sepetu na Mama Yake walipata uanachama, hawakupata uanachama kwa mkutano wa hadhara, bali ni maongezi baina ya wahusika ambayo hayakuitaji hadhara.
Kama wewe mwanachama wa CDM unao ndugu jamaa na matafiki ambao upo nao kila siku na sio wanachama wa CDM basi hio ndio ingekuwa chachu ya wewe kuwashawishi wajiunge, hakuta kilichokatazwa hadi hapo.

Mbili, kimekuwa kilio cha muda mrefu cha kutoa membership via online registration, watu wengi sana hawapendi mambo ya matawi na mashina, as utaratibu huo ni wa 70's, the world has change, sitaki ongea mengi hapa maana itakuwa kuwapa watu wengine maujanja ambayo yatawork against upinzani.

Panua Bongo ndugu, dunia imebadilika, go with it.
 
Ya CCM hayawahusu!

Jadilini kwanini Wenje kapata kura 34 na Masha kapata kura 44 baada ya Spika Ndugai kukubali ombi la baadhi ya Wabunge wa Chadema kuomba kwenda kupiga kura kwa Siri pale mbele
Haya hawawezi kuyajadili. Wao kila kitu mbaya ni CCM kumbe wao ndio wanahujumiana....hata Bulaya aliwapigia kura wanawake wenzake tena akamaliza akaanza kushangilia na Naibu Spika kwa kumzodoa Mbowe...
 
Magufuli asipouweka uchumi sawa,hali yake ngumu.Namshauri akazane na uchumi siasa katika zama hizi za utandawazi atobohi.Count my words
 
Aliihujumu serikali ikaonekana haifanyi lolote.........hiyo ni akili ya mwafrica mlofa na maskini anayeihujimu serikali Yake ili aingie madarakaki kuendeleza nchi aliyoihujumu na kuifanya maskini

Ni Siasa hizo za baadhi ya binadam.
Ni Mrengo wa Kushoto ulivyo.
Kama Mwingereza asingemtoa Mjerumani Afrika isingepata Uhuru miaka hiyo ya 1960+. Labda tungepata uhuru baada ya karne moja mbele. Hii ni kutokana na siasa za mjerumani zilikua hazina huruma wala uvumilivu kwa mtu yeyote aliyekua anazungumzia suala la Uhuru. Ukitamka neno uhuru kesho yake watu wanakukuta juu ya mti umenyongwa. Sijui nani angeweza kuhimili siasa za aina hiyo na vitisho vya mjerumani wakati huo.
Mjerumani yeye ni kupiga kazi na sheria kali tu.

Mwingereza akaja kama mdau au mwekezaji tu wa kupigania maslahi yake.
Na kuanza kuandaa watu ili wajitawale wenyewe.
Kwa hiyo usipokua na madhara na maslahi yake basi unapewa uhuru hata kwa mazungumzo mezani.

Kwa hiyo hata leo hizo ndio siasa zinazotawala Afrika.Kuna watawala na wapinzani wanaopingana kwa hoja na kustawisha demokrasia lakini wapo wengine kazi yao ni kueneza siasa kali za vitisho na hujuma kutokana na mrengo anaouamini. Hata serikali nyingine inaingia madarakani na kuponda serikali iliyopita kuwa haikufanya kitu chochote . Kila Binadamu ana kitu anachoamini kuwa ni sahihi kukifuata. Akipewa nafasi basi anakisimamia ili kitekelezwe

Dr.Slaa hakuwa na uvumilivu wa Kidemokrasia. Ndio maana tangu ameondoka ndani ya CDM hakuna fukuza fukuza.
Kwa hiyo kwake serikali yoyote iliyokuwa na huruma au subra kwa mkosaji au mtu anayetuhumiwa aliona haifanyi kitu.
Wanasiasa wa aina hiyo wanachopenda ni kuona binadamu anawekewa sheria kali sana. Maendeleo kwake ni yale yanayomfanya mtu anyooke kisawasawa. Sio kumlegezea legezea kamba.

Kuna mwingine ataona kuwa kwa nini watu wangu wanunue kilo ya unga sh2000 wakati mahindi yapo Brazili naweza kutoa msamaha wa kodi na mahindi yakaletwa watu wakanunua kwa sh.500/- kwa kilo moja.
Sasa mwingine anaona yule anayetoa msamaha wa kodi ili mwananchi wake apate unafuu wa maisha kuwa hajafanya chochote zaidi ya kuwa dhaifu na legelege.
Ni tofauti za kisiasa.
Ndio maana kwa wenzetu wazungu walioendelea na kuthamini tofauti zao za kimawazo wanakuza sana demokrasia ili watu wapingane kwa hoja na sio vioja kama Afrika.
Hayo pia tunayaona kwa waarabu wanaamua kuuana na kuharibu kila kitu kwa sababu tu wanatofautiana kimawazo. Kila mmoja anaamini kuwa anaweza kuleta maendeleo zaidi.
Sasa unajiuliza mtu anazungumzia maendeleo yapi kama anaharibu miundo mbinu yote na kuua watu kwa maelfu!! Ni maendeleo gani anayozungumzia?
Jibu ni kwamba kuna kitu anachokiamini kuwa akitawala ataweza kukisimamia hata kama hakina uhalisia.
 
Baadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!

Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.

Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Mtumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.

Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnakijua Nachowaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!

Na Chadema Kubalini Ushauri, Mbunge wa CCM akihujumiwa akija kwenu, moja kwa Moja mpeni yeye Tiketi ya Kugombea Jimbo Lake. Let say Uchaguzi uliopita Alipokuwa CCM kwenye hilo jimbo Alishinda kwa kura 30,000 Na Ninyi mkapata Kura 22,000 sasa Uchaguzi Ujao Akifukuzwa CCM, Panga Pangua atakuwa Mioyoni mwa angalau nusu. 15,000 Akija Kwenu Mkimpitisha awe mgombea wenu bila mizengwe ya Kijinga, Kaja na at least Kura 15000 Nyie zenu za Uchaguzi Uliopita hata kama Mki maintain nusu yake hapo mna Kura 11000 Kwa uchache. Hapo Ukijumlisha autakuta amekuja na Kura 15000 Mkamtulia zenu 11000 hapo anashinda kwa Mbali sana kwa Kura 36,000 huku huyu Imposter mpya wa CCM kama Shetani wake akimsaidia Ataambulia Maximum ya Kura 15,000.

CHADEMA ACHENI DHARAU MKISHAURIWA FANYENI SIASA KWA AKILI. MGEWEZA KUWEKA HATA TANGAZO, UKITOKA CCM TUTAKUPITISHA JIMBO LAKO BILA KUPINGWA, WENGI WATAKUJA, HATA WAKIWA WATANO KATI YA MIA NI SAWA KWANI HAYO MAJIMBO SIO YENU NA YOU HAVE NOTHING TO LOSE!
Huo mkakati wa kuchukua makapi ulishafeli kwa Lowassa.Watu wanachagua chama sio mtu
Endelea tu kujifariji meku
 
Ni kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.

Chadema wasipokaa na kupokea maoni ya watu watashindwa vibaya.
Watu ndiyo source ya elimu na ushindi wa kisiasa. Nyerere alikua anacheza bao na kunywa kahawa uswahilini ili ajue watu wanasemaje na wanamshaurije wale wasi na fursa ya kufika ikulu.
Hii ilimsaudia kutengeneza Propaganda.

Hata awamu hii ya Tano inawavuta sana watu wa chini pamoja na ugumu wa maisha uliopo kutokana na kutumiw mbinu na Propaganda zinazofanana sana na za Dr. Slaa.
Hata Dr. Slaa angetawala Tanzania angetawala kama ilivyo sasa. Awamu hii inaelekea walifuatilia kwa karibu sana Siasa na Propaganda za Dr. Slaa ili waweze kuwateka watu wa Chini wanaowaita wanyonge.

Sasa Mbowe asiposhtuka na kuingia mitaani na kutafuta ushauri kwa udi na uvumba kamwe hataweza kushindana na utawala huu kisiasa. Bora awapushe wengine wenye mbinu na mipango na Propaganda sawia za kisiasa.
Mbowe kuna wakati anapitiwa na kuwa mbinafsi na mroho aliyepituliza.Ni lazima akubali kutulia na kusikiliza hasa anapoona CCM wanakua na jambo linalotaka kuingilia mambo ya ndani ya CDM. Umakini unahitajika vinginevyo anapeleka chama shimoni.

Pole sana ndg yangu, lakini naamini si kosa lako, ila ni lile tatizo la kuwekeza akili kwa watu wengine, mara hii2 umesahau kwamba ujio wa Lowasa umefanya wanachama wapunguze imani na chama chao? sasa kimeonekana ni chama kinachokumbatia ufisadi, uhalifu na si kama mwanzo, kilikuwa kinapinga ufisadi, ebu ona hata watu wa madawa ya kulevya ni salama kwa chama "B" ila usitegemee hao wabunge kuhamia chama "B" na hao ndo walimsaliti baba yao baada ya kuondoka CCM. Baba yao alijikuta anabakia na mundu yake Mugeja2 kwenda chama"B" inahitaji moyo na si kukurupuka

Huyo jamaa yupo sahihi.

Fikra za kwako ni sahihi kinadharia lakini kivitendo sio sahihi.
Siasa za ushindani wa kupata zinacheza na wingi wa wanachama na mashabiki.

Anaposema kwamba mbunge akifukuzwa kule CCM au akiachwa kimizengwe basi wampokee kwa mikono miwili yupo sahahihi na sio lazima aje CDM hata akienda Chama kingine ambacho kipo chini ya UKAWA wamwachie. Kuna watu wanaachwa sio kwa sababu ya ufisadi kama tunavyoaminishwa.
Hebu niambie mfano ukimwacha Nape. Kwa nini asipokelewe na kupewa jimbo awakilishe watu wake.
Nape ana ufisadi gani? Au Huseni Bashe na Serukamba.
Kwanza ni wabunge wenye uelewa mpana sana na mara nyingi wabunge kama hao na tishio kwa serikali lakini sio kwa wananchi.

Afrika kusini ilipata uhuru kwa kusaidiwa na vijana wahuni huni wa mtaani. Baada ya uhuru wale wahuni hawakuingia kwenye serikali waliachwa nje waone tu matunda ya uhuru.

Hata kwenye kujenga demokrasia ni lazima kwanza watawala au chama tawala kitambue kuwa kuna siku wanaweza kuwa wapinzani pia. Watawala kwanza watambue kuwa kuna siku wanaweza wakatoka madarakani. Pia wananchi wafahamu kuwa wapinzani pia wanaweza wakatawala na Tanzania ikaendelea kuwepo.
Ni lazima kwanza watu waone kwa vitendo na wafahamu kuwa nchi sio mali ya mtu.
Ni lazima ifikie kiwango Watawala wajue kabisa kuwa wakivurunda wengine watachaguliwa.
Ndio maana huo ushauri wa kutafuta wabunge wengi wa upinzani hata kama anatoka leo CCM alimradi ana watu nyuma yake wa kumpa kura za ushindi.
Lengo la upinzani liwe ni kujenga demokrasia kuanzia Bungeni na kwenye level ya madiwani.
Kwa sasa uwiano wa wabunge wa CCM na wale wa upinzani hauridhishi kabisa.
Ndio maana hata nje ya bunge demokrasia inakua ni ngumu kuipata. Mtu atakuachia vipi kiti cha urais mtu mwenye wabunge 26 kati ya waunge zaidi ya 328. Haiwezekani kabisa.

Ni lazima wapinzani wenye mawazo kama yako watambe kuwa Kupata mbunge mmoja au diwani ni kukitangaza Chama kwa kiwango kikubwa sana kwa miaka mitano kwa gharama za serikali. Awe ametoka CCM au la.
Ndio maana leo hii Mbowe akaenda CCM inakuwa sio ishu kubwa sana ya kwa watu wanaojua siasa za kiafrika. Watu wataamini kuwa amenunuliwa. Lakini leo hii kwa mfano tu waziri mkuu wa Zimbabwe( ni mfano wa kwetu) ahamie Upinzani atakua amekitangaza chama cha upinzani kwa kiwango kikubwa sana.

Watu wanaotoka CCM kwenda upinzani tusiwabeze wanakitangaza chama na kukuza dokrasia. Na pia mara nyingine wanajenga ustarabu wa kuheshimiana kwa wanasiasa. Ndio maana Viongozi wengi wa CCM wanamheshimi Lowasa na wanapokutana wanaonyesha kuwa nchi ni yetu wote. Tofauti na pale wanapokutana na mwanaharakati ambaye hawamfahamu kiutendaji.

Tukijenga demokrasia kwenye bunge wananchi wataheshimika.
Leo hii wabunge wapo pale kwa maslahi na matakwa ya Serikali hawana ujasiri wa moja kwa moja kusimamia maslahi ya majimbo yao. Mtu anagonga meza wakati jimbo lake halina maji miaka nenda rudi. Anaogopa kusema ukweli na kuibana serikali mana anaweza akatemwa kwenye uchaguzi na hana pa kukimbilia.
Leo hii mfano Rizione anaachwa kwa mizengwe ndani ya Chama chake halafu anajiunga na Chadema halafu eti anaomba kugombea jimbo hilo hilo la Chalinze, akikataliwa itakuwa ni kosa kubwa la kiufundi kwa sababu ndani na nje ya jimbo hilo hakuna mpinzani aliyejitangaza kwa kiwango cha Ridhiwani. Kujiunga kwake Chadema kutaitangaza nchi nzima.

Wapinzani wawe makini sana mana kwa sasa hakuna fursa za kuwapata kirahisi watu kama wakina Zito Kabwe ,Mnyika ,Sugu, Professor J. na wengine kutokana na sheria kukaza zaidi kwenye shughuli za siasa za upinzani
, kuropoka ropoka na kuuza sura kwenye vyombo vya habari. Wapinzani wakimpata aliyetoka ndani ya CCM wamtumie huyo kwanza lengo ni kuondoa urasimu wa kisiasa kwanza. Kwanza Watu wakubaliane kutokubaliana.
 
Ni kweli paskali ccm imechokwa kiasi temeke fomu za kugombea uongozi ndani ya chama zinaoza lakini pia mbunge wa Ukawa huonekani yaani wananchi wanasubiri masiya na mahdi na hakuna dalili watatokea karibuni
QUOTE="Pascal Mayalla, post: 21115558, member: 17813"]Mkuu TL Marandu, ninakusoma in between the lines na ninakuelewa sana.

Hili la Chadema kuwa sikivu na kusikiliza ushauri ni jambo la msingi sana!.

Ili chama cha upinzani kiweze kwenda ikulu baada ya kushindwa uchaguzi uliopita, lazima kwanza kiangalie kilipojikwaa na kusababisha kuanguka, na sio kuangalia tuu kilipoangukia, kuamka na kuendelea na safari, kupitia njia ile ile na kikifika pale pale kilipojikwaa mwanzo, kitaendelea kujikwaa na kitaanguka tena na tena!.

Hatua ya kwanza baada ya kushindwa ni kufanya tathmini umeshindwa wapi, umeshindwa nini, umeshindwa vipi!.

Hatua ya pili ni kumpumzisha kiongozi mkuu no matter how good he/she is!. Chama kikiishashindwa uchaguzi mkuu lazima Mwenyekiti apishe damu mpya!.

Ile 2010 baada tuu ya uchaguzi, nilitoa ushauri huu kwa Chadema...

CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni .....!

Kama Chadema wangenisikiliza ushauri hug, amini usiamini Chadema saa hizi wangekuwa Ikulu!.

Paskali[/QUOTE]
 
Pale hapakutakiwa Utaifa, CCM waliwachezea Chadema Mchezo Mchafu kuanzia Mwanzo! Ila chadema hawashauriki, Kwenye siasa hakuna Kuwa Mr. Nice, Wangewaweka Masha, Safari Wenje na Wema Sepetu, wangekuwa wamewabana Maccm kama mijusi ukutani, kwani Hao wanaume watatu hawawataki na Wema hawamtaki, na hakuna kura za ndio na hapana. Kwa asilimia 100% Wamama wale walichaguliwa na CCM. Kwa hiyo realy walitoka Chadema lakini kwa Matakwa ya CCM what an insult. Sina Lugha nyingine ha Kusema ila Chadema waliingiziwa Vidole na CCM kusikosemeka. Na wanastahili, wanakiburi cha kipumbavu sana hawasikilizi ushauri. Mimi sikushauri wamweke Wema Kimaslahi ila Kuwafanyia CCM hujuma ten times over, kwenye siasa mtu akikupiga rungu unamjibu kwa mizinga na vifaru! Chadema hili hawalijui wanajifanya Malaika.

Ningekuwa Chadema by 2019 Hivyo Vibombadia Vyote Vingekuwa Juu ya Mawe, si mtindo ni kuhujumiana sio! Ila aku geuza shavu, utavujwa mataya! Kila la heri Malaika wapenzi Chadema!
Mhhhh,haya Ma ccm yangempa Wema mkuu,harafu angepelekwa kule watu wangewachekaje??!!
 
N

No anaamini Atakwapua Urais Kwa Nguvu, Naweza Kuapa Mbele za Mungu Magufuli huo Ndio Mpango wake! La sivyo aruhusu Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya 2020! Hawezi. Ila mimi naamink kwa Moyo wangu wote 2020 Magufuli hatakuwapo-rais
Atashinda kwa ile ile slogan ya kujikita sana kwa wanyonge,hivi we unadhani kuna mwanakijiji anamsema vibaya jamaa?? Haaa tena wakisikia kawaondoa watumishi hewa na watumishi wenye vyeti feki ndo inakuwa baasi kabisa,yaani mi naona jamaa anashinda kabisa tena vizuri hata bila kuiba kura japo watu watapigwa sana na Polisi
 
Baadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!

Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.

Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Mtumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.

Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnakijua Nachowaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!

Na Chadema Kubalini Ushauri, Mbunge wa CCM akihujumiwa akija kwenu, moja kwa Moja mpeni yeye Tiketi ya Kugombea Jimbo Lake. Let say Uchaguzi uliopita Alipokuwa CCM kwenye hilo jimbo Alishinda kwa kura 30,000 Na Ninyi mkapata Kura 22,000 sasa Uchaguzi Ujao Akifukuzwa CCM, Panga Pangua atakuwa Mioyoni mwa angalau nusu. 15,000 Akija Kwenu Mkimpitisha awe mgombea wenu bila mizengwe ya Kijinga, Kaja na at least Kura 15000 Nyie zenu za Uchaguzi Uliopita hata kama Mki maintain nusu yake hapo mna Kura 11000 Kwa uchache. Hapo Ukijumlisha autakuta amekuja na Kura 15000 Mkamtulia zenu 11000 hapo anashinda kwa Mbali sana kwa Kura 36,000 huku huyu Imposter mpya wa CCM kama Shetani wake akimsaidia Ataambulia Maximum ya Kura 15,000.

CHADEMA ACHENI DHARAU MKISHAURIWA FANYENI SIASA KWA AKILI. MGEWEZA KUWEKA HATA TANGAZO, UKITOKA CCM TUTAKUPITISHA JIMBO LAKO BILA KUPINGWA, WENGI WATAKUJA, HATA WAKIWA WATANO KATI YA MIA NI SAWA KWANI HAYO MAJIMBO SIO YENU NA YOU HAVE NOTHING TO LOSE!
If wishes were horses..... You are doomed. Keep dreaming
 
Back
Top Bottom