TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Baadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!
Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.
Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Mtumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.
Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnakijua Nachowaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!
Na Chadema Kubalini Ushauri, Mbunge wa CCM akihujumiwa akija kwenu, moja kwa Moja mpeni yeye Tiketi ya Kugombea Jimbo Lake. Let say Uchaguzi uliopita Alipokuwa CCM kwenye hilo jimbo Alishinda kwa kura 30,000 Na Ninyi mkapata Kura 22,000 sasa Uchaguzi Ujao Akifukuzwa CCM, Panga Pangua atakuwa Mioyoni mwa angalau nusu. 15,000 Akija Kwenu Mkimpitisha awe mgombea wenu bila mizengwe ya Kijinga, Kaja na at least Kura 15000, Nyie zenu za Uchaguzi Uliopita hata kama Mki maintain nusu yake hapo mna Kura 11000 Kwa uchache. Hapo Ukijumlisha autakuta, amekuja na Kura 15000, Mkamtupia zenu 11000 hapo anashinda kwa Mbali sana kwa Kura 36,000 huku huyu Imposter mpya wa CCM kama Shetani wake akimsaidia Ataambulia Maximum ya Kura 15,000.
CHADEMA ACHENI DHARAU MKISHAURIWA FANYENI SIASA KWA AKILI. MNGEWEZA KUWEKA HATA TANGAZO, UKITOKA CCM TUTAKUPITISHA JIMBO LAKO BILA KUPINGWA, WENGI WATAKUJA, HATA WAKIWA WATANO KATI YA MIA NI SAWA KWANI HAYO MAJIMBO SIO YENU NA YOU HAVE NOTHING TO LOSE!