Tetesi: Wabunge wa CCM Waanza Kutishiwa!

Lipumba ni Msanii sana. Hata akiongea ukimtizama machoni unaona kabisa nafsi inamsuta.
Lakini ndio hivyo atafanyaje wakati yeye mwenyewee hajuia anachofanya.

Hilo la Mkuu wa nchi tumwachie mwenyewe .
Kila mtu ana mkali wake.

Mwanamke anamwogopa mende. Lakini Mwanaume hamwogopi mende hapo hapo mwanaume anamwogopa mwanamke.
Mende hajui chochote.
Kila kiumbe kina mkali wake.
Hata wanasiasa kuna wanaoogopwa hata kwa kutaja jina tu ni tishio.
Oh please Nasfi Inamsuta Lipumba ana nafsi? Lipumba is hollow inside, Ni kama nyoka mwenye wazimu anavizia Mkia wake mwenyewe na kuudungilia mbali hafu akishtuka ni yeye anaanza kujipiga mwenyewe, "why I did this" too late my friend! Furaha ya msaliti ni ya kitambo!
huyu ndio kama lipumba.

Wote tukose Mentality!
 
Hahahaha, aibu jamani! Naona conscious zao zimekuwa smeared by hot iron!
Watu hawaruhusiwi kufanya kusanyiko la kisiasa hadharani. Utazionaje hizo motives!! ??
Personally naona kuna kila dalili za CDM kupoteza dira as 2020 is approaching, ikumbukwe kuwa uchaguzi serikali za mitaa ni kesho kutwa tu, so far sioni juhudi zozote zinazozaa matunda. Katibu Mkuu yupo kimya balaa, UKAWA ni kama imekufa, maana mgogoro wa CUF na ukimya wa NCCR unarudisha nyuma harakati. Think Tanks wa CHADEMA kuanzia Mnyika, Mdee, Lissu, Safari na wengineo hawajihushi tena kwenye kupanua chama, kuingiza wanachama wapya sio motive tena ya CDM. Chama kamwe hakitofanikiwa kwa kuwa na mashabiki wengi, bali wanachama wengi. Makene naye yupo kimya. Inshort baada ya uchaguzi 2015 ni kama hakuna mikakati tena, chama kinajiendesha in no direction, chama kipo kipo tu.
 
Baadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!

Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.

Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Mtumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.

Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnakijua Nachowaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!

Na Chadema Kubalini Ushauri, Mbunge wa CCM akihujumiwa akija kwenu, moja kwa Moja mpeni yeye Tiketi ya Kugombea Jimbo Lake. Let say Uchaguzi uliopita Alipokuwa CCM kwenye hilo jimbo Alishinda kwa kura 30,000 Na Ninyi mkapata Kura 22,000 sasa Uchaguzi Ujao Akifukuzwa CCM, Panga Pangua atakuwa Mioyoni mwa angalau nusu. 15,000 Akija Kwenu Mkimpitisha awe mgombea wenu bila mizengwe ya Kijinga, Kaja na at least Kura 15000, Nyie zenu za Uchaguzi Uliopita hata kama Mki maintain nusu yake hapo mna Kura 11000 Kwa uchache. Hapo Ukijumlisha autakuta, amekuja na Kura 15000, Mkamtupia zenu 11000 hapo anashinda kwa Mbali sana kwa Kura 36,000 huku huyu Imposter mpya wa CCM kama Shetani wake akimsaidia Ataambulia Maximum ya Kura 15,000.

CHADEMA ACHENI DHARAU MKISHAURIWA FANYENI SIASA KWA AKILI. MNGEWEZA KUWEKA HATA TANGAZO, UKITOKA CCM TUTAKUPITISHA JIMBO LAKO BILA KUPINGWA, WENGI WATAKUJA, HATA WAKIWA WATANO KATI YA MIA NI SAWA KWANI HAYO MAJIMBO SIO YENU NA YOU HAVE NOTHING TO LOSE!
Kwakweli tunakoelekea kubaya sana,,siasa za chuki siyo nzuri, kinachotakiwa ni kuwa na urafiki. Unafiki siyo mzuri hata kidogo, na kiongozi anatakiwa kupokea changamoto likiwemo ma kukosolewa.
 
Wabunge tunawapima kwa mchango wa Kitaifa na wa jimbo kuwatisha wabunge ni kushindwa kulitumikia Taifa 'Kukosolewa ni Afya usipokosolewa huwezi kujua mapungufu yako' Where there is competition there is business
 
b71e93962d55b7905a225563136b57fe.jpg

Wewe na wenzako wanne huwa hamna kazi nyingine?
 
Uliza swali hilo siku tukija Kukuomba Mkate but for now shut the hell up!

Umeshikwa pabaya wewe na nyumbu wenzenu http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/2b1cc9b5553cb051551e17aa1d8d11d6.jpg[/IMG
Tunajua mnalipwa na nani wala usidhani wewe una uchungu na nchi hii bali mnazidi kumlia hela na kumchosha mzee wa mafuriko bandia kazi kwenu sisi tunajua na ni aibu kwenu
 
Masikini huyu Mzee hata hanijui Lakini Nitamtetea Mpaka Dakika ya Mwisho kwani ana utu na Hana Roho ya Ushetani kama yule Jamaa! Lowassa Hoyeeeeeeeee! Ba-Bashite Zeroooooooo!
 
Wabunge tunawapima kwa mchango wa Kitaifa na wa jimbo kuwatisha wabunge ni kushindwa kulitumikia Taifa 'Kukosolewa ni Afya usipokosolewa huwezi kujua mapungufu yako' Where there is competition there is business
Madictator Uchwara Hilo hawalijui
 
Back
Top Bottom