SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
Mzee Mgaya nawe una shidaHuku Kalenga tunaita " kujideula"
Mzee Mgaya nawe una shidaHuku Kalenga tunaita " kujideula"
Haki ya mungu akilivunja wabunge waliomo hawatarejea kabisaDawa ni kulivunja tu hili Bunge tuanze upyaaaahhhhh !!!! Kwani hawa watakuja kumchenjia mama kwa wingi wao wakamng'oa,bora awawahi.
Hiyo ndiyo dawa yao hao wachumia tumboKama hawataki warudi kwao Burundi
Nitumie na ya kutolea basi kwenye line ya voda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asprin nimecheka hadi aibu mbele za watu
Hivi vitimbwili vyenu ccm ndiyo Wananchi wakawachagua kwa kishindo?Agenda ya Wananchi ilikuwa ni burudani pale kunako October 2020?Duuuuuu! Hapo keshapewa mchele kilo 5, unga kilo 5, na shuka la CCM!
Puru nje nje!
Unasahau au unajisahaulisha makusudi?
Wabunge waliopo bungeni hawajatokana na wananchi Bali ni wabunge wa magufuli aliowaanda kumsifia, kumshangilia na kumpigia vigelegele!
Mama Samia analijua vyema hili kuwa, wabunge wanamwakilisha magu na siyo wananchi ambao hawakuwapigia Kura ya kuchaguliwa!
Kifupi wananawakomeaha wananchi kwa ni hawakuwachagua!
Nitumie na ya kutolea basi kwenye line ya voda