Wabunge wa CCM oneni aibu basi

Mifumo ya chama chenu enyi wabunge wa CCM, inaonekana kuwajenga katika misingi ya ushabiki, kuimba na kupiga mapambio juu ya watawala na viongozi wenye mamlaka mbalimbali.

Hebu tujikumbushe maneno ya 'BWEGE' kdogo, "UMESHIBA-NDIYO, UNANJAA-NDIO" yaan wabunge mbumbumbu Kila kitu ndiyo limradi pendekezo au muswada umetoka kwa mtawala!

Hamjui mko hapo mjengoni il kutafakari badala ya wananchi kwa maslah ya taifa letu? Badala ya kujikita kwenye agenda zinazoshikilia mustakabali wa taifa letu mnajikita kwenye Legacy kuwa agenda ya nchi, mara vijembe kwa watu wanaosimama na kuwakosoa mfano CAG na MBOWE, mnageuza Bunge kuwa sehemu ya kufanyia propaganda na vichekesho mpaka Raisi wa JMT anawaweka bayana kuwa mijadala inayoendelea bungeni haina afya!!! Shame on you!

Hitimisho
Kosa si kosa ila kosa kurudia kosa, jikiteni kwenye agenda znazoleta tija kwa maslah mapana ya nchi yetu, wote tunaipenda nchi yetu, tunaumia Sana mnapokwenda tofaut na majukum yenu ya kikatiba.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRICA.
Bunge kibogoyo na vichekesho umenikumbusha wale 'ZE COMEDI' sijui wako wapi
 
Well said
 
Umenena vizuri ngoja waje wenye ccm
 
Unasahau au unajisahaulisha makusudi?

Wabunge waliopo bungeni hawajatokana na wananchi Bali ni wabunge wa magufuli aliowaanda kumsifia, kumshangilia na kumpigia vigelegele!

Mama Samia analijua vyema hili kuwa, wabunge wanamwakilisha magu na siyo wananchi ambao hawakuwapigia Kura ya kuchaguliwa!
Kifupi wananawakomeaha wananchi kwa ni hawakuwachagua!
Dawa ni kulivunja tu hili Bunge tuanze upyaaaahhhhh !!!! Kwani hawa watakuja kumchenjia mama kwa wingi wao wakamng'oa,bora awawahi.
 
Wazee wa mauno hao - Kigogo anapiga ngoma wao ni kukata mauno mwanzo mwisho - acha kabisa !!
Wataalam wa kudemka katika ubora wao kudadadeq walahi
tapatalk_1571928346669.jpg
FB_IMG_1570960151009.jpg
tapatalk_1571843276540.jpg
tapatalk_1588320087141.jpg
 
Back
Top Bottom