Wabunge wa CCM oneni aibu basi

Wabunge wa CCM oneni aibu basi

Duuuuuu! Hapo keshapewa mchele kilo 5, unga kilo 5, na shuka la CCM!
Hivi vitimbwili vyenu ccm ndiyo Wananchi wakawachagua kwa kishindo?Agenda ya Wananchi ilikuwa ni burudani pale kunako October 2020?
Vitu vingine vinatia hasira hadi unatamani utapike nyongo.
 
Unasahau au unajisahaulisha makusudi?

Wabunge waliopo bungeni hawajatokana na wananchi Bali ni wabunge wa magufuli aliowaanda kumsifia, kumshangilia na kumpigia vigelegele!

Mama Samia analijua vyema hili kuwa, wabunge wanamwakilisha magu na siyo wananchi ambao hawakuwapigia Kura ya kuchaguliwa!
Kifupi wananawakomeaha wananchi kwa ni hawakuwachagua!

umesahau ama umejisahaulisha?
wakina zito ni zao la kufkuzwa baada ya kuomba kugombea uenyekiti
 
Nitumie na ya kutolea basi kwenye line ya voda

Tunatumaga kidogo kwa waliotutumia nyingi...... halafu tukituma tunasindikiza na ujumbe "unirudishie ni hela ya kikoba" 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom