Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
MKUU@ Simiyu yetu umewasahau Capt.John Komba
Mwigulu Nchemba
Nyambari Nyangwine
Steven Masatu Wasira
Prof. Mark Mwandosya
Mh.Zambi

Wote hao kwa bahat nzuri nimefka majimboni mwao,, huwezi amini kama majimbo yao yana wawakilishi Bungeni,,, kiukweli hakuna kitu walichofanya.

Siyo waongeaji na pia siyo watendaji. Ila ni wapokeaji wazuri wa posho
Mkuu kikubwa tusubiri wakati utazungumza watu watatia aibu mpaka basi.
 
uzi wako ni wa kinafiki na kizandiki , coverage yako ni ya ki lumumba zaidi , mbona hujamtaja yule mwarabu anayepika pilau kila kata ?
Kwa kuwa akili huna hutojua ukweli wa haya mambo wewe kaa utumikie hao mabwana upate ulaji lakini mwisho wa siku utanikumbuka
 
Mimi nimefika kwa hawa jamaa wanalalamikiwa balaa mfano zito watu wake wanadai sikumhizi hata simu hapokei kiukweli jamaa kaharibu sana.
 
ole medeye basi tu ndo mbunge wa Arumeru Magharibi kwa bahati mbaya, basi tu kwa bahati mbaya, but NOT again, hashindi tena.
 
Mimi nimefika kwa hawa jamaa wanalalamikiwa balaa mfano zito watu wake wanadai sikumhizi hata simu hapokei kiukweli jamaa kaharibu sana.

hata mimi nimepita Silinde, Machali, Mkosamali watapeta hata Zitto ni ile tu kwamba hatagombea tena!
 
Ktk hao wote waliotajwa, Kigwangalla ndio anauwezekano mkubwa zaidi wa kutorudi, hata kwa mbeleko ya chuma Kigwangalla habebeki, labda kama Kikwete ataendelea kuwa Rais!
 
MKUU@ Simiyu yetu umewasahau Capt.John Komba
Mwigulu Nchemba
Nyambari Nyangwine
Steven Masatu Wasira
Prof. Mark Mwandosya
Mh.Zambi

Wote hao kwa bahat nzuri nimefka majimboni mwao,, huwezi amini kama majimbo yao yana wawakilishi Bungeni,,, kiukweli hakuna kitu walichofanya.

Siyo waongeaji na pia siyo watendaji. Ila ni wapokeaji wazuri wa posho

siipendi ccm lakini hapo kwa mwandosya umechemka! miuondombinu ya barabara, maji, shule, umeme hadi vijijini vinapatikana
 
kama huyo rage ndio kabisaaa sijui alipataje Ubunge wapiga kura wengine wanakuwaga Mambulula au ni mambo ya pilau,kanga na t-shirts hahaha imekula kwao mi nawapongeza wananchi wa Ubungo kwa kweli kura zao hazikuenda bure.
 
Wakuu amani kwenu nyote,
kumekuwa na utamaduni wa wabunge kuongea kwa sauti kubwa bungeni na kelele nyingi kumbe kwenye majimbo yao hakuna walichofanya hata chembe zaidi ya kujitapa bungeni na kuandikwa magazetini tu.

Kelele za wabunge wa namna hii wanapokuwa bungeni wamefanya jamii kuwaona kuwa ni wabunge hodari sana wanaopigania haki na maendeleo ya watu wao kumbe huwa ni gelesha tu wengine hupiga kelele ili watu fulani wawatafute na kuwakatia chao.

Nilifanikiwa kupita baadhi ya majimbo nikiwa kwenye mishe zangu nimebaini kuwa kunawabunge hata kuonekana kwenye majimbo yao wanaona soo na baadhi yao wanamipango ya kukimbia majimbo yao ya awali ili wakagombee sehemu zingine ambako bado hawajachokwa.

wabunge wafuatao wakirudi tena bungeni kupitia majimbo yao ya awali naacha kufuatilia siasa kabisa kwani hawatakiwi kabisa kwenye majimbo yao nao ni:

1. Mkosamali
2. David silinde
3.machali na
4.zitto

Wapo watakaobisha kwa sababu zao ila wakati ukifika tukumbushane hawarudi pengine waende kwenye majimbo mengine ambako hawajulikani.

Umekurupuka mno kama umekimbizwa. Weka in details nini kimepelekea kushindwa kwao! Je fitina za "ccm" hazina nafasi kweli katika majimbo ya upinzani!
 
Wakuu amani kwenu nyote,
kumekuwa na utamaduni wa wabunge kuongea kwa sauti kubwa bungeni na kelele nyingi kumbe kwenye majimbo yao hakuna walichofanya hata chembe zaidi ya kujitapa bungeni na kuandikwa magazetini tu.

Kelele za wabunge wa namna hii wanapokuwa bungeni wamefanya jamii kuwaona kuwa ni wabunge hodari sana wanaopigania haki na maendeleo ya watu wao kumbe huwa ni gelesha tu wengine hupiga kelele ili watu fulani wawatafute na kuwakatia chao.

Nilifanikiwa kupita baadhi ya majimbo nikiwa kwenye mishe zangu nimebaini kuwa kunawabunge hata kuonekana kwenye majimbo yao wanaona soo na baadhi yao wanamipango ya kukimbia majimbo yao ya awali ili wakagombee sehemu zingine ambako bado hawajachokwa.

wabunge wafuatao wakirudi tena bungeni kupitia majimbo yao ya awali naacha kufuatilia siasa kabisa kwani hawatakiwi kabisa kwenye majimbo yao nao ni:

1. Mkosamali
2. David silinde
3.machali na
4.zitto

Wapo watakaobisha kwa sababu zao ila wakati ukifika tukumbushane hawarudi pengine waende kwenye majimbo mengine ambako hawajulikani.

Emanuel Nchimbi je? ameshindwa kutatua kero ya maji na umeme jimboni kwake, Anakiua Chama chetu kule Kanda ya kusini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom