Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Hii inamuhusu sana
1.Mwigulu Nchemba na
2.Said kigwangallah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
zito nadhani ameshatangaza kutokugombea ubunge tena, isije kuwa unatumia nafasi hiyo kutwambia hajafanya lolote mkuu! Labda we ulitaka wafanye nini?
 
Kunatofauti saana
1 Wewe na wapiga kura wao.
a .Uelewa
b.Elimu
c.kuna wadini
d.wakabila
na
e.wa kanda

KWA SABABU HIZI HAPO KUNA WATU WATARUDI BUNGENI TENA KWA MARA NYINGINE BILA YA WANANCHI WAO WAMEFANYIWA NINI NA WABUNGE WAO.
 
MKUU@ Simiyu yetu umewasahau Capt.John Komba
Mwigulu Nchemba
Nyambari Nyangwine
Steven Masatu Wasira
Prof. Mark Mwandosya
Mh.Zambi

Wote hao kwa bahat nzuri nimefka majimboni mwao,, huwezi amini kama majimbo yao yana wawakilishi Bungeni,,, kiukweli hakuna kitu walichofanya.

Siyo waongeaji na pia siyo watendaji. Ila ni wapokeaji wazuri wa posho
 
Wakuu amani kwenu nyote,
kumekuwa na utamaduni wa wabunge kuongea kwa sauti kubwa bungeni na kelele nyingi kumbe kwenye majimbo yao hakuna walichofanya hata chembe zaidi ya kujitapa bungeni na kuandikwa magazetini tu.

Kelele za wabunge wa namna hii wanapokuwa bungeni wamefanya jamii kuwaona kuwa ni wabunge hodari sana wanaopigania haki na maendeleo ya watu wao kumbe huwa ni gelesha tu wengine hupiga kelele ili watu fulani wawatafute na kuwakatia chao.

Nilifanikiwa kupita baadhi ya majimbo nikiwa kwenye mishe zangu nimebaini kuwa kunawabunge hata kuonekana kwenye majimbo yao wanaona soo na baadhi yao wanamipango ya kukimbia majimbo yao ya awali ili wakagombee sehemu zingine ambako bado hawajachokwa.

wabunge wafuatao wakirudi tena bungeni kupitia majimbo yao ya awali naacha kufuatilia siasa kabisa kwani hawatakiwi kabisa kwenye majimbo yao nao ni:

1. Mkosamali
2. David silinde
3.machali na
4.zitto

Wapo watakaobisha kwa sababu zao ila wakati ukifika tukumbushane hawarudi pengine waende kwenye majimbo mengine ambako hawajulikani.

mkuu naomba ufafanuzi kidogo...
1.kazi za mbunge
2.kazi za serekali iliyopo madarakani

Natanguliza shukrani
 
Wakuu amani kwenu nyote,
kumekuwa na utamaduni wa wabunge kuongea kwa sauti kubwa bungeni na kelele nyingi kumbe kwenye majimbo yao hakuna walichofanya hata chembe zaidi ya kujitapa bungeni na kuandikwa magazetini tu.

Kelele za wabunge wa namna hii wanapokuwa bungeni wamefanya jamii kuwaona kuwa ni wabunge hodari sana wanaopigania haki na maendeleo ya watu wao kumbe huwa ni gelesha tu wengine hupiga kelele ili watu fulani wawatafute na kuwakatia chao.

Nilifanikiwa kupita baadhi ya majimbo nikiwa kwenye mishe zangu nimebaini kuwa kunawabunge hata kuonekana kwenye majimbo yao wanaona soo na baadhi yao wanamipango ya kukimbia majimbo yao ya awali ili wakagombee sehemu zingine ambako bado hawajachokwa.

wabunge wafuatao wakirudi tena bungeni kupitia majimbo yao ya awali naacha kufuatilia siasa kabisa kwani hawatakiwi kabisa kwenye majimbo yao nao ni:

1. Mkosamali
2. David silinde
3.machali na
4.zitto

Wapo watakaobisha kwa sababu zao ila wakati ukifika tukumbushane hawarudi pengine waende kwenye majimbo mengine ambako hawajulikani.

mkuu umesahau yule mwizi wa mataulo na sasa mikufu.
alafu cris Lukosi ndiye atakuwa mbunge wa IRINGA mjini,take it from me!hahahhaah
 
Last edited by a moderator:
Wakuu amani kwenu nyote,
kumekuwa na utamaduni wa wabunge kuongea kwa sauti kubwa bungeni na kelele nyingi kumbe kwenye majimbo yao hakuna walichofanya hata chembe zaidi ya kujitapa bungeni na kuandikwa magazetini tu.

Kelele za wabunge wa namna hii wanapokuwa bungeni wamefanya jamii kuwaona kuwa ni wabunge hodari sana wanaopigania haki na maendeleo ya watu wao kumbe huwa ni gelesha tu wengine hupiga kelele ili watu fulani wawatafute na kuwakatia chao.

Nilifanikiwa kupita baadhi ya majimbo nikiwa kwenye mishe zangu nimebaini kuwa kunawabunge hata kuonekana kwenye majimbo yao wanaona soo na baadhi yao wanamipango ya kukimbia majimbo yao ya awali ili wakagombee sehemu zingine ambako bado hawajachokwa.

wabunge wafuatao wakirudi tena bungeni kupitia majimbo yao ya awali naacha kufuatilia siasa kabisa kwani hawatakiwi kabisa kwenye majimbo yao nao ni:

1. Mkosamali
2. David silinde
3.machali na
4.zitto

Wapo watakaobisha kwa sababu zao ila wakati ukifika tukumbushane hawarudi pengine waende kwenye majimbo mengine ambako hawajulikani.

Tangu Zitto atuhabarishe kwamba Rais ni mkwepa Kodi naona umeamua kumuandama sana
 
Mkuu vipi yule mbunge sangoma aliyeanza unyang'anyi wa magari ya wabunge wenzake? Pia usimsahau kepteni komba bingwa kulala usingizi na kupokea posho.
 
Swallow it or just leave it!Silinde easily will retain his seat!

Natokea Mbeya na Mkoa wetu huwa tunajua nani atarudi nani hawezi rudi mwaka tu baada ya uchaguzi!Pamoja na Silinde Mbunge mwingine atakayetetea kiti chake ni Sugu wa Mbeya Mjini na Mzee Mwandosya wa Busokela(kama akiamua kugombea) na Kilufi wa Mbalari

Wabunge watakao shindwa vibaya ni Dr Mwakyembe(Kyela),Prof Mwakyusa(Rungwe),Kibona Aliko(Ileje),Mchungaji Mwanjali wa Mbeya Vijijini na Mzee Zambi(Momba)

CHADEMA wanaweza shinda kiurahisi Mbeya Vijijini,Momba,na Kyela;lkn CCM wanaweza yarudisha majimbo ya Rungwe na Ileje!
 
uzi wako ni wa kinafiki na kizandiki , coverage yako ni ya ki lumumba zaidi , mbona hujamtaja yule mwarabu anayepika pilau kila kata ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom